Kwanini Ukristo na Uislam unashamiri kwenye nchi masikini na duni kielimu?

Atheism inamwambia mwanadamu kwamba "hakuna mungu, do not pray to an absent god that the earth should get cleaner and pollution should be lower, do what you can to achieve these goals, live cleaner".

Hata wale wanaoamini kuwa kuna Mungu, maandishi yake yanasema kuwa God will give strength - prosperity in their secular affairs, success in their enterprises and his blessing upon their fields and cattle (Psalm 29:11).

Lakini kama hao watu hawana enterprises, hawana fields and cattle, then there will be noting for him to bless. God, if any, can't bless for nothing.

Tupo masikini kwa sababu tunaamini kuwa dini ni kila kitu. Jaribu kupitia comments za watu hapa JF na kwingineko. Kukiwa na tatizo mara nyingi wachangiaji wanasema Ewe Mungu tusaidie au mtu akitaka ushauri wa kitaalamu anashauriwa nenda kwenye kanisa la mchungaji fulani ukaombewe.

Wengi wanaamini there is nothing they can do about the problems they are facing, so they have left them to their God to sort them out.

Hata wakati wa Mapinduzi ya Tunisia na Misri watu hapa walikuwa wanamwomba Mungu hayo mapinduzi yatokee pia Tanzania.

Ikitokea gari imeua watu kwa uzembe, watu wanasema kazi ya Mungu haina makosa, Mola ametwaa, n.k.

Accidents are not accidental. We plan them. We construct them. Lakini badala ya kuzitumia as windows of opportunity to learn and grow tunaishia, kusema ni kazi ya Mungu (haina makosa) na kukaa kimya kusubiri miujiza yake.

Asipoleta miujiza yake, tunaishia kuamini katika uchawi. It is not a coincidence kuwa Tanzania inaongoza kwa udini na uchawi.

Kaunga anadai kuwa "When you run out of rope; grab onto faith" but in Tanzania you grab into witchcraft. Watu wanaamini kwenye udini lakini hapo hapo wanaamini kwenye uchawi.
 
The devil in us ndio wanaopanga hizo accidents na sio mpango wa Mungu. Failure to care about others welfare ni devilish acts, kutumia pesa za dawa mahospitalini kwa seminars au personal gains ni ushwetwani tu. So fighting the root cause ya matatizo yetu is fighting the devil himself; sasa stratergy gani unatumia ndio kinachomatter zaidi.

Yes we have to grab onto faith, lakini imani isiyo na matendo imekufa. Hatuwezi kupoteza matumaini kabisa; hivyo pamoja na kuamini lazima tufanye part yetu.
 
Mchambuzi ninashukulu kwa mchango wako.

Kama ulivyobainisha historia ya kiuchumi na kuibuka kwa imani za kidini duniani, lakini pia hukuweza kubainisha mkanganyiko unaobainisha kuibuka na kudoda kwa imani za dini ya kikristo na Kiislamu katika jamii ambayo imepiga hatua za maendeleo wakati huo huo, ikishamili katika nchi masikini na zilizo na elimu ndogo.

Kuna watafiti waliobainisha kama jamii isiyo na existential security kama upungufu wa resources, human right na hata kutokuwa maendeleo ya kibinadamu kunasababisha jamii kuwa imbedded na imani za hizi dini.

Sina budi kuwa na wasiwasi na docrine za hizi dini. Kuna kitu kimejificha ambazo naturally, jamii inapopiga hatua za kimaendeleo, hizi doctorine nazo zinakuwa mfu.
 
Last edited by a moderator:
The broader view.

Dunia ina converge towards economic development which increases educational levels, scientific inquiry and inevitably secularism. That is without question. If you question that you might as well question the arrow of time and the second law of thermodynamics. And you simply don't do that if you are not in some abstract alternate universe string theory hyperbole dancing on a chaotic hypertime Kaluza-Klein manifestation on the negative time dimension fit for a Michio Kaku speculative science fiction article advocating questioning for questioning's sake.

Come to think of it the arrow of time and the second law of thermodynamics dictate that the world should move towards this end, from simpler notions to more complicated nuances, from god takes care of everything to anything is not certain and is governed by quantum probability at a deep enough level.

So that we are moving towards higher educational levels, economic advancement and secularism is without question. Even if the pace is slow. Just look at North Africa in the last five years and now. From there, even with the caveat that correlation does not equal causation, it is easier to argue that religiosity impeded economic progress and secularism has a stronger case for encouraging it.

On a tangent, this reminds me, America for all it's celebrated religiosity, was found on and operates under secularism. America was found partly as a heaven for religious refugees from europe, and while not exactly secular in practice, it is remarkably tolerant of all religiosities, a quality of true secularism.

The questions are in the details, like how fast, how will Malthusian factors impede this trend, where first, what degree of religiosity will remain as a human interest nostalgic element to satisfy a historic and cultural curiosity? etc.

Just look at how the internet has leveled to a large extent access to information and lifted the veal on access to information. In the past, if I was trying to introduce someone to a Bertrand Russell essay I would have to snail mail the book, to one person at a time, at a great cost (postage), now, with an internet connection I can just post a hypertext link to thousand of JF users. This raises educational levels even without going through the formal educational channels. You simply cannot fight this tide with ancient and outdated beliefs.You can fool all the people for some time, you can even fool some of the people all the time, but you can't fool all the people all the time.

One has to only look at the last 500 years of the history of Europe and it's sphere's of influence (the entire world) to see this.

A few cases in point.

The Black Death awakened Europe that while the idea of a protective god is good and reassuring, when they really needed god to intervene he was nowhere to be found. They saw that they better stick to scientific research to equip themselves with the needed vaccinations and medicine.

The religiosity of Christians gave a competitive advantage to Jews in Venetian/Florentine/ Renaissance Italy in banking/ money lending that is still responsible for the dominance of Jews in banking to this day. Basically banking was considered too low and immoral for Christians, a phenomenon still present to some extent in "Islamic banking" ( see "The Ascent of Money: A Financial History of the World by Niall Fergusson). Not that the Jews were not religious, far from it. But the fact remains that the Christians misplaced religiosity proved fatal.

This is not a simple question. Anybody familiar with Max Weber's "The Protestant Ethic and the Spirit of Capitalism" and Thomas S. Kuhn's "The Structure of Scientific Revolutions" would be hard pressed to dismissis the contribution of religion and religiosity to knowledge - even scientific knowledge- and wealth. There is a reason why peoples deeply rooted in religious texts - such as the Jews and the Hindi- make excellent traders and scientists. They have been trained to observe canons and be studious for millennia. Religion was important if only in that it raised literacy levels. I come from a vicarage, I can certainly see the relation in Tanzania in that a lot of the people who were formally educated in the western ways were either from chieftain lines or religious missions.

But the more important question now is, where is the world headed? What are the prejudices of the past we should now discard? What are the valuable lessons we should embrace?

Even as an atheist, I reject a radicalism that would view religiosity as a total sham to be wholeheartedly discarded, that would be most unscientific.

My whole mission is to assign a proportion that is valid and useful to religiosity, and discard clinging to ancient ritualistic customs.
 
sikupenda tuu kukuambia ni natural ila nilitaka fahamu zako zifanye kazi zaidi.Nilikuwa nafanya manunuzi fulani sikuweza tembea na hela nyingi,ila nilihitaji pia kuwafuata mashahidi ambao walipaswa weka sahihi km ridhio la ushuhuda wa mauziano.ilifia mahali kila mtu alitaka ili aende next stage mwingine lazima afanye kitu .baada wakaridhia walipokuwa na imani fulani then tukaenda bank na watu wawili ktk gari yetu hadi bank na kuwapa hela yao.zoezi lisingeenda km wangetfikiri kuwa ningeweza washikia bastola na kuwaamuru wanipe docoment zote.wanasayansi nao huamini vitu vini vinavyowork ila si halisi achilia mbali usahihi..

Hapa nataka kuambia imani ni natul na inaanzia kwa mtu kujiamini,then kuamini wenine,na baadae kuamini kitu kinachozidi mipaka ya binadamu.
Sikutaka shikilia dini,kwa vile dini ina spirit,mind,culture ,politics,.ukristu haukupaswa kuwa dini km uislam ,uhindu,uyahudi na hivyo
Si dini ila ina elements za dini.
Nilitaka ujue kuwa element ya faith ni natural.watu wasioamini chochote huwa hawaamini chochote na hivyo kuwa insecure low esteem,hawafanyi kitu cha kusubiri kwa vile hawaamini kesho .
Kwa ujumla ni wafu.

Communism imekuwa defeated kila mahali by chritianity.sasa hizo pockets umeziona wapi?communism imeangushwa ktk uhai wake E,german,russia,cuba ,china hawajijui tena,N.Korea tayari wanausakama ukristo na kubana media km ccm .south korea hizo percentages ulizoweka ndizo zimeshikilia ethics na succes ya s.korea.Na hizo nchi usemazo hazija reject christianity km unavyotaka sema.bado katiba hazijatoa.na wanamwaga hela duniani ktk ukristu

pole sana .hope ndio inainfluence decission zako hata pale unapolinganisha vitu vile.
Hata kuona ili uamini kunahitaji pia kuamini macho yako.km unabisha omba ubahatike mku mtu usiyemtegemea ktk mji usiotemea akifanya mambo usiyetegemea ktk kipindi usichotegemea na yeye asionyeshe kukujua.

 
Ni mtizamo tuu na inaweza kuwekwa ktk mjadala,ulaya ilipata dini ikiwa ni barbaric wakaibuka na kujenga sheria muhimu za haki binadamu ,wakawa na mitizamo tofauti ktk kuelekea maendeleo,matendo km viapo ktk nafasi za umma,kufia haki etc si matendo ya atheists.nchi inakuwa bonded na faith under more superior and invinsible and might power.
Sina budi kuwa na wasiwasi na docrine za hizi dini. Kuna kitu kimejificha ambazo naturally, jamii inapopiga hatua za kimaendeleo, hizi doctorine nazo zinakuwa mfu.
Kuna doctrine zinakufa watu wakiwa huru kifikra,wengine huru kufanya tamaa za mwili etc,nyinine kuuwawa ktk upinzan na imani nyinine.
 
Last edited by a moderator:

Unatakiwa ku transcend sayansi na wanasayansi, sio ku justify unachofanya katika dini kwa mujibu wa wanachofanya wanasayansi, otherwise wewe na wanasayansi mna tofauti gani sasa?

Nishaandika sana hapa kuhusu the inevitability of faith. One can simply not eradicate faith, that would mean one would not be able to get out of bed in the morning and being stuck in some Oblomov-like contemplation. Why? The act of waking up and stepping out of bed involves faith, the faith that the floor will hold and support one. If you don't have this faith you will not get out of bed.

But what is sensible? To believe that the floor will hold based on experimental results from the years over or to not believe in that and wallow on the bed? Of course the former. So I don't have a problem with faith that is based on reason like this. In fact, depending on your margin of error, this type of faith can be argued to not being faith at all. If you agree to discard the possibility of the floor not holding as a quantum hyperbole that is good for string theory but most probably not a real threat to the waking public. Some would argue that based on the negligible margin of error, which may require so many billions of years to manifest itself so much so that it will require more than the current age of the universe for you to plant your foot on your floor and the floor to give way unreasonably, why, this is not faith at all, this becomes knowledge then, with the caveat of that margin of error.

Hapa nataka kuambia imani ni natul na inaanzia kwa mtu kujiamini,

Hujajibu hoja kwamba what seems natural need not be actual.


Hujajibu hoja kwamba what seems natural need not be actual.



So why are you beating over a dead horse? Kama ukristo uko mighty hivyo kwa nini unachagua a weak opponent ambayo ishakufa (communism) badala ya kuchukua the living and challenging Scandinavian liberal democracies?


"Decission" ndo nini? Nisha address hope na objectivity/ experimentation above. Your primary assumption that I am against hope is misguided. Your secondary assumption that hope is the be all and end all seed of all things good is ignorant. Nimekupa mfano wa autocrat anayetumia hope ku oppress watu wake. Hujanijibu.


[/quote ]una elimu nusu,waarabu hawakuwa atheist hata siku moja,walikuwa wanaabudu vinyago,walikuwa wanaishi na majini ,na miungu yao.[/quote]

You totally missed the argument. Tatizo ni hii two tracked two bit ignorance ya "us against them" "believers against atheists". Wapi nimesema waarabu walikuwa atheists? Nionyeshe hapo tafadhali. Ama omba radhi kwa kuwa na uelewa wa guluguja.

Mafuta aligundua muarabu kwa kazi gani?bado upo ktk propaganda?mwarabu hata leo kuchimba si tech yake achilia mbali kutenganisha.
Sababu za kutochimba ni ya kiislam dhidi ya kafiri na si vinginevyo.

Hii hapa harangue hata hai make sense any way you cut it. umeshindwa kujieleza ukaeleweka. Point uliyopewa ni kwamba dini ilikataa maendeleo kwa sababu hayajaandikwa katika Kuran. Katika kukuonyesha jinsi gani dini inazuia maendeleo. Hujalijibu suala hili. Unarukaruka tu.

kweli unanunulika.kuamini hakuna mungu ni imani pia.kuanini au kutoamini tuu hakuthibitishi hakuna Mungu.

Nani kakataa imani? Wapi? Nimeongelea hapo juu kuhusu kitendo cha kuamka asubuhi tu kinavyoinvolve imani, na mfano huu si mara ya kwanza kuutoa katika mjadala kama huu, ukisema sitaki imani utakuwa mshamba wa mawazo yangu.



Hapa umejiharishia kabisa, tena kwenye nguo, hata mwenyewe unaona.

Umetaka kusema nini sasa?
 
Injini kuu katika nchi masikini na 'ujasiriamali' (tafsiri zote zimezingatiwa). Mahitaji ya huduma za kiroho yanakuwa makubwa sana katika jamii masikini na kwa mantiki hiyo soko la huduma hizo huwa pana mno. Kadri soko linavyokuwa pana na wajasiriamali katika huduma hizo huhibuka kama uyoga kumuuza Mungu, na kadri wanavyoibuka na wateja huongezeka. Basi inakuwa ni mzunguko.
 
Kama unaamini Ukristo unaambatana na umaskini na ukosefu wa elimu, jenga picha ya elimu ya Tanzania bila KANISA.

Namaanisha piga picha ya sekondari za kata peke yake halafu ndio uje na assumptions za namna hiyo.

Labda hao wengine
 
Kama unaamini Ukristo unaambatana na umaskini na ukosefu wa elimu, jenga picha ya elimu ya Tanzania bila KANISA.

Namaanisha piga picha ya sekondari za kata peke yake halafu ndio uje na assumptions za namna hiyo.

Labda hao wengine

Shule za kaninsa zinapewa "pepa" na Ndalichako. Ndo maana akiona na za Kiislamu zimeiba pepa anakasirika na kuzifutia matokeo ili zisilingane na za Kikristo..........
 
ongea kiswahili kidogo ufanane na unachotaka tuonyesha unaelewa,ili tusione fujo za cut and paste.

Nashukuru umekubali faith haiwezi ondolewa ktk maisha ya mwanadamu.na huwezi tenganisha na survival yake.
Na hivyo ni kitu cha asili kwa uhai na usitawi wa binadamu.
Pengine ni wewe uthibitishe wanatumia imani yao zaidi hadi ktk uwepo wa Mungu wamevuka natural bounderies..binadamu ni roho na mwili unaoweza kuwa affected na faith na unseen communication.sayansi imathibisha baadhi na mengine bado uweyo wake.

Newtons laws zinakataza kabisa kitu kubadili state km hakuna external force ktk hicho kitu.atheist hawana maelezo ya big bang na mambo mengine yaliyopangika vyema ktk universe ila wanataka wao wakubalike.

Maelezo mengi kinachoma ni plausibility.yakiwa yote plausible tafity zitamalizia.Biblia inakwama mahali kuwa Mungu alikuwepo ila vitu vilikuwepo na yeye ndio alianzisha disturbances intelligently.sayansi bado ipo ktk self started ila hakuna self stoping.na hivyo science kuhitaji tangua laws zake zenyewe.ili kunyoosha maelezo ya asili ya usimwengu na viumbe hai.
Hujajibu hoja kwamba what seems natural need not be actual.

Hujajibu hoja kwamba what seems natural need not be actual.
wapi umepata neno actual au umuhimu wake ktk kuelezea muunganiko wa asili wa binadamu na imani.wewe ndio umeliweka halafu unataka nithibitirhe mimi.kwa nahitaji 'natural' na si 'actual' na mahusiano yake na natural
So why are you beating over a dead horse? Kama ukristo uko mighty hivyo kwa nini unachagua a weak opponent ambayo ishakufa (communism) badala ya kuchukua the living and challenging Scandinavian liberal democracies?
umepotea.nani kasema ukristo umechagua enemy?hakuna anayetaka enemy in the first place.labda wagonjwa.ukomunist ulikuja wenyewe mazee.

Liberals wanajiachia as if binadamu hahitaji guidance.na wanafanikia kwa sababu wana exploit people desires kabla akili yao haijajifunza madhara ya kuachia desires abusively.
 
Shule za kaninsa zinapewa "pepa" na Ndalichako. Ndo maana akiona na za Kiislamu zimeiba pepa anakasirika na kuzifutia matokeo ili zisilingane na za Kikristo..........
Mbona wanasomea madarasani na makanisani au mafichoni kama waisla wafanyavyo misikitini kipindi cha mitihani.kwani hatujui tangu primary hadi vyuo na hata interview za kazi.
 
Mkuu katika hizo nchi ulizotaja tajiri na zisizokuwa na dini, ni nchi gani haina utajiri wa asili (kurithi)?
Mkuu nafikiri umeshindwa kunielewa vizuri. Nchi hizi tajiri zina wananchi wanaojiita wafuasi wa dini lakini hawa practice hata kidogo mpaka nyumba za ibada zinafungwa kwa kukosa waumini.

Case ya Gulf States ni tofauti kwa sababu utajiri wao wote uko kwenye nafuta na pia sheria zao za nchi zinaifanya jamii kutokuwa na choice.

Imani za dini za kikristo na Kiislamu zineendelea kupata misukosuko mara nyingi katika jamii ambayo imejenga misingi imara ya kiutawala, uhuru wa kuabudu na kujiendeshea maisha, na kikubwa kabisa ni pale jamii inapokuwa na kipato cha juu na elimu ya kiwango cha juu.

Information nilizonazo ni kushamili kwa dini katika nchi masikini wakati dini hiyo hiyo ikipungua waumini na hata kukosa kadri wanavyopiga hatua za kimaendeleo.

Hapo umenena.

Dini zimeifanya jamii kubweteka na kuamini hali waliyonayo ni mpango wa Mungu. Matukio yakitoke hata yaliyo ndani ya uwezo katika jamii, nayo yanawekwa katika kundi la mpango wa Mungu badala ya kuyachukua kama challenge na kuyafanyia kazi.

Dini zinapokuwa ndiyo mtatuzi wa matatizo, ni ishara ya jamii kuchoka au kutotumia kipawa chake kukabiliana na changamoto. matokeo yake ni Umasikini kuendelea kuongezeka.

Babu wa Loliondo ni ishara tosha.
 
ongea kiswahili

Siongei, naandika...

kidogo ufanane na unachotaka tuonyesha unaelewa,

Kama umeelewa kwamba nataka kukuonyesha ninachoelewa, hujanielewa. Nataka kukuonyesha nisichoelewa zaidi ya nisichoelewa.

Na lugha yoyote nitakayochagua kuonyesha nisichoelewa itakuwa sawa, kama hutaelewa, hilo litaonyeshwa wewe usichoelewa zaidi ya mimi nisichoelewa, as long as the language is legitimate.

Hata kama ningeamua kuzama kwenye Kigiriki cha Agano la Kale.

Usinilaumu kwa sababu huelewi kiingereza dhaifu, hilo ni tatizo lako, si langu.

ili tusione fujo za cut and paste.

Now you want a freaking war. Ciyt and paste is a curse to me. Nimempiga vita Kigwangalla hapa kwa sababu ya cut and paste aliyoifanya kwa kuchukua maneno ya kitabu cha Kiingereza na kutafsiri katika Kiswahili. Kwa hiyo kama unafikiri kuandika Kiswahili ndiyo hakuna "cut and paste" basi hujaisoma vita yangu dhidi ya cit and paste and plagiarism. This is incensing.

Naomba unitafutie sehemu niliyoandika habari za mtu mwingine na kujidai kwamba ni zangu, au nilipofanya "copy and paste" ili u substantiate hofu yako.

Ama sivyo niombe msamaha mbele ya macho ya waungwana wa JF.

Nashukuru umekubali faith haiwezi ondolewa ktk maisha ya mwanadamu.na huwezi tenganisha na survival yake.
Na hivyo ni kitu cha asili kwa uhai na usitawi wa binadamu.

Kwa mara nyingine tena, faith is a blank slate by definition, whether ni kitu kizuri kwa ustawi wa binadamu or not is totally another question.

Kama Galileo angekuwa na faith sana asinge question uwezekano kwamba Aristotle alikuwa kakosea, tusingepata the scientific revolution that is based on experimemt and verification. In Galileo's case, faith was a bad thing. Hujajibu hoja ya autocratic ruler using faith to oppress his subjects bado. Mbona unataka kufanya faith iwe positive wakati ni zero? Si negative wala positive, inategemea na conditions, environments, context, time and all these nuances.


Pengine? Na pengine?

ni wewe uthibitishe

Wewe unanitaka mimi nithibitishe kwa sentensi inayoanza na "Pengine?"?

Maana yake wewe huna hata uhakika kwamba unataka nithibitishe kile unachonitaka nithibitishe!

Pengine? Can you be a little bit more assertive and get a little bit of a spine and state something beyond "Pengine"?

wanatumia imani yao zaidi hadi ktk uwepo wa Mungu wamevuka natural bounderies.

What is natural and what is not?

.binadamu ni roho

Roho ni nini?

na mwili unaoweza kuwa affected na faith na unseen communication.

Kama mwili unakuwa affected na unseem communication, how would you know that? As long as the communication is unseen.

sayansi imathibisha baadhi na mengine bado uweyo wake.

Sayansi ndiyo itakuwa ya kwanza kukwambia hivyo, what is your point?

Newtons laws zinakataza kabisa kitu kubadili state km hakuna external force ktk hicho kitu.

Why are you talking about Newton laws in the age of string theory, when the quantum theory is 100 year old?

atheist hawana maelezo ya big bang na mambo mengine yaliyopangika vyema ktk universe ila wanataka wao wakubalike.

Nani kakwambia atheists wote wanaamini big bang theory?

Maelezo mengi kinachoma ni plausibility.

What is palusibility? Kwa mtu anayekataza "kuongea" kiingereza hapa ili tusije pewa "cut and paste" you have such a double standard!

yakiwa yote plausible tafity zitamalizia.

tafity ndo mdudu gani huyo? Na "tafity" zikisema kwamba "tafity" haziwezi kumalizia - zime hit Plannckscale huko-, "tafity" zitamalizia au hazitamalizia?

Biblia inakwama mahali kuwa Mungu alikuwepo ila vitu vilikuwepo na yeye ndio alianzisha disturbances intelligently.

Huu ----- hapa unataka kumaanisha nini?

sayansi bado ipo ktk self started

Hapa unaharisha uharo gani?

ila hakuna self stoping.

Umevuta kitu gani? Nikikwambia self stopping is the self starting of self stopping, na kwa sababu ushasema self starting is possible and therefore the self starting of self stopping is possible utasemaje?

na hivyo science kuhitaji tangua laws zake zenyewe.ili kunyoosha maelezo ya asili ya usimwengu na viumbe hai.

Usimwengu ndo nini? Can you write complete and comprehensive sentences please?


wapi umepata neno actual au umuhimu wake ktk kuelezea muunganiko wa asili wa binadamu na imani.

Dictionary.com - Free Online English Dictionary

wewe ndio umeliweka halafu unataka nithibitirhe mimi.kwa nahitaji 'natural' na si 'actual' na mahusiano yake na natural
umepotea.

What is natural? Narudia kukuuliza.

nani kasema ukristo umechagua enemy?

Sijui. Nani kasema ukristo umechagua enemy? Na kama haujachagua kwa nini wewe uchague easy pickings huko na uache Scandinavia kwenye real debate?

hakuna anayetaka enemy in the first place. labda mgonjwa

Basi mungu wako wa biblia naye mgonjwa

.ukomunist ulikuja wenyewe mazee.

Yani idea ya ukomunisti imejiungaunga na kujipanga yenyewe au?

Liberals wanajiachia as if binadamu hahitaji guidance.

Nani kasema binadamu hahitaji guidance? Nani kasema liberals wanasema binadamu hahitaji guidance? Unapata wapi uharisho huu?

 
Kama unaamini Ukristo unaambatana na umaskini na ukosefu wa elimu, jenga picha ya elimu ya Tanzania bila KANISA.

Namaanisha piga picha ya sekondari za kata peke yake halafu ndio uje na assumptions za namna hiyo.

Labda hao wengine
Jaribu kuangalia nyuma. Kwani elimu tuliyoletewa na wazungu ililetwa kwa vile walikuwa wanaipenda Tanganyika. Wazungu walileta elimu kwa ajiri ya manufaa yao kiutawala. Hii policy mpaka leo bado inaendelea katika medani za ulinzi. Classic example, Marekani walimjenga Osama kwa manufaa yao ambayo aliyafanya lakini baadaye aligeuka na kuwa monster. Vivo hivyo, matokeo ya ujenzi wa shule kwa wakoloni ziliwanufaisha wawo kwanza kwa madhumuni ya kututawala lakini zimetokea pia kunufaisha nchi sivyo walivyotarajia.

Soma hii article kupata kidogo kilichokuwa nyuma ya pazia.

 

Relationship villains?
 

ukisoma heading na ninachokisema tayari utaona jinsi mada iliyo hovyo na ina makosa.hizo nchi zinakuwa proportionally na kuchipua kwa dini.ukristu unakuwa kwa kasi ya ajabu sana huko.sasa wewe kam aunataka kuwa politically correct kamw abunge wengu wanaoshindwa kusema tuu kuwa Uislam viongozi wa kiislam wanhamasisha chuki kwa DVD na CD zilizojaa mitaani, na kuishia sema viongozi wa dini zote wanaeneza chuki.Basi utakuwa na makosa mengine.Uislam ndio una reord nzuri ya kujikita ktk umasikini.Zaidi ya mafuta hakuna kingine kingeokoa uislam.Si innovationa wala nini.

Kaulize wamissionary wanavyopata waumini na makanisa ya haouse to house nchini china yalivyo mengi pamoja na taifa kuyakandamiza na kuach amakubwa tuu kam catholic huku wakipambana taifa licahgue viongozi wa kanisa.Wachina wenyewe na wengine wa mashariki ya mbali wanaamini Ukristu unaendana na mafanikio ya kiuchumi ndio maana wana miminika haswa.Jaribu angalia bilioneas wao na dini zao kuanzia South korea, vietnam na china.Utaona udogo wao wa idadi haufanani na representation yao ktk uchumi.


Ukitumia tuu common sense utaona kuwa China sasa hivi watu wake wanaenda 2bn, kuweza wameza wote kwa dini si kitu cha siku moja hata kama kila siku unabadili zaidi ya watu 200mil.

Wachina wenyewe wanavyozidi fanikiwa ndio wanakimbilia ktk utamaduni wa kimagharibi, kuanzia ktk dini, mavazi, michezo, music, magari etc.

Brazill pamoja na kunyonywa na wakoloni na misingi yake, leo uchumi una boom.

Mwisho ujue pia kuwa Ukristu unaongelea "UKOMBOZI".Na yesu alifuata wenye shida.Kwa upande mwingine pia jiangalia mada yako inavyoonyesha mis concemption yako.
 
Ng'wamapalala

Ndg yng sio kweli kuwa nchi zote zilizoendelea kiuchumi[tajili]na kielimu zote zina kiwango kidogo ktk kumtafuta Mungu au waumini wa dini za kikristo nakiislam ni wachache sana.

Ni kweli kisai kuwa nchi nyingi za ulaya magharibi ukristo wa kweli umepungua sana hasa uingereza lakin hari ni tofauti unapoenda luxenburg ambayo kwa kipato cha mwananchi ni kikubwa kuliko ata marekani na uingereza,pia kiwango cha watu watu wanaomini juu ya dini kupungua ktk nchi zenye maendeleo ya kiuchumi na kielimu ,kuna sababu nyuma ya hilo elimu dunia ambayo maendeleo yake ndio yameleta mapinduzi ya kisayansi ivo kumsaidia binaadam kutatua matatizo yake mengi ambayo apo mwanzo kabla ilishindikana na kujikuta anamsahau muumba wake na kujikuta anaitegemea sayansi.

Pia kuibuka kwa wanafalsafa ktk karne ya 18-20 waliokuwa wapinzani wa dini na uwepo wa Mungu uko ulaya mf. Karl Max,Fredrich Angels,darwin n.k na theory zao kulizoa wafuasi wengi.mfano mdogo bibilia inafundisha kanuni ya uumbaji,Darwin na wenzake wanafundisha kanuni ya mabadiliko[evolution]wengi wao hakuamini juu ya uwepo wa Mungu hivyo wameisili sana jamii yao hasa wafuasi wao
 
Last edited by a moderator:
Shule za kaninsa zinapewa "pepa" na Ndalichako. Ndo maana akiona na za Kiislamu zimeiba pepa anakasirika na kuzifutia matokeo ili zisilingane na za Kikristo..........
Na Hospital zao nazo zinapewa nini?vituo vyao vya mataahira ambao weni ni waislam uza wa ndugu.binamu nyama ya hamu?
 
mleta mada ni mchovu sana.research yenyewe ni duni na imefanza na watu wanaohitaji ji boost kwanza halafu ndipo waseme kitu.idadi hiyo ya watu ktk population ni ndogo sana ktk dunia kuweza kuja na jibu linaloakisi dunia..

-kwanza mleta mada haujui ukristu ndio maana akakubali uu report ya propaganda si ushiri wa moja kwa moja km islamist wengine .

-yesu alisema kuwa kaja okoa wanaoteseka,kwa hiyo alianza na masikini,wagonjwa na mateso mengine ili wakolewe.wamissionary wanajenga shule,hospitali na vituo vya ufundi na kilimo na kuwapa Mungu,hizo ndio nyenzo za kufukuza umasikini.

Mleta mada nimemwambia kuwa kadiri ulaya waacha ukristo uchumi wao unaanguka kwa kasi sana.pia nikamwambia mashariki ya mbali wanaukumbatia uchumio unakuwa haraka sana .akabaki akilia na idadi ya waumini ktk asilimia.nikampa wingi wa watu wa kule na jinsi ya kupa ta idadi kubwa iliyo ngumu.hata ukipata wakrist 2mil kwa siku kuifanya china kuwa taifa la kikristu ni miaka.nilimpa fact moja kuwa udogo wa jumuia ya wakristu hausemi mchango na umiliki mkubwa wa uchumi na elimu ktk uchina.sababu ni kwamba.PIA MLETA MADA AJUE MWALIMU MKUU ALIWAAMBIA WAKRISTU KUWA CHACHU YA DUNIA,PISHI MOJA HUGEUZA PAKACHA ZIMA,WAWE TAA INAYOMULIKA,.

Sasa mleta maa aangalie route za uislan na waa kuanzia yenzi mpaka malawi kupitia msumbiji na mtwara,kilosa hadi irina.bagamoyo,kilosa ,kondoa hadi tabora ,kigoma na kongo panda burundi,aangalhe mombasa hadi uganda,aangalie somalia,ethiopia ya kikristu hadi ya kiiska kabla ya mafuta na baada.,aangalie sudani hadi maurhtani,pitia chad,niger,kaskazin nigeria hadi rahel,yemen mpaka saudia,lebanon,pakistan,bangladesh hadi afghanistan.. Nchi ya kirlam enzi ya ukristu hadi enzi ya kiislam pamoja na kuwepo mafuta.Hata india ya wahindu ni nzuri kuliko ya kiislam,hata mgawanyo wa nchi kati ya pakistan na inia pakistan imeenda kuwa gaidi na wauza unga..

Kiranga acha udi na propaganda ukawa taa na chachu ya dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…