Uchaguzi 2020 Kwanini Tundu Lissu anarudia kanda ya Ziwa badala ya kwenda Kanda ya Kusini?

Kichwa chako ni sanduku la kutunzia meno tu bwashee!
 
Kama kuna mtu anakiunga mkono Chadema kutoka Kanda ya Ziwa hukuwahi kusafiri na Super Najimunisa kwa barabara ya Vumbi ama kupita Nairobi via barabara ya Lami ipitayo Moshi hatimaye Namanga.
Kwahiyo Chadema ndio walikuwa wamefunga njia?

Hivi kuchwa unafugia nywele tu?
 
Serikali zote Duniani zinajenga mabarabara.

Nyerere alijenga,mwinyi, mkapa,kikwete , magufuli na lissu atajenga.

Tunataka UHURU kwanza.

Tundulissu2020
Haya mawazo ya kijinga tu, ulishasikia barabara inajengwa DRC au Sudan ya kusini? nyerere miaka 25 alijenga pugu road tu tena kutoka fire hadi magomeni iliyojengwa na kajima, hivi watu walioshindwa kujenga hata ofisi ya chama wanakueleza nawewe unawasikiliza? we mjinga kiasi gani wewe?
 
Pumbavu kweli Wewe, nani Alikwambia Lissu ni Mnyiramba? Wanyiramba mnao huko Fisiemu majinga yenu Mwigulu na Kitila...
 
Lissu alishaeleweka kila kona ya Tanzania hata kabla hajaanza campaigns, Lissu alieleweka toka hata kabla hajatua Tanzania. Wengi walitamani awepo na ujio wake uliibua hisia za furaha ya wengi.
leo kahama kaonja joto ya jiwe, tunamsubiri katoro akikatiza atakuwa mwanaume
 
Serikali zote Duniani zinajenga mabarabara.

Nyerere alijenga,mwinyi, mkapa,kikwete , magufuli na lissu atajenga.

Tunataka UHURU kwanza.

Tundulissu2020
nyerere alijenga barabara gani? sialijenga magomeni pugu road na mza musoma alivyokaribia kustaafu, mwinyi alijenga ipi? tatizo jf yamejaa matoto ya 90s
 
Tundu Lissu yuko Tabora akielekea Shinyanga kwa ajili ya mikutano ya kampeni.

Nauliza tu kwanini haendi kanda ya Kusini?

Maendeleo hayana vyama!
Inajulikana amejipanga kutumia wahuni kufanyafujo huko hasa anatumia wahuni kutoka kwenye majimbo ya madini kutoka Kahama na maeneo ya jirani lakini nasikia taarifa zimeshavuja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…