Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Naisi ubongo wake haufanyi kazi kabisaUkiwa na ubongo wa sisimizi huwezi kumuelewa Lissu.
Nakushauri kwakuwa wewe binafsi umeshindwa kuelewa alichokisema Lissu kwasababu hukujaliwa ubongo wa kutosha, ingekuwa vema uwaulize watu wenye uelewa wakueleweshe. Usilazimishe kuelewa jambo usilokuwa na uwezo nalo.