KIKI CORAL
Senior Member
- May 10, 2023
- 183
- 313
- Thread starter
- #61
Shida ni nini hadi vyombo vya habari vinaamua kuwa upande wa watawala bila kujali hali ilivyo yaani ni kama mambo ya wananchi hayawahusu, ila wanataka wananchi ambao ndio wasikilizaji wao wawaunge mkono?Wapo biased, UFm, efm,clouds wote ni machawa wa ccm, wameshikwa pumbu na ccm, hawawezi kufurukuta,
Je hizi media hatuna nguvu ya kuwasusia bidhaa zao? au tubanane tu nao