Shida ni nini hadi vyombo vya habari vinaamua kuwa upande wa watawala bila kujali hali ilivyo yaani ni kama mambo ya wananchi hayawahusu, ila wanataka wananchi ambao ndio wasikilizaji wao wawaunge mkono?
Je hizi media hatuna nguvu ya kuwasusia bidhaa zao? au tubanane tu nao