Kwanini ukienda hospitali idadi kubwa ya wanaotibiwa ni wanawake?

Kwanini ukienda hospitali idadi kubwa ya wanaotibiwa ni wanawake?

Anachokisema mtoa mada kipo, me nililigundua hili nilipompeleka wife kuanza clinic, asee!
Wanaume wanahesabika zahanati nzima wamejaa wanawake, wanaume wengi wamesindikiza watu wao, na waliokuja kutibiwa unawahesabu kwa vidole.
Yaani 5% kwa 95%
 
Asilimia kubwa ya sisi wanaume tuna tabia ya kupuuza maradhi tofauti na kina mama ambao wao kila maumivu huchukulia ni kitu serious.
Mimi binafsi mpaka kwenda hospitali ni iwe nimeshikika hasa.

Pengine ndio maana huwa hata kwenye ndoa tunakufa mapema kabla ya wake zetu.
 
Ukienda kanisani ni hivyo hivyo,kwa waganga pia wanawake ndio wengi
Kwa ufupi hawakubali kufa kizembe
Au tuseme ni uoga wao tu
Kanisani kwetu Kuna utaratibu wa kusoma idadi ya wanaume na wanawake waliohudhuria Ibadan jumapili iliyopita. Jumapili ya Jana wakatutangazia kwamba jumapili iliyopita akina mama walikuwa 344 na akina baba 88 !
 
Kanisani kwwtu wanaumegatuzidi 40,wanawake wapo zaidi ya 200.kawaida hiyo
 
Asilimia kubwa ya sisi wanaume tuna tabia ya kupuuza maradhi tofauti na kina mama ambao wao kila maumivu huchukulia ni kitu serious.
Mimi binafsi mpaka kwenda hospitali ni iwe nimeshikika hasa.

Pengine ndio maana huwa hata kwenye ndoa tunakufa mapema kabla ya wake zetu.
Mimi hadi niwe sijiwezi kabisa, nipelekwe
 
Hapo ndio utajua kwa nini kuna madakitari bingwa wa magonjwa ya kinamama.
"Magonjwa ya kina mama" inaashiria wengi wao ni wagonjwa na wana magonjwa maalum.
 
Anachokisema mtoa mada kipo, me nililigundua hili nilipompeleka wife kuanza clinic, asee!
Wanaume wanahesabika zahanati nzima wamejaa wanawake, wanaume wengi wamesindikiza watu wao, na waliokuja kutibiwa unawahesabu kwa vidole.
Yaani 5% kwa 95%
Kuna mambo mengi kaka yanayochangia wanawake kwenda hospitali ndio maana kuna wodi ya wazazi wanawake lakini hakuna wodi ya wazazi wanaume.
Kuna magonjwa ya mfumo wa kizazi kwa wanawake hii hata kwa wanaume pia ipo ila wanaume huwa hatupendi kujikubali kwamba mfumo wote wa kizazi haufanyi kazi au hadi umshawishi akubali kwamba yeye hana nguvu za kiume itachukua miaka 10 ndio aende hospitali plus gharama mtu akiwaza alivyotoka jasho kuipata laki 1 halafu aipeleke hospitali kirahisi kwa magonjwa ya kuambiwa tu na mdomo inakuwa ngumu ila wanawake wao pesa zao zinapatikana kiurahisi kwa kupewa tu
 
Back
Top Bottom