Naipongeza serikali kwa kuchukua hatua mbali mbali kuhakikisha hili gonjwa la COVIDS 19 halisambai, ikiwa ni pamoja na kuwataka wananchi kupunguza misongamano. Lakini hili la mwenge nadhani sasa ni wakati mwafaka kusimamisha mbio hizi kama ilivyofanya miaka miwili iliyopita. Serikali isionee aibu hili.
Mbio za mwenge hukusanya watu wengi, kwenye vyombo vya usafiri, mikesha na sherehe zinazoambatana nazo.
Chonde chonde.
 
Mkutano wa chdem ndo unaeneza mkuu
 
Kukimbiza Mwenge ni upuuzi ,ni moja ya matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi.
 
Kwa sababu nasikia Mwenge wa Uhuru una kibali cha mikusanyiko na ni kusanyiko la lazima na lenye umuhimu wake. Waitre ongeza moja baridiii

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Tuwaonee huruma wenzetu wanaopoteza maisha, ni wengi sana, tunaowasikia ni wale tu wenye vyeo na waliokuwa na vyeo. Lumpens hawasikiki na hawahesabiwi. Mungu nae bwana hana upendeleo, hata vigogo unawakumba TU.
 
Gwajima ndo anatupotosha kabisaa, ana uhakika kuwa kwakuwa ulaya na marekani wamechanja chanjo ya covid-19 basi ana uhakika kuwa watageuka mazombi muda si mrefu, hivyo ajiandaa aende akazoe madola Yao kwenye mabenki na madege Yao makubwamakubwa ayapeleke usukumani mitaa ya Gamboshi. Hizi ni ndoto za mchana.
 

Ndio upuuzi wenyewe, yaani tunatuma mixed messages ambazo kwa mtu anaetumia akili ya kawaida tu, hawezi kukubali. Huku tunaambiwa tuepuke misongamano, huku Simba na Yanga wanacheza, huku Mwenge, huku chanjo, ukiuliza ya nini wakati Corona sio tishio kwetu, hakuna majibu, huku unaambiwa usaini form ya kuchanjwa, basi ili mradi ni vururu vururu.
 
Tunademka. Nanaamini tusichokiamini kama vile mtu anavyoaminishwa kuwa mume na Mke ni mwili mmoja.
 
Hatuko serious, tunawahadaa walimwengu na kupata sababu ya kuzuia mikutano ya kisiasa ....
 
😂😂😂😂😂😂😂😂huu mwandikole babaaaaaaaaa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bila mwenge kuwepo husingekuwa unawaona kina @Wakudadavua na kina kipara kipya
 
Gwajima kipindi cha jiwe alikuwa anashinda na nyungu akipigia selfie huku akituhimiza kujifukiza.

Leo hii baada ya miezi 4 kuondoka mwendazake anajidai kuyakubali maneno yetu na ushauri wa kitaalam.
 
Kwani Tanzania kuna covid-19. Iko wapi? Mkuu? Usiamini vitu visivyoonekana kirahisi namna hivyo. Afrika hakuna corona, au nasema uongo ndugu zangu?
CC:kipara kipya
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…