Uchaguzi 2020 Kwanini Tundu Lissu anatumia muda mwingi kutafsiri Katiba na Sheria badala ya kutangaza sera?

Naisi ubongo wake haufanyi kazi kabisa
 
Huyu jamaa elimu aliyotoa kwenye kampeni zake ni elimu ambayo inahitaji kusome semister 4 chuo
 
Sisi tumemuelewa
 
Sasa unatka sera gan mzee, wakat maswal y kurekebsha katiba n kuleta katiba mpya kwa watanzania ipo ndan ya ilani yake n ndo kitu ch kwnza katik sera zake, kwa kifupi lissu hajawahi kuongea mambo out of his ilani sio kma yule mgombea wenu
 
Tumieni akili,humu JF mnaandika watanzania mbalimbali wasome!Hapa sio jukwaa la CCM na Chadema tu!
Kujivua utimamu wako na kuandika upuuzi unakuwa hauwatendei haki wana JF!
 
Lissu yatamkuta yanayomkutaga Prof Lipumba kila uchaguzi. Hua ana spend muda mrefu wa kampeni kuelezea theory za uchumi kuliko kutangaza atawafanyia nini wananchi same to Lissu ana spend muda murefu kuchambua katiba na sheria kuliko kuwambia atawafanyia nini wananchi, comes 28th wananchi wamekariri tu vifungu vya sheria hawakumbuki uliwaahidi nini kwenye kampeni wanakupiga spana unaanza kutisha kuingiza watu barabarani watembee hadi The Hague.
 
Yohana Mbatizaji kongole kwa uwasilishaji wa maoni yako yaliyoshiba kwa ustadi mkubwa. Ni wanaJF wachache wanaweza kukuelewa. Wewe ni kati wa wanaukoo wa JF ninaowaheshimu sana. Kwa wale ambao hawakukuelewa ni kwamba Yohana anampongeza TAL kwa kutoa elimu ya uraia (ambayo imefutwa mashuleni) kwa WaTz kupitia mikutano ya kampeni, fursa adimu . Ukiwasikiliza baadhi wa waTz utasikia sasa wanasema, ooh hatukujua kuwa hiki na hiki kiko hivi!! TAL ameatufungua macho. Wachache walijua kuwa Magufuli amejenga uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini kwake kwa ajili yake na familia yake bila kufuata sheria na kanuni za nchi kuhusu miradi kama hiyo. Endelea na kazi nzuri Yohana.
 





Anafikiri yupo mahakamani
 
Somo la kuhusu maadili ya uchaguzi ninyi pamoja na NEC naona litakuwa limewaingia vizuri, next time msikurupuke sawa!!
 
Kama wewe huhitaji hayo anayoongea usimsikilize. Au ulitaka aseme akiwa rais atazuia Maendeleo kwa wanaccm? Ukitaka kusikia hayo we nenda kampen za ccm.
 
Tukuulize mbona Jiwe muda mwingi ni kuongelea ngono tuu? Au ndizo sera za Ccm?
 
 

Lissu is very smart & strategic! Hilo darasa ni muhimu sana ili sisi wapiga kura tuelewe kwa usahihi ni nini kinaendelea na hao Tume & ccm yao wakileta figisu figisu za kipuuzi tuweze kufanya maamuzi sahihi tukijua bayana mchele ni upi na pumba ni zipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…