Utakuwa na shida wewe sio bure! Serikall ya nchi gani ilimtibu Lissu? Tofautisha Kati ya first aid na matibabu. Alivhopatiwa hospitali ya dodoma ni first aid na siyo matibabu kwani risasi zilizokuwa mwilini alienda nazo Nairobi na Belgium!Wewe ndo useme unayejua kilichiwapata waliokoa maisha ya Tundu Lisu, tujuavyo sisi alitibiwa na Serikali ya JMTZ!
Wakati akipata hizo huduma za mwanzo hawakuwa wametegemea atapona. Hao waliompatia huduma ya kwanza hawakuwa kwenye huo mpango wa uovu. Usidhani kila mtu huwa anashiriki uovu. Na ingetokea tu apelekwe Muhimbili hivi leo asingekuwepo.
Huu mjadala umeuleta hapa lakini nina uhakika utajuta kuuleta
Tundu Lissu ni pepo ,hatamuweza rais Magufuli hata siku moja,analipwa kwa kulitaja jina la rais Magufuli,asipolitaja atakufa njaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Lkn Serikali yetu walijua kwamba yupo kwenye Hospitali yetu, au unafikiri aliondolewaje kuhamishiwa Kenya, mlipora kutoka kwa Madaktari wa Serikali au?
Mungu aliwafumba akili wote na wenyewe wakaruhusu Lissu aende Kenya usiku ule...tena kwa ndega ya emergency!! sababu kama angekuja hapa Muhimbili muda huu angekuwa kaburini kalala.Utakuwa na shida wewe sio bure! Serikall ya nchi gani ilimtibu Lissu? Tofautisha Kati ya first aid na matibabu. Alivhopatiwa hospitali ya dodoma ni first aid na siyo matibabu kwani risasi zilizokuwa mwilini alienda nazo Nairobi na Belgium!
Narudia tena sio kila mtu wa serikali anashiriki uovu. Na baada ya shambulio la Lisu hata aliyekuwa anatoa maagizo kwa kificho, asingeweza kuwashirikisha watu wema kwenye huo uovu wake. Hao madaktari wa serikali hawakuwa sehemu ya hiyo nia ovu ya kumuua Lissu, wangewezaje kushirikishwa kwenye hiyo nia ovu tena kwa njia ya dharura? Lissu angepelekwa Muhimili leo hii mkewe angekuwa kashapata mume mwingine.
Hivi wewe unaelewa unachokiongea? Serikali yote na machinery yake waamue kukuuwa warashindwa? Yaani Amiri Jeshi Mkuu aamrishe uuwawe halafu washindwe na kwenda kukutibu Hospitalini?
Hivi wewe Mkuu Barbarosa hivi huoni aibu kutetea kitu ambacho ni cha dhahiri kabisa?
Hivi wewe hukumsikia Rais wakati anapokea ripoti yake ya makanikia, akitamka kuwa kwenye vita ya uchumi ni sawa na wale askari walioko "battle field" ambako "wanammaliza" mtu yeyote wanayemwona anawasaliti?
Hivi kwa yeye kutamka hivi bado tu hujiongezi na kujua alikuwa amemaanisha nini?
Unamaanisha nn hasa Mkuu?? Kila kitu kiko wazi. Waliomsaidia Mh Lissu kwa upande wa Serikali ni wale wachache ambao hawakushirikishwa kwenye mipango ile ya mauaji. Wakati mwingine muwe na chembe ya aibu na pia tusingependa ulete mzaha kwenye masuala yanayohusu maisha ya mwanadamu.Nani aliyempa Tundu Lisu huduma ya kwanza na hata kuponya maisha yake? Kama Serikali yetu ilikuwa na lengo la kumuua kama yeye mwenyewe Tundu Lisu asemavyo kwa nini wasingemtangaza dead alipochukuliwa Hospitalini?
Ni kweli...kwenye maandiko matakatifu Mfalme Daudi wa Israel alikiri mwenyewe kwamba KWA UMRI WAKE NA UONGOZI WAKE HAJAWAHI KUONA MWENYE HAKI AKADHURUMIKA AU HATA WATOTO WAKE WAKALALA NJAA KWANI MWENYEZI MUNGU ATAKUWA PAMOJA NAO.Tundu lisu anapenda haki. Wewe na MAGUFULI hawapendi Haki ikitamalaaki kwenye jamii.
Una.piga mtu RISASI?
ALPHONSE MAWAZO AMEUWAWA KINYAMA
BEN SANANE AMEPOTEA KAMA WANAVYOPOTEA KUKU
DIWANI KAGOYE AMEPOTEA KAMA KUKU TU
DIWANI WA HANANASIFU
YULE WA KILOMBERO
unaanzia wapi kumpenda MAGUFULI Kama wewe ni MPENDA Haki?
Zitto kabwe mbunge aliazimiwa kuuliwa mbele ya kuta za bunge ? Kosa la zitto ninini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali ni Mungu? Usitake kuichanganya serikali yote kwenye huo uovu ili kuficha mlengwa. Lissu huwa anaitaja serikali yote kwenye tuhuma za yeye kutaka kuuwawa? Nafasi pekee aliyo nayo amiri jeshi mkuu ya kuamrisha uuwawe, ni baada ya kuhukumiwa kifo mahakamani na yeye anasaibi kisheria. Amri nyingine zote nje ya hapo ni uovu, na ndio maana wanaoshirikishwa kwenye uovu huo ni wachache.
Inawezekana unayoyasema ndiyo yalikuwa matarajio ya washambuliaji na waliotoa maelekezo, lakini TL akatenda tofauti. Hali hiyo imewafanya wajutie walichokifanya maana kimewafanya wanuke dunia nzima.Ni kweli sijui mengi, lkn nina logic, things just dont add up, hata kisaikolojia tu huwezi kupigwa risasi karibia kufa halafu siku ya kwanza tu unafungua kinywa kutoka kwenye coma tayari unaanza vita, no one does that, watu wote walionusurika kifo hujitathmini maisha yao baada ya tukio na kubadilika, ...
Hivi wewe unaelewa unachokiongea? Serikali yote na machinery yake waamue kukuuwa watashindwa? Yaani Amiri Jeshi Mkuu aamrishe uuwawe halafu washindwe na kwenda kukutibu Hospitalini?
Tundu Lisu anasema Raisi Magufuli alitaka kumuua, unaelewa maana ya Raisi wa nchi kutaka kukuuwa? Ondoa emotions tumia logic!
Hivi wewe Mkuu Barbarosa hivi huoni aibu kutetea kitu ambacho ni cha dhahiri kabisa?
Hivi wewe hukumsikia Rais wakati anapokea ripoti yake ya makanikia, akitamka kuwa kwenye vita ya uchumi ni sawa na wale askari walioko "battle field" ambako "wanammaliza" mtu yeyote wanayemwona anawasaliti?
Hivi kwa yeye kutamka hivi bado tu hujiongezi na kujua alikuwa amemaanisha nini?