Na pia siyo kawaida mtu kupigwa risasi nyingi kiasi hicho halafu akaishi. TL bado anaishi, na baadhi waliotaka kumwua wametangulia na wengine watatangulia kabla yake.Lkn kisaikolojia mtu aliyenusurika kifo huwa haanzishi vita siku ya kwanza amepata ahueni hata watu wa medicine watakwambia, tukio kama hilo kwa kawaida hubadilisha maisha ya mtu for good, lkn Tundu Lisu hakuna kilichobadilika yuko vile vile before and after, hiyo ni ajabu sana.
Kwa akili yako unamaanisha Amiri Jeshi Mkuu ana nguvu kuliko Mungu Muumba wa Binadamu??
Tutaendelea kumuomba Mungu awarejeshee maumivu ya zile risasi wale wote waliopanga, waliotekeleza na hata waliosikia na kukaa kimya juu ya unyama ule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na pia siyo kawaida mtu kupigwa risasi nyingi kiasi hicho halafu akaishi. TL bado anaishi, na baadhi waliotaka kumwua wametangulia na wengine watatangulia kabla yake.
Mungu akitaka kumuaibisha shetani huibadilisha kawaida iliyozoeleka.
Lakini huwezi kubishana na Science labda kama umeamua tu kuwa mjinga.
Hilo linawezekana lakini pia inawezekana Mungu kamlaani na anamuadhibu, who knows?
Hivi hukumsikia yule mjinga mwingine aliyesema TL alifutiwa ubunge kwa sababu walikuwa hawajui TL alikokuwa? Wenzako hawajui hata kama alihudumiwa Dodoma!Lkn Serikali yetu walijua kwamba yupo kwenye Hospitali yetu, au unafikiri aliondolewaje kuhamishiwa Kenya, mlipora kutoka kwa Madaktari wa Serikali au?
Mungu amuadhibu kwa kumpiga risasi! Hapa naona ni kama unakula tikiti maji na cocacola. Ni hivi ni maagizo ya jiwe fullstop.
Hoja yako ya kipuuzi. Ufahamu kuwa uovu huwa haushirikishi kila mtu. Walichokuwa wakijua ni kuwa TL angeishia palepale. Hospitali ungeenda mwili tu. Mungu akafanya tofauti na mipango na matarajio ya waovu.Hivi wewe unaelewa unachokiongea? Serikali yote na machinery yake waamue kukuuwa watashindwa? Yaani Amiri Jeshi Mkuu aamrishe uuwawe halafu washindwe na kwenda kukutibu Hospitalini?
Ndio maana alitakiwa kutibiwa muimbili ili wammalizie,mjanja mbowe akashtukia mchezoNani aliyempa Tundu Lisu huduma ya kwanza na hata kuponya maisha yake? Kama Serikali yetu ilikuwa na lengo la kumuua kama yeye mwenyewe Tundu Lisu asemavyo kwa nini wasingemtangaza dead alipochukuliwa Hospitalini?
Hoja yako ya kipuuzi. Ufahamu kuwa uovu huwa haushirikishi kila mtu. Walichokuwa wakijua ni kuwa TL akimalizikia palepale. Hospitali ungeenda mwili tu. Mungu akafanya tofauti na mipango na matarajio ya waovu.
Wewe inawezekana umepitiliza kwenye ujinga. Science ya Saikolojia haijawahi kuwa halisia kwa kila kitu, wakati wote na kwa mazingira yote.Lakini huwezi kubishana na Science labda kama umeamua tu kuwa mjinga.
Sijaanzisha Mada kwa ajili yako na wala sijakulazimisha uamini chochote na sina huo uwezo. Acha kujadili Mada kwa emotions, siku zote jaribu kutumia logic ukiona huwezi potezea tu.
Amini hivyo hivyo. Na kule Sudan hakuna state machinery ndiyo maana Albashiri yupo na ndoo yake. Kuna watu mna ujinga uliotukuka.Raisi wa nchi hawezi kuamrisha state machinery ikuuwe halafu washindwe, wakutibu, wakulipe mshahara, wahudumie Familia yako, kwanza hata hapo Kenya tu kama ni Serikali yetu ingekuwa na nia ya kumfanyizia wasingempokea.
Hilo linawezekana lakini pia inawezekana Mungu kamlaani na anamuadhibu, who knows?
Tundu Lissu aliulizwa swali na mpiga simu mmoja kipindi cha Mandishi wa Kujitegemea Mubelwa Bandio, Washington DC, kama ana chuki na Magufuli.
Alijibu vizuri sana kwamba upinzani wake kwa Magufuli ni wa kisiasa tu, hana chuki binafsi.
Ushahidi huo hapo. Akitoka madarakani tunamletea hati ya kwenda ICC kwa Fatou Bensouda.Hivi wewe Mkuu Barbarosa hivi huoni aibu kutetea kitu ambacho ni cha dhahiri kabisa?
Hivi wewe hukumsikia Rais wakati anapokea ripoti yake ya makanikia, akitamka kuwa kwenye vita ya uchumi ni sawa na wale askari walioko "battle field" ambako "wanammaliza" mtu yeyote wanayemwona anawasaliti?
Hivi kwa yeye kutamka hivi bado tu hujiongezi na kujua alikuwa amemaanisha nini?
Waliamini kuwa atakufa kwa zile risasi baada ya kuhakikishiwa na BASHITE kuwa hawatafeli. Tukio lililokuwa linafuata ilikuwa kuchukua mwili na kwenda kuzika Ikungi Singida.Nani aliyempa Tundu Lisu huduma ya kwanza na hata kuponya maisha yake? Kama Serikali yetu ilikuwa na lengo la kumuua kama yeye mwenyewe Tundu Lisu asemavyo kwa nini wasingemtangaza dead alipochukuliwa Hospitalini?
Tunazidi kujenga ushahidi wa kumfikisha ICC muda wake wa Ikulu ukiisha. Mambo yako wazi Magufuli lazima akifishwe ICC na Makonda wake.Imedhihirika kuwa uongozi wa juu ulihusika kumdhuru Lissu. Inakuwaje mtu amepigwa risasi hadharani akiwa kazini akaomba apatiwe huduma za matibabu akanyimwa na kufukuzwa ubunge.
Anafukuzwa ubunge then anawekwa wa ccm huyo unayemtetea anawaambia wananchi wachache waliojitokeza kupiga kura na kumsikiliza Sasa nitaleta maendeleo.
Hii kauli inakera Sana
Mfano sisi huku Mbeya, Magufuli hatumtaki lakini Kodi tunalipa zaidi ya mikoa yenye mizizi na ccm Basi pesa zetu badala ya kuendeleza Mbeya anapeleka huko kwenye misukuma myenzie
Mnatukera sana
Sent using Jamii Forums mobile app