Mkuu usiwe na moyo mgumu kuamini. Ni kweli CCM ni wezi sana, lakini Mara zote huwa inategemea huyo aliye mbele yukoje? Kama ni muoga basi wote nyuma yake wanakuwa waoga mfano mdebwedo kama Lowassa unategemea ingekuwaje?Kusema kweli tunajisumbua tu.. Tundu Lissu hawezi kuwa Rais sio kwasababu kura hazitatoshaa bali ni kwasababu ya corwadice ya Watanzania.
Hauna amani mkuu?8. Atatokomeza wasiojulikana tutaishi kwa amani ya moyo.
Ujaji wanagombea?Kama anataka kusimamia haki si akagombee ujaji basi
Sawa mkuu, tupo na tutaona..Atachaguliwa tena kwa kura nyingi kuliko watu wanavofikiria kama kuna mwaka ambao CCM itasambaratika ni baada ya matokeao ya uchaguzi kutangazwa Mungu anataka kuliinua hili taifa ambalo limebarikiwa kuwa na utajiri mwingi, lakini watu wake ni masikini wa kutupwa.
Mkuu Watanzania wepi wataandamana?? Wale waliokuwa wanakesha na mange kwenye mitandao alafu mwisho wa siku tarehe ikifika ya kuingia barabarani wanajibanza vyumbani na simu zao!!Mkuu usiwe na moyo mgumu kuamini. Ni kweli CCM ni wezi sana, lakini Mara zote huwa inategemea huyo aliye mbele yukoje? Kama ni muoga basi wote nyuma yake wanakuwa waoga mfano mdebwedo kama Lowassa unategemea ingekuwaje?
Leo yupo Lissu, ambaye tunamuona hata akiwa jukwaani sio muoga na ujasiri wake hakuna mfanowe Tanzania nzima tokea 2015 awamu hii katili iingie madarakani.
Pia Lissu kesha sema habari ya kumuachia Mungu hilo wasahau maana wakiiba kitawaka. Na kwa dunia ya sasa watu wakiandamana hata kama ni wahuni kudai haki ya kura zao na mkaua hata mmoja hao "mabeberu" wanapata sababu ya kunyea debe wahusika, jee wanataka hilo?
Wewe ni wasiojulikana ?!. Hebu ngoja nimwambie Zakaria kuwa ni wewe.Acha ujinga na Akili mgando nawewe unajikuta heti huishi kwa Amani.
Kwa maisha gani uliyonayo Kobe wewe.. yani wewe hata ukienda kulala polini ukiondoa kudhuliwa na wanyama wakali utabaki salama kabisa.
Mtu hujawahi hata kusikia mlio wa bunduki tangu uwepo hapa Tanzania ndo unakuwa wa kwanza kuleta unafiki wako hapa.
Siasa Ni Mbaya Sana .
Hebu ikosoe serikali tuone kama utakuwa na amani !!Hauna amani mkuu?
Mkuu hii ni level nyingine ya uhalisia sio ile ya mange ya kusadikika.Mkuu Watanzania wepi wataandamana?? Wale waliokuwa wanakesha na mange kwenye mitandao alafu mwisho wa siku tarehe ikifika ya kuingia barabarani wanajibanza vyumbani na simu zao!!
Mkuu kama mnategemea sie Watanzania kuingia barabarani ni bora mje na strategy nyingine tu. Kama kikundi cha wahuni kinadhubutu kuingilia msafara wa Lissu na kuleta taharuki alafu mnashindwa kukamata hata watano muwavunje miguu ndio tutaweza pambana na FFU na JWTZ ikibidi??
Tuvuke daraja tutakapolifikiaKusema kweli tunajisumbua tu.. Tundu Lissu hawezi kuwa Rais sio kwasababu kura hazitatoshaa bali ni kwasababu ya corwadice ya Watanzania.
Kajibrand lini kuwa yeye ni mkenya au ndiyo mnasimuliana haya mashuduTanzania hatupo tayari kuongozwa na mtu anaeji brand kuwa yeye Ni mkenya kwasabab ana damu nyingi ya Kenya. Mwisho wa siku akiingia ikulu ashirikiane na wakenya wenzake kuiuza Tanzania kwa Mabosi wake wa Ubelgiji.
Yani jinsi unavyounga unga tu hoja inaonesha wazi kabisa kuwa wewe Ni mnfiki Wala huna la maana.Soma vizuri nilichondika , amani ya moyo. Lissu akiwa rais tutaishi bila hofu ya kutekwa.
Mlio wa bunduki niliushuhudia kinondoni alipouawa Akwilina (RIP).
Pinga kwa hoja kama anavyofanya Lissu sio kwa povu.
Huko CCM nani anajua kujenga hoja,wao wakizidiwa hoja jibu ni AK-47Soma vizuri nilichondika , amani ya moyo. Lissu akiwa rais tutaishi bila hofu ya kutekwa.
Mlio wa bunduki niliushuhudia kinondoni alipouawa Akwilina (RIP).
Pinga kwa hoja kama anavyofanya Lissu sio kwa povu.
Ndio hatujawahi tangu Taifa hili liwe huru.Mr Tyang una maana kuwa Tz hatujawahi kuongozwa na mtu asiye Mtanzania? Hiyo ya kuwekewa damu ya mtu haibadili wewe kuwa mtu yule.Acha kubabaisha wajinga!
Kamusikilize vizuri Tena ili uje uache kupindisha alichokisema ndugu yako..Hajajibrand kuwa ni Mkenya amesema ana damu ya wakenya sababu aliwekewa damu nyingi akiwa anatibiwa sasa kusema hivo ndo imekuwa shida, maneno mengine yaani hata hofu ya Mungu hatuna.