Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,751
- 3,698
Mtatatizo makubwa mara ngapi mbona tuna mtatizo makubwa tayari? Ccm must go!
Yeye mwenyewe angekuwa anasimama mbele ya watu anatoa madini Kama hayo, angekubalika zaidi ya anavyojihisi shida yeye anapata wakati mgumu kuongea hivi.1. Anaijua sheria ataongoza taifa kwa misingi ya haki
2. Hana tamaa ya mali, hatokimbilia kujenga mahekalu kwa na kiwanja cha ndege cha kimataifa kijijini kwao Mahambe, hawezi, hawezi hubadili msitu wa Mahambe kua hifadhi ya wanyama.
3. Ni muelewa mzuri wa masuala ya kimataifa, atasaidia kuimarisha diplomasia ya kimataifa
4. Hatorusu kuingia mikataba ya kinyonyaji kwa sababu ni mjuzi wa sheria
5. Hana rekodi ya ufisadi wala tuhuma zozote rushwa. Ni mwadilifu
6. Haturuhusu DPP kuchelewesha kesi mahakamani kusababisha mrundikano wa wafungwa
7. Hatoruhusu ubambikiaji wa kesi na uonevu unaofanywa na baadhi ya polisi
Atumie mawakili wa ndani muwafutie uwakili kama Fatma Karume??? Mpige mabomu ofisi zao kama mlivyofanya kwa kampuni ya Imma advocates???!
Lissu kawashika pabaya sana Mataga na Lumumba!!! Poleni sana, jiandaeni tu kumkabidhi nchi hapo October kwa amani, maana hakuna namna!!
Mali ilikuwa hivi hiviKusema kweli tunajisumbua tu.. Tundu Lissu hawezi kuwa Rais sio kwasababu kura hazitatoshaa bali ni kwasababu ya corwadice ya Watanzania.
Hajajibrand kuwa ni Mkenya amesema ana damu ya wakenya sababu aliwekewa damu nyingi akiwa anatibiwa sasa kusema hivo ndo imekuwa shida, maneno mengine yaani hata hofu ya Mungu hatuna.
Hawezi kuwa Rais, mpaka aamue kubadili kinywa chake na maneno anayotamka.
Mkuu unafananisha mataifa ya West na letu?? Kwanza hata usiseme Mali hapo Malawi tu walifanya hivyo. Ila unafikiri mifumo yao ni sawa na yetu??Mali ilikuwa hivi hivi
Lissu awezi kupata uraisi, atausoma kwenye fom tu, kwanza ni mla rushwa mkubwa, alikula ela za Lowassa na kuanza Kalamba matapishi yake kirahisi, ana msimamo anayeyumbayumba afai kuwa kiongozi.Aanze kusema nini kwa mfano kwa kutumia huo "mdomo" wake?
kwamba, ni Magufuli aliyejenga reli ya kati Dar - Mwanza na Tabora Kigoma - Mpanda mwaka 1902 na siyo Mjerumani?
KWAMBA, Magufuli kachimba msingi tu wa ujenzi wa nyumba kule Chato na hajajenga INTERNATIONAL AIRPORT?
KWAMBA, Magufuli hakuzuia pesa ya matibabu ya Tundu Lissu kiongozi mwenzake kabisa wa kuchaguliwa?
KWAMBA, Tundu Lissu aanze kusema uongo na kumsifu yesu wa Kangi Lugola??
Lissu awezi kupata uraisi, atausoma kwenye fom tu, kwanza ni mla rushwa mkubwa, alikula ela za Lowassa na kuanza Kalamba matapishi yake kirahisi, ana msimamo anayeyumbayumba afai kuwa kiongozi.
Wewee, hiyo namba acha kabisa. Lissu hajawahi kula cha mtu ni msafi na hapendi ujinga. Lete ushahidi wa Lissu kushtakiwa popote kwa sababu ya Rushwa.Lissu awezi kupata uraisi, atausoma kwenye fom tu, kwanza ni mla rushwa mkubwa, alikula ela za Lowassa na kuanza Kalamba matapishi yake kirahisi, ana msimamo anayeyumbayumba afai kuwa kiongozi.
2015 Lissu aliongea maneno kama yako kumsea Lowassa kuhusu tuhuma za ufisadi za Lowassa.Wewee, hiyo namba acha kabisa. Lissu hajawahi kula cha mtu ni msafi na hapendi ujinga. Lete ushahidi wa Lissu kushtakiwa popote kwa sababu ya Rushwa.
Lissu Rais 2020, hutaki kaa kimya ujionee.
Hahahaaaa #Niyeue2020
uchumi wa katiAtumie mawakili wa ndani muwafutie uwakili kama Fatma Karume??? Mpige mabomu ofisi zao kama mlivyofanya kwa kampuni ya Imma advocates???!
Lissu kawashika pabaya sana Mataga na Lumumba!!! Poleni sana, jiandaeni tu kumkabidhi nchi hapo October kwa amani, maana hakuna namna!!