Mwendazake pamoja na ujeuri wake alisitisha mbio za mwenge.Serikali ya Tanzania inatoa tahadhari kuhusu wimbi la tatu la coronavirus. Ila mitaani mamilioni ya watu na mbio za mwenge .nini kifanyike kuhusu mikusanyiko ya mbio za mwenge wa uhuru na janga la coronavirus.
🐱🐱🐱JPM ni level ii ingine, anajiamini hata kama anakosea. Huyu hajiamini hata kama hajakosea.
Hili ni kafara la Bagamoyo halina budi kufanyika iwe mvua liwake jua...lazima lifanyike..! Lisipofanyika hili matokeo yanajulikana kulingana na historiaJuzi nilikutana na mbio za Mwenge pale Mkata, watu wamekusanyika balaa na msafara umezuia magari yasiende.
Jamani mbona hatuko serious na afya za watu wenyewe? Dunia itatuelewaje sisi jamani?
Kwani kwenye Mwenge kuna nini kiasi hiki?
Ni kafara la kukimbiza moto... Na ni lazima lifanyike kila muda wake unapofikaHivi kuna umuhimu wa mwenge?
Kafara la BagamoyoMwenge ni uchawi, mwenge ni laana. Nchi hii haiendelei sababu ya lidude mwenge.
Linakula mabilioni ya fedha za wananchi bila sababu yoyote ya maana.
View attachment 1845388
Vipi kama Mwenge usipokimbizwa mwaka fulani. Kuna athari yoyote?Ni kafara la kukimbiza moto... Na ni lazima lifanyike kila muda wake unapofika
Mwaka jana haukukimbizwa....!!!!Vipi kama Mwenge usipokimbizwa mwaka fulani. Kuna athari yoyote?
Sawa itakua athari zake ndio zimetokea mwaka huu 🤔 🤔Mwaka jana haukukimbizwa....!!!!
huo mwenge sioni umuhimu wake , ni vema wange uzima halafu wakauweka MAKUMBUSHO YA TAIFAJuzi nilikutana na mbio za Mwenge pale Mkata, watu wamekusanyika balaa na msafara umezuia magari yasiende.
Jamani mbona hatuko serious na afya za watu wenyewe? Dunia itatuelewaje sisi jamani?
Kwani kwenye Mwenge kuna nini kiasi hiki?
Watanzania tutaachwa nyuma na kila taifa kwenye kila kitu, tunawekeza na kutumia akili na nguvu zetu nyingi kwenye kuibakiza CCM madarakani kwa gharama yoyote ile.huo mwenge sioni umuhimu wake , ni vema wange uzima halafu wakauweka MAKUMBUSHO YA TAIFA
asante
ndo mana mm swala la uchungu na nchi yang nshaliacha ,This shit going on in our country doesn't even make sense ...Watanzania tutaachwa nyuma na kila taifa kwenye kila kitu, tunawekeza na kutumia akili na nguvu zetu nyingi kwenye kuibakiza CCM madarakani kwa gharama yoyote ile.
1. Elimu yetu ni mbovu sana, watu wetu hawajui Kiswahili wala Kiingereza, hawajui hesabu wala sayansi wala historia kuliko mataifa mengine.
2. Huduma za afya ni mbovu sana
3. Demokrasia tunashindwa na mataifa mengi
4. Mishahara kwa watumishi tunashindwa na kila taifa jirani.
5. Kupambana na Kovid kila jirani anatushinda
6. Uwezo wa ajira, watu wetu hawaajiliki
7. Katiba, katiba yetu ni mbovu na yazamani kuliko katiba zote za majirani
Tunapinga mikusanyiko huku kuna mwenye, derby, makongamano, sabasaba, nanenane, nk
Kuna siasa kubwa inaendelea "hapa ndipo mama alipo wapigia mwingi wazungu"Juzi nilikutana na mbio za Mwenge pale Mkata, watu wamekusanyika balaa na msafara umezuia magari yasiende.
Jamani mbona hatuko serious na afya za watu wenyewe? Dunia itatuelewaje sisi jamani?
Kwani kwenye Mwenge kuna nini kiasi hiki?
Siku itafika tutakuwa na taifa lisiloaminika kwa kila kitu chetu tunachosema na tunachofanya.Nimeshangaa kusikia matangazo redioni yakihimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kwenye tamasha la mwenge na mkesha Dar es Salaam. In particular nimemsikia DC wa Kigamboni akihamasisha na kusai kutakuwa na wanamuziki kibao kuhanikiza shughuli hiyo ya mwenge. Nimeshindwa kishangaa! Nini tubafanya watanzania?
Viongozi wetu hawaoni aibu wanapokutana na viongozi wenzao walio serious na mapambano ya covid-19? Kuna mtu mmoja aliwahi kusema viongozi wa Afrika wanaoshinda chaguzi kwa kuiba kura hawaoni aibu wanapokutana na Marais walioshinda urais wao kwa njia za kidemokrasia?. Marais wa Ulaya na Marekani hawaamini kama Afrika kuna viongozi na serikali wanaamini kuwa Afrika kuna "regimes" badala ya "governments"Serikali ya Tanzania inatoa tahadhari kuhusu wimbi la tatu la coronavirus. Ila mitaani mamilioni ya watu na mbio za mwenge .nini kifanyike kuhusu mikusanyiko ya mbio za mwenge wa uhuru na janga la coronavirus.