Japan alikua fasta kukaa meza ya makubaliano. Akakubali kua neutralized.
Nafikiri hii ilichangia wao kuonekana wana hamu na amani ya dunia. Tofauti na allies wengine ambao ilibidi mwingine ajiue simply ili asiguswe na UK na wenzake.
Historically utapata askari wengi wa Ujerumani ambao walikimbia kwenda nchi zingine kukwepa kuwajibika kwa matendk yao wakati Japan hawana hizi kesi nyingi. In fact mamlaka zilishiriki kuwawajibisha.
So ghafla Japan akawa anaonekana good guy ambaye ilikua ni misunderstandings ndogo ndogo ndiyo zimemfikisha kwenye kua katili.