Pole. Lissu hajazuia kazi njema za Mh Rais. Tunaziona wote. Lissu hakuenda kutalii ulaya, ila alienda ubelgiji akiwa kitandni kwa risasi zako ulizoshiriki kumpiga. Sio lazima Lisu aje kuwa Rais wa nchi hii ila haki yake ya kuishi ni sawa na yako wewe muuaji unavyotaka kuishi. Wakati Lissu anawatetea wachimbaji Madini wa Bulyankulu Kahama na Nyamongo Tarime miaka 1995 mpaka 2010, kiasi cha kuwekwa ndani wewe ulikuwa unaimba mapambio, anazuia uwekezaji mkiwatetea wazungu. Leteni hayo mazungumzo ya Lisu na mabeberu. Leo unawaita mabeberu, kesho unawaita wafadhili, shame on you. Kama wewe unavyopewa nafasi hapa jf kuropoka na kutishia maisha mpaka vyombo vya habari, mwache Lisu au yeyote ajieleze na kutoa maoni yake.