Kwanini Tundu Lissu anapewa airtime kubwa sana ITV kuliko Rais wa nchi? Serikali iwachunguze!

Kwanini Tundu Lissu anapewa airtime kubwa sana ITV kuliko Rais wa nchi? Serikali iwachunguze!

Dunia inaenda ku design tukio lile kama Ugaidi

Kama mnavyojua Ndugu zangu Dunia ikikutaja wewe ni Gaidi Jiandae kabisa utubu zambi zako mapema.
Wanakuzoa sehemu yoyote ulipo
Kwa hiyo kiufupi bimkora ni acomplise wa ugaidi kwa kufanya state sponsored terrorists kama iran
 
Pole. Lissu hajazuia kazi njema za Mh Rais. Tunaziona wote. Lissu hakuenda kutalii ulaya, ila alienda ubelgiji akiwa kitandni kwa risasi zako ulizoshiriki kumpiga. Sio lazima Lisu aje kuwa Rais wa nchi hii ila haki yake ya kuishi ni sawa na yako wewe muuaji unavyotaka kuishi. Wakati Lissu anawatetea wachimbaji Madini wa Bulyankulu Kahama na Nyamongo Tarime miaka 1995 mpaka 2010, kiasi cha kuwekwa ndani wewe ulikuwa unaimba mapambio, anazuia uwekezaji mkiwatetea wazungu. Leteni hayo mazungumzo ya Lisu na mabeberu. Leo unawaita mabeberu, kesho unawaita wafadhili, shame on you. Kama wewe unavyopewa nafasi hapa jf kuropoka na kutishia maisha mpaka vyombo vya habari, mwache Lisu au yeyote ajieleze na kutoa maoni yake.
Kopo hilo achana nalo, utapoteza muda.
 
There we go again.

Hii ni serious social thinking issue Tanzania.

Ya watu kudhani wengine wanamajukumu na responsibility ya achievements.

Ili ni moja ya tatizo kubwa sana amongst many others in social thinking.

Lazima apatikane mtu wa kunyoosha akili watanzania. Social thinking ya watanzia is serious problem to development.
Hii kitu ili ibadilike lazima mfumo wa elimu uanze ku inforce hayo mambo pamoja na critical thinking. Ila yes ni tatizo kubwa
 
Back
Top Bottom