Kwanini ukatili wa kutisha wa Japan hauzungumzwi sana tofauti na wa Mjerumani katika vita vya pili vya dunia?

Japan alikua fasta kukaa meza ya makubaliano. Akakubali kua neutralized.

Nafikiri hii ilichangia wao kuonekana wana hamu na amani ya dunia. Tofauti na allies wengine ambao ilibidi mwingine ajiue simply ili asiguswe na UK na wenzake.

Historically utapata askari wengi wa Ujerumani ambao walikimbia kwenda nchi zingine kukwepa kuwajibika kwa matendk yao wakati Japan hawana hizi kesi nyingi. In fact mamlaka zilishiriki kuwawajibisha.

So ghafla Japan akawa anaonekana good guy ambaye ilikua ni misunderstandings ndogo ndogo ndiyo zimemfikisha kwenye kua katili.
Fasta ipi unayoizungumzia alionywa akakaza shingo baada ya kupigwa Hiroshima bado akaendelea kukaza shingo bomu la pili ndo liliwafanya kukaa mezani nakukubali yaishe, Isingekuwa nuklia wajapan wasingekubali yaaishe
 
inasemekana japan alikua yupo tayari kusitisha mapambano kabala hata ya bomu la kwanza, mwisho wa siku key players ndo wanajua ukweli halisi ni upi
 
Interval ya bomu la kwanza mpaka la pili ni siku ngapi?

Nimesema akakubali kua neutralized alipofika mezani.

Kuna wengine walivyofika mezani wakagomea neutralization.

Usisome ili uje kunijibu, be genuine kwamba unataka kuona hoja yangu kabla haujaicounter
 
Kama walikubali sio wote hivi unajua hata Hirohito ambaye ndo kiongozi mkuu alipotangaza kuwa wamesurrender kuna makamanda wajeshi walikataa nakusema hata kama hiyo oda imetoka kwa kiongozi mkuu hawakubali ku surrender
 
wavokataa oder ya hirohito then wakafanya nini? na walikua wapi? lastly japanese style was always to protect the emperor
 
Interval ya bomu la kwanza mpaka la pili ni siku ngapi?

Nimesema akakubali kua neutralized alipofika mezani.

Kuna wengine walivyofika mezani wakagomea neutralization.

Usisome ili uje kunijibu, be genuine kwamba unataka kuona hoja yangu kabla haujaicounter
Interval ya bomu la kwanza na la pili ni siku nne
Embu twende kwa data na matukio itafaa zaidi, ni lini aliamua kukaa mezani na kuamua kuwa neutralized
 
hii ndo sababu hadi leo huwezi kumweka raia wa japan na china pamoja. ukikaa na mjapani atakwambia tu "beware of chinese" kwamba wachina wanaweza hata kukuibia hawaaminiki na sio waut wazuri. ukikaa na mchina, atakwambia mabaya tu ya mjapani.
 
Neutralization siyo uamuzi ni lazima kama miongoni mwa masharti.

Sijaelewa unataka matukio gani.

Kamsome Saburo Sakai
 
wavokataa oder ya hirohito then wakafanya nini? na walikua wapi? lastly japanese style was always to protect the emperor
Walikuwa ni makamanda wa jeshi la maji. Baada kama siku mbili Ilikuepuka uasi ilibidi atoe speech nyingine kwa maofisa wajeshi kuonyesha ni kwajinsi gani mambo yamekuwa mabaya kwao maana sio US tu hata Soviet nao waliingia vitani kuwashambulia alifanya hivyo ilikuwashawishi waachane na vita.
 
navy ndo walikuawabishi? mbona documents nyingi hua zinasema navy ilikua inailaumu sana army kuwaingiza vitani? nitafanya research zaidi
 
Japan miscalculations tu na strategy zake ndo zilimfelisha, lasivyo hata huu ukanda wa pwani ya africa yawezekana tungekua tunakipiga kijapan na mtaani majina kama Kaoru Mitoma na Wataru Endo yangekua yakumwaga
Ha ha ha mkuu umefikiria mbali sana
 
Neutralization siyo uamuzi ni lazima kama miongoni mwa masharti.

Sijaelewa unataka matukio gani.

Kamsome Saburo Sakai
Embu fafanua naona unaishia tu kwenye neutalization Pengine ukifafanua ntakuelewa zaidi
 
hii ndo sababu hadi leo huwezi kumweka raia wa japan na china pamoja. ukikaa na mjapani atakwambia tu "beware of chinese" kwamba wachina wanaweza hata kukuibia hawaaminiki na sio waut wazuri. ukikaa na mchina, atakwambia mabaya tu ya mjapani.
Ulishawahi sikia Shogun
 
Back
Top Bottom