Uchaguzi 2020 Kwanini Tundu Lissu anatumia muda mwingi kutafsiri Katiba na Sheria badala ya kutangaza sera?

Leo ndio nimeamini wewe ni hamnazo!

Jamii yoyote ya kistaarabu ya binadamu ni lazima' na wajibu kufuata 'Sheria' na taratibu iliyojiwekea.

Nyie maccm mnataka wananchi wasizifahamu vizuri Sheria za nchi ili muendelee kuwaburuza kama mizoga?
 
Kabisa anaongea huu ujinga wengine mnashangilia..Sasa umuhimu wa
Amiri jeshi mkuu Ni Nini na maeneo yasiyokua na rasilimali yatapataje maendeleo....huyu jAMAA mlamba miguu ya wazungu mpumbavu sana
Kwa iyo wewe ukisikia amiri jeshi mkuu unaelewa fedha zote ziwe chini yake????

Kweli CCM wamezalisha watu wajinga sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Fedha zote za South Africa ziko chini ya Ramaphosa??? Fedha zote za Uingereza ziko chini ya Malkia??? Fedha zote za Marekani ziko chini ya Trump??? Fedha zote za Kenya ziko chini ya Uhuru Kenyata??? Fedha zote za Nigeria ziko chini ya Buhari??? Fedha zote za Canada ziko chini ya Waziri Mkuu wao???

Wana Lumumba mliopo humu, embu jitahidini basi hata kusoma na kufuatilia kwa makini mambo ya duniani huko. Mnaliaibisha sana jukwaa hili kwa kweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani meko na mkoloni wanatofauti gani?
Miradi mingi lakini wananchi wako kwenye maisha ya mateso, umaskini na shida.
 
Jamaa anawapenda wazungu huyu!

Hivi anaona kabisa tz bila mzungu haiwezi kuwepo?
 
Hana sera yoyote ya maana hata saccos imeshindwa amebaki kuongea uzuzu tu!
 
Jamaa anawapenda wazungu huyu!

Hivi anaona kabisa tz bila mzungu haiwezi kuwepo?
Kwani kuna shida???

Wewe kama fedha za kigeni za nchi zinategemea hao wazungu Kwa nini usiwapende???

Sekta inayoongoza siku zote kwa kuingiza fedha za kigeni ni utalii. Na watalii hao wanaokuja wengi ni wamarekani, waingereza na wajerumani ( wote ni wazungu)

Sekta inayofuata ni madini na makampuni makubwa yanayochimba madini tanzania ni ya wazungu( Anglo Gold Ashanti na Barick)

Bajeti yetu inafadhiliwa kwa asilimia 40 na wafadhili ambao wanaoongoza ni (Marekani, Canada, Sweden, Norway, Denmark na Ujerumani) wote hao ni wazungu!!

Labda nikuulize, kwa ufafanuzi huu utawachukia wazungu???
 
Leo ndio nimeamini wewe ni hamnazo!

Jamii yoyote ya kistaarabu ya binadamu ni lazima' na wajibu kufuata 'Sheria' na taratibu iliyojiwekea.

Nyie maccm mnataka wananchi wasizifahamu vizuri Sheria za nchi ili muendelee kuwaburuza kama mizoga?
Hahahaaaa........ Wewe unazo!
 
Ni sawa lakini siyo kwa kuwaramba kama anavyofanya huyo jamaa yenu
 
Lumumba wote ni malumpen proletariat
 
Hujapata hata like moja hata masisiem menzio yamekukimbia!
 
Ukiwa na ubongo wa sisimizi huwezi kumuelewa Lissu.

Nakushauri kwakuwa wewe binafsi umeshindwa kuelewa alichokisema Lissu kwasababu hukujaliwa ubongo wa kutosha, ingekuwa vema uwaulize watu wenye uelewa wakueleweshe. Usilazimishe kuelewa jambo usilokuwa na uwezo nalo.
 
Hivi sera huwa ni vitu gani hasa specific?
 
Uhuru na haki in ilani ya CDM context maana yake nini?
 
Mtaokoteza kila kitu mwaka huu.
Ukoloni kauleta mtu wenu katika hii miaka mitano.
 
Katiba na sheria ndio sera kuu za taifa.Watu wakishajua sheria na haki zao hayo ni maendeleo makubwa sana,maana hata ukifanya mambo yaliyo kinyume na sheria,watapata ujasiri wa kukuhoji na kukuuliza kwa nn unafanya ivyo.Nazipenda sana kampeni za Lisu,natamani ziwekwe kwenye kitabu watoto wa kidato cha pili na cha tatu wakasome!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…