Mchumia Rungu
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 1,439
- 826
Nimependa sana hapo uliposema "your president is DEVIL".Wewe utampenda mtu aliyetaka kukuua? Unajifanya umesahau alivyosema ukiwa vitani na akatokea msaliti, mnamaliza manaendelea. Clip ipo. Ati vita ya kiuchumi! Your president is a DEVIL, you will realise this one day.
Mtoa huduma mkuu wa kwanza DrMwakyusa(Aliyekuwa katibu mkuu Afya) tuambie nini kilimpata baada ya hapo? Na yupo wapi sasa?Nani aliyempa Tundu Lisu huduma ya kwanza na hata kuponya maisha yake? Kama Serikali yetu ilikuwa na lengo la kumuua kama yeye mwenyewe Tundu Lisu asemavyo kwa nini wasingemtangaza dead alipochukuliwa Hospitalini?
Nani aliyempa Tundu Lisu huduma ya kwanza na hata kuponya maisha yake? Kama Serikali yetu ilikuwa na lengo la kumuua kama yeye mwenyewe Tundu Lisu asemavyo kwa nini wasingemtangaza dead alipochukuliwa Hospitalini?
Mtoa huduma mkuu wa kwanza DrMwakyusa(Aliyekuwa katibu mkuu Afya) tuambie nini kilimpata baada ya hapo? Na yupo wapi sasa?
Hivi sababu hasa ni ipi?
Binafsi sijawahi kumsikia Raisi Magufuli akilitaja jina la Tundu Lisu popote pale hata tu kugusia, nimesikia akiongelea kuhusu Mbowe, Lowasa au Zito Kabwe, sasa hii CHUKI ya Tundu Lisu dhidi ya Raisi wetu chimbuko lake ni nini?
Au ni wivu tu?
I mean jamaa anatoa tuhuma nzito sana dhidi ya Raisi wetu ambazo hata Ushahidi hana, ukimuangalia usoni unaona yuko bitter, lkn kwa nini? Anasema eti masaa 2 kabla hajapigwa risasi Raisi wetu alisema ,,wasaliti” watauliwa, in lini Raisi Magufuli aliwahi kutamka maneno ya kuuwa mtu hadharani kwenye hotuba zake tangia amekuwa Raisi wa JMTZ?
Kwa nini Tundu Lisu ni muongo sana? Cha ajabu hajawahi hata siku moja kumtaja Mungu, hata kusema tu namuachia Mungu kama ilivyo kawaida kwa binadamu wa kawaida hajawahi, ...
Kutokutoa ushirikiano wakati Lissu amepigwa risasi hicho ni kigezo tosha.Siku gani
Hawakujua aliyekusudia kumuua, pia walijua wanatimiza majukumu yao kutoa huduma lakini walijua hatapona
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu yeyote mwenye akili timamu na anayeipenda Tanzania na watu wake hawezi kumpenda huyu Magufuli wa sasa mwenye roho ya shetani
Mungu wa mbinguni ni mkuu sana kuliko huyu mungu wako magufuli unaye muabudu.Huyo aliyemuokoa na risasi 38 ndiye huyo huyo aliyezuia kufanyika kwa hayo unayoyataka na ndo huyo huyo atakamwezesha Lissu kushuhudia Magufuli anavyokufa kifo kibayaNani aliyempa Tundu Lisu huduma ya kwanza na hata kuponya maisha yake? Kama Serikali yetu ilikuwa na lengo la kumuua kama yeye mwenyewe Tundu Lisu asemavyo kwa nini wasingemtangaza dead alipochukuliwa Hospitalini?
Hivi sababu hasa ni ipi?
Binafsi sijawahi kumsikia Raisi Magufuli akilitaja jina la Tundu Lisu popote pale hata tu kugusia, nimesikia akiongelea kuhusu Mbowe, Lowasa au Zito Kabwe, sasa hii CHUKI ya Tundu Lisu dhidi ya Raisi wetu chimbuko lake ni nini?
Au ni wivu tu?
I mean jamaa anatoa tuhuma nzito sana dhidi ya Raisi wetu ambazo hata Ushahidi hana, ukimuangalia usoni unaona yuko bitter, lkn kwa nini? Anasema eti masaa 2 kabla hajapigwa risasi Raisi wetu alisema ,,wasaliti” watauliwa, in lini Raisi Magufuli aliwahi kutamka maneno ya kuuwa mtu hadharani kwenye hotuba zake tangia amekuwa Raisi wa JMTZ?
Kwa nini Tundu Lisu ni muongo sana? Cha ajabu hajawahi hata siku moja kumtaja Mungu, hata kusema tu namuachia Mungu kama ilivyo kawaida kwa binadamu wa kawaida hajawahi, ...
Mungu wa mbinguni ni mkuu sana kuliko huyu mungu wako magufuli unaye muabudu.Huyo aliyemuokoa na risasi 38 ndiye huyo huyo aliyezuia kufanyika kwa hayo unayoyataka na ndo huyo huyo atakamwezesha Lissu kushuhudia Magufuli anavyokufa kifo kibaya
Nani aliyempa Tundu Lisu huduma ya kwanza na hata kuponya maisha yake? Kama Serikali yetu ilikuwa na lengo la kumuua kama yeye mwenyewe Tundu Lisu asemavyo kwa nini wasingemtangaza dead alipochukuliwa Hospitalini?
Ni kweli sijui mengi, lkn nina logic, things just dont add up, hata kisaikolojia tu huwezi kupigwa risasi karibia kufa halafu siku ya kwanza tu unafungua kinywa kutoka kwenye coma tayari unaanza vita, no one does that, watu wote walionusurika kifo hujitathmini maisha yao baada ya tukio na kubadilika, ...
Nani aliyempa Tundu Lisu huduma ya kwanza na hata kuponya maisha yake? Kama Serikali yetu ilikuwa na lengo la kumuua kama yeye mwenyewe Tundu Lisu asemavyo kwa nini wasingemtangaza dead alipochukuliwa Hospitalini?
Siku Ile akipokea ripoti ya maprofesa kuhusu madini!Siku gani
Mwache Mungu aitwe Mungu na siku zote ziimbe sifa na utukufu wake! Mungu hajawahi kushindwa Jambo lolote na ndiye aliyezigeuza roho, mawazo na matendo ya waliomwaattend Lissu siku Ile nao wakata shauri la kumtumikia Mungu badala ya maagizo waliyopewa! Mungu akawabariki na kuwalinda ili kuvishinda vitisho na manyanyaso na masimango waliyoyapata kutoka ka wauaji wale!Nani aliyempa Tundu Lisu huduma ya kwanza na hata kuponya maisha yake? Kama Serikali yetu ilikuwa na lengo la kumuua kama yeye mwenyewe Tundu Lisu asemavyo kwa nini wasingemtangaza dead alipochukuliwa Hospitalini?