Watanzania tutaachwa nyuma na kila taifa kwenye kila kitu, tunawekeza na kutumia akili na nguvu zetu nyingi kwenye kuibakiza CCM madarakani kwa gharama yoyote ile.
1. Elimu yetu ni mbovu sana, watu wetu hawajui Kiswahili wala Kiingereza, hawajui hesabu wala sayansi wala historia kuliko mataifa mengine.
2. Huduma za afya ni mbovu sana
3. Demokrasia tunashindwa na mataifa mengi
4. Mishahara kwa watumishi tunashindwa na kila taifa jirani.
5. Kupambana na Kovid kila jirani anatushinda
6. Uwezo wa ajira, watu wetu hawaajiliki
7. Katiba, katiba yetu ni mbovu na yazamani kuliko katiba zote za majirani
Tunapinga mikusanyiko huku kuna mwenye, derby, makongamano, sabasaba, nanenane, nk