Uchaguzi 2020 Kwanini Tundu Lissu anarudia kanda ya Ziwa badala ya kwenda Kanda ya Kusini?

Waulize tume ndiyo wanapanga ratiba,
Kwani Lissu ndiye tume?
 
Ukiangalia huu ushabiki humu, huwa najiuliza hivi hawa wanasiasa wanavyopitia hizi comments zetu humu huwa wanatuonaje sie wananchi?
 
Anatapatapa tu. Hajuwi hata alitakalo. Subiri uone atakavyogalagazwa...bora arudi tu kule ushogani alipokuwa anatunzwa na wanaume wenzake..
 
 
Hii nayo ni sera? Kweli maccm mmepakatwa!
 
Kusini kufanya nini wakati uko magufuli ameshakataliwa kitambo? Kanda ya ziwa ndyo mbumbumbu wengi waanatakiwa waelimishwe zaidi.

Haiwezekani unaishi within 5km kutoka ziwa victoria alafu maji mnapata kwa mgao.
 
Tundu Lissu yuko Tabora akielekea Shinyanga kwa ajili ya mikutano ya kampeni.

Nauliza tu kwanini haendi kanda ya Kusini?

Maendeleo hayana vyama!

Jaribu kuomba uingie kwenye vikao vyao vya kampeni upate taarifa na maelekezo! Sisi tunajuaje
 
Heche ni baba yako? Matiko na Bulaya ni mama zako? Ukerewe kabla ya figisu lilikuwa linaongozwa na babako? Huna akili mwamba!
Badala ya kujibu wewe unauliza.

Hovyo kabisa we mchaga, nadhani wewe siyo machame ni wale wachovu wa rombo!
 
Kusini wala haina haja ya kampeni maana walima koroshow wana vichinjiovyao wanasubiri Nda tu..! Enheewanasubiri Nda na sio Muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…