Wote ni washenzi, maana tuangalie kitu kimoja hawa walikua washirika wakubwa tu, nini kiliwafanya wapigane walikua wanagombania nini? Wote ni wale wale tuSikuzote mshindi ndio anaandika history.
Isingekua nyuki hwa washenzi ungekuta wamefika huku kwetu.
Ila walivyokuja kupoa ndio wamepoa zaidi ya maji mtungini.Mongolia walikuwa wakatili balaa. Yani walihakikisha wana spread terror throughout
Fasta ipi unayoizungumzia alionywa akakaza shingo baada ya kupigwa Hiroshima bado akaendelea kukaza shingo bomu la pili ndo liliwafanya kukaa mezani nakukubali yaishe, Isingekuwa nuklia wajapan wasingekubali yaaisheJapan alikua fasta kukaa meza ya makubaliano. Akakubali kua neutralized.
Nafikiri hii ilichangia wao kuonekana wana hamu na amani ya dunia. Tofauti na allies wengine ambao ilibidi mwingine ajiue simply ili asiguswe na UK na wenzake.
Historically utapata askari wengi wa Ujerumani ambao walikimbia kwenda nchi zingine kukwepa kuwajibika kwa matendk yao wakati Japan hawana hizi kesi nyingi. In fact mamlaka zilishiriki kuwawajibisha.
So ghafla Japan akawa anaonekana good guy ambaye ilikua ni misunderstandings ndogo ndogo ndiyo zimemfikisha kwenye kua katili.
inasemekana japan alikua yupo tayari kusitisha mapambano kabala hata ya bomu la kwanza, mwisho wa siku key players ndo wanajua ukweli halisi ni upiFasta ipi unayoizungumzia alionywa akakaza shingo baada ya kupigwa Hiroshima bado akaendelea kukaza shingo bomu la pili ndo liliwafanya kukaa mezani nakukubali yaishe, Isingekuwa nuklia wajapan wasingekubali yaaishe
Interval ya bomu la kwanza mpaka la pili ni siku ngapi?Fasta ipi unayoizungumzia alionywa akakaza shingo baada ya kupigwa Hiroshima bado akaendelea kukaza shingo bomu la pili ndo liliwafanya kukaa mezani nakukubali yaishe, Isingekuwa nuklia wajapan wasingekubali yaaishe
Kama walikubali sio wote hivi unajua hata Hirohito ambaye ndo kiongozi mkuu alipotangaza kuwa wamesurrender kuna makamanda wajeshi walikataa nakusema hata kama hiyo oda imetoka kwa kiongozi mkuu hawakubali ku surrenderinasemekana japan alikua yupo tayari kusitisha mapambano kabala hata ya bomu la kwanza, mwisho wa siku key players ndo wanajua ukweli halisi ni upi
wavokataa oder ya hirohito then wakafanya nini? na walikua wapi? lastly japanese style was always to protect the emperorKama walikubali sio wote hivi unajua hata Hirohito ambaye ndo kiongozi mkuu alipotangaza kuwa wamesurrender kuna makamanda wajeshi walikataa nakusema hata kama hiyo oda imetoka kwa kiongozi mkuu hawakubali ku surrender
Interval ya bomu la kwanza na la pili ni siku nneInterval ya bomu la kwanza mpaka la pili ni siku ngapi?
Nimesema akakubali kua neutralized alipofika mezani.
Kuna wengine walivyofika mezani wakagomea neutralization.
Usisome ili uje kunijibu, be genuine kwamba unataka kuona hoja yangu kabla haujaicounter
Neutralization siyo uamuzi ni lazima kama miongoni mwa masharti.Interval ya bomu la kwanza na la pili ni siku nne
Embu twende kwa data na matukio itafaa zaidi, ni lini aliamua kukaa mezani na kuamua kuwa neutralized
Walikuwa ni makamanda wa jeshi la maji. Baada kama siku mbili Ilikuepuka uasi ilibidi atoe speech nyingine kwa maofisa wajeshi kuonyesha ni kwajinsi gani mambo yamekuwa mabaya kwao maana sio US tu hata Soviet nao waliingia vitani kuwashambulia alifanya hivyo ilikuwashawishi waachane na vita.wavokataa oder ya hirohito then wakafanya nini? na walikua wapi? lastly japanese style was always to protect the emperor
Mkuu kwani lazima kejeli za Imani ndo mijadala unoge au huwa mnapata raha na psychological warfare za kidini? Kama hujakubaliana nae si unapotezeaPale elimu akhera inapokuwa na nguvu kichwani....uchambuzi bora kabisa wa kisunna kutoka kwa mtu wa maana kabisaaaa....
navy ndo walikuawabishi? mbona documents nyingi hua zinasema navy ilikua inailaumu sana army kuwaingiza vitani? nitafanya research zaidiWalikuwa ni makamanda wa jeshi la maji. Baada kama siku mbili Ilikuepuka uasi ilibidi atoe speech nyingine kwa maofisa wajeshi kuonyesha ni kwajinsi gani mambo yamekuwa mabaya kwao maana sio US tu hata Soviet nao waliingia vitani kuwashambulia alifanya hivyo ilikuwashawishi waachane na vita.
Ha ha ha mkuu umefikiria mbali sanaJapan miscalculations tu na strategy zake ndo zilimfelisha, lasivyo hata huu ukanda wa pwani ya africa yawezekana tungekua tunakipiga kijapan na mtaani majina kama Kaoru Mitoma na Wataru Endo yangekua yakumwaga
Kazikazi emperial japan ilikua 🤣Ha ha ha mkuu umefikiria mbali sana
Watu kama hao ni wa kupuuza tu, maana ukimuuliza angezaliwa milimani Tibet huko anadhani angekua dini gani atakaa kimya tuMkuu kwani lazima kejeli za Imani ndo mijadala unoge au huwa mnapata raha na psychological warfare za kidini? Kama hujakubaliana nae si unapotezea
Nmechanganya sio navy nimajeshi yaliyokuwa nje ya japan/overseas kama ufilipinanavy ndo walikuawabishi? mbona documents nyingi hua zinasema navy ilikua inailaumu sana army kuwaingiza vitani? nitafanya research zaidi
Embu fafanua naona unaishia tu kwenye neutalization Pengine ukifafanua ntakuelewa zaidiNeutralization siyo uamuzi ni lazima kama miongoni mwa masharti.
Sijaelewa unataka matukio gani.
Kamsome Saburo Sakai
Samahani ndugu yangu.Embu fafanua naona unaishia tu kwenye neutalization Pengine ukifafanua ntakuelewa zaidi
Ulishawahi sikia Shogunhii ndo sababu hadi leo huwezi kumweka raia wa japan na china pamoja. ukikaa na mjapani atakwambia tu "beware of chinese" kwamba wachina wanaweza hata kukuibia hawaaminiki na sio waut wazuri. ukikaa na mchina, atakwambia mabaya tu ya mjapani.