Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitaka kuona wanaume wengi pitia MOI pale kitengo cha mifupa nadhani mzani wako utabalance.Nipo Muhimbili hapa...idadi kubwa ya wagonjwa na wapendwa wao ni wamama ... ni kwamba men hawaumwi!?
No wonder men ndo sababu tunakufa fasta hatuna muda wa kupokea tiba
Na siamini kama hatuumwiAnachokisema mtoa mada kipo, me nililigundua hili nilipompeleka wife kuanza clinic, asee!
Wanaume wanahesabika zahanati nzima wamejaa wanawake, wanaume wengi wamesindikiza watu wao, na waliokuja kutibiwa unawahesabu kwa vidole.
Yaani 5% kwa 95%
Walifia wapi,mbona hawakuja kutibiwaKwasababu wanaume wenye umri kama huo waliotakiwa wawepo pia Hospital wameshafariki
Kanisani kwetu Kuna utaratibu wa kusoma idadi ya wanaume na wanawake waliohudhuria Ibadan jumapili iliyopita. Jumapili ya Jana wakatutangazia kwamba jumapili iliyopita akina mama walikuwa 344 na akina baba 88 !Ukienda kanisani ni hivyo hivyo,kwa waganga pia wanawake ndio wengi
Kwa ufupi hawakubali kufa kizembe
Au tuseme ni uoga wao tu
Kanisani kwwtu wanaumegatuzidi 40,wanawake wapo zaidi ya 200.kawaida hiyoKanisani kwetu Kuna utaratibu wa kusoma idadi ya wanaume na wanawake waliohudhuria Ibadan jumapili iliyopita. Jumapili ya Jana wakatutangazia kwamba jumapili iliyopita akina mama walikuwa 344 na akina baba 88 !
Huyo msibani kwake inabidi kwenda na maparachichi kabisaKamsimamo ka "najikaza kiume" kanatuponza sana...Kuna mwana Hana muda wa kwenda kuchukua njugu zake za pepfar eti yuko bize na kusaka rizki
Mimi hadi niwe sijiwezi kabisa, nipelekweAsilimia kubwa ya sisi wanaume tuna tabia ya kupuuza maradhi tofauti na kina mama ambao wao kila maumivu huchukulia ni kitu serious.
Mimi binafsi mpaka kwenda hospitali ni iwe nimeshikika hasa.
Pengine ndio maana huwa hata kwenye ndoa tunakufa mapema kabla ya wake zetu.
Kuna mambo mengi kaka yanayochangia wanawake kwenda hospitali ndio maana kuna wodi ya wazazi wanawake lakini hakuna wodi ya wazazi wanaume.Anachokisema mtoa mada kipo, me nililigundua hili nilipompeleka wife kuanza clinic, asee!
Wanaume wanahesabika zahanati nzima wamejaa wanawake, wanaume wengi wamesindikiza watu wao, na waliokuja kutibiwa unawahesabu kwa vidole.
Yaani 5% kwa 95%