#COVID19 Kwanini tukimbize mbio za Mwenge kipindi hiki cha COVID-19?
Serikali haipo makini kabisa na hii ni aibu kubwa wanasema kuna Covid 19 na kuna mdau kaniambia hali Bugando hosp sio njema kabisa, then ilipaswa mbio za Mwenge zisiwepo kabisa. Maonesho ya sabasaba ya nini katikati ya janga hili? Kukosa umakini kabisa.

hivi mbio za mwenge huwa ni za nini?
 
Wadau Naomba kujua Tutarajie nini Kati Ya mwenge na Maambukizi ya Corona kwa Wananchi?

Binafsi Sikuona tija ya Mwenge kukimbizwa kipindi hiki cha Ugonjwa Hatari wa Corona kutokana na mikusanyiko ya Wananchi Wengi.

Mwenge ungeweza kusubiri kupisha maambukizi ya Corona kwa muda .

Vitu Vingine inakuwa kama kumjaribu Mungu wetu.
 
... wacha ukaichome Corona; ulete matumaini palipokata tamaa! In Mataga's voice.
 
Kila Wilaya unaopita kuna magari yanapita mitaani kuwaomba wananchi wajitokeze kwa wingi kuupokea Mwenge. Cha ajabu, hayo magari haya tangazi kwamba kuna maambukizi ya Covid.

Watoto wa shule ndio usiseme, wanatolewa darasani kwenda kupanga foleni barabarani kupokea mwenge.
 
IMG_20210725_145659.jpg
 
Kwa Hali hii mbaya ya corona, ninaomba mwenye kujua uliko mwenge wa uhuru ili wananchi wajulishwe kuepuka misongamano. Hali ni mbaya wenzangu.
Vipi kule Kigoma kwenye mchezo wa watani wa jadi, COVID 19 nako haipo au ile mechi haina mashabiki na wachezaji wamepewa chanjo ?
 
Mla Maksai alisema tuende Burundi labda mchezo ukimalizika wataekekea huko
 
Ule ndiyo dawa kwani ndiyo unatukonekti na Mizimu wetu mwanagu, tulia uukimbize ukifika mitaa yako sikuhizi ni kimya kimya utatangaziwa ukifika kwako.
Kwa Hali hii mbaya ya corona, ninaomba mwenye kujua uliko mwenge wa uhuru ili wananchi wajulishwe kuepuka misongamano. Hali ni mbaya wenzan
 
Corona ikisikia mwenge virus vyote vinaungua.Amin hivyo.
Hoja za katiba virus vya Corona vinakuwa vingi.
 
Kwa Hali hii mbaya ya corona, ninaomba mwenye kujua uliko mwenge wa uhuru ili wananchi wajulishwe kuepuka misongamano. Hali ni mbaya wenzangu.
Hali ni mbaya kwenye mikutano na makongamano ya chadema tu, huko kwingine kirusi cha COVID19 kinakuogopa
 
Back
Top Bottom