Serikali haipo makini kabisa na hii ni aibu kubwa wanasema kuna Covid 19 na kuna mdau kaniambia hali Bugando hosp sio njema kabisa, then ilipaswa mbio za Mwenge zisiwepo kabisa. Maonesho ya sabasaba ya nini katikati ya janga hili? Kukosa umakini kabisa.
hivi mbio za mwenge huwa ni za nini?