Kwanini Ukristo unakataza kuoa wake wengi?

Kwanini Ukristo unakataza kuoa wake wengi?

Mwislam by choice

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2017
Posts
361
Reaction score
471
Nimekaa nikajuiliza kwanini hawa majiarani zetu(wakristo) hutumia nguvu kubwa saana mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja kama walivyo waislam wasukuma wamasai nk

But suala la ajabu wanaume kwa wanaume kuoana kanisa linabariki mara utasikia UK jamaa kaoa mbwa mara kuna mwanamke kao mwanamke mwenzie church

Usitukane just nimewaza kimaandishi
 
Hakuna Ukristu duniani unaotoa sakramenti ya ndoa kwa watu wa jinsia moja. Yaani kwamba watu wawili wanaume au wawili wanawake wanafungishwa ndoa na kiongozi wa dini ya Kikristu, hapana. Labda mtu haelewi kutofautisha kati ya ndoa na tabia ya ushoga/usagaji
 
Nimekaa nikajuiliza kwanini hawa majiarani zetu(wakristo) hutumia nguvu kubwa saana mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja kama walivyo waislam wasukuma wamasai nk
But suala la ajabu wanaume kwa wanaume kuoana kanisa linabariki mara utasikia UK jamaa kaoa mbwa mara kuna mwanamke kao mwanamke mwenzie church
Usitukane just nimewaza kimaandishi
Embu weka Aya zinazoruhusu mambo hayo hapa. Vinginevyo una tatizo kichwani
 
Nimekaa nikajuiliza kwanini hawa majiarani zetu(wakristo) hutumia nguvu kubwa saana mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja kama walivyo waislam wasukuma wamasai nk
But suala la ajabu wanaume kwa wanaume kuoana kanisa linabariki mara utasikia UK jamaa kaoa mbwa mara kuna mwanamke kao mwanamke mwenzie church
Usitukane just nimewaza kimaandishiub
Kristo yupi huyo anayebariki Ndoa za jinsi moja?
 
Nimekaa nikajuiliza kwanini hawa majiarani zetu(wakristo) hutumia nguvu kubwa saana mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja kama walivyo waislam wasukuma wamasai nk
But suala la ajabu wanaume kwa wanaume kuoana kanisa linabariki mara utasikia UK jamaa kaoa mbwa mara kuna mwanamke kao mwanamke mwenzie church
Usitukane just nimewaza kimaandishi
Elewa kitu mkuu,ndoa za jinsia moja haikuwa msimamo wa Ukristo kwa ujumla Ni baadhi ya vikundi vya Ukristo km ujuavyo,maana mashahidi wa Yehova,Wasabo,Walokole baadhi hawakubali huo ushoga,,,so kuwajumlisha Ni sawa na waislam wajumlishwe na yule mshenz wa soutn Africa....

Kwa nn Hawaoi wak zaidi ya mke mmoja,nasema kulingana na wanavyoamini siyo kwa mtazamo wa Imani yangu maana mm kila anaekubali nizae nae,nimuoe,nishiriki nae ngono nafanya bila kujihisi km nakosea na usinishauri maana hata Said haujawah kumshauri maana yy alikuwa na mademu mpk wa kugawa kwa marafiki😄
Sasa Ukristo ulitegwa ka mtego ka uelewa kwamba Adamu Mungu alimuumbia mke mmoja so hapakuwa na sababu ya mwanadamu kujitwalia wake wengi,lkn pia mfano wa kanisa na Kristo(Yesu) eti kanisa Ni sawa na Bibi harusi(mke) na Kristo Ni sawa bwana arusi hivyo km alivyo twaa kanisa moja inadhihirisha ndoa yapaswa mtu awe na mke mmoja,pia wanatumia sofa za kiongozi wa kanisa Paulo anasema kuwa yakupasa kiongozi uwe na mke mmoja....(japo hapa Paulo alikuwa akisema hivo ili kuepusha kanisa kubeba majukumu mazito ya kulea hizo familia maana kiongozi alipaswa kuhudumiwa na kanisa Sasa ikiwa una wake 5 na watoto 6 kwa kila mwanamke ingekuwej?)
Niishie hapo wengine wachangie mm Ni mkristo tena Msabato,kwa maandiko usiparamie saana nayajua na nimeyasoma vilivyo maana nilikuwa evangelist
 
Nimekaa nikajuiliza kwanini hawa majiarani zetu(wakristo) hutumia nguvu kubwa saana mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja kama walivyo waislam wasukuma wamasai nk
But suala la ajabu wanaume kwa wanaume kuoana kanisa linabariki mara utasikia UK jamaa kaoa mbwa mara kuna mwanamke kao mwanamke mwenzie church
Usitukane just nimewaza kimaandishi
Tatizo wewe hujui Ukristo ni nini. Hao unaowasema ni watu wa dini. Ukatoliki, Uanglikana, Uluteri nk. Lakini Ukristo sio dini bali na maisha mapya ndani ya Kristo. Wakristo wanafuata Maandiko ya Biblia lakini watu wa dini hufuata mapokeo ya dini zao. Neno la Mungu halibadiliki lakini mapojeo hubadilika.Mapenzi tu ya jinsia tofauti bila ndoa ni dhambi sembuse mapenzi ya jinsia moja? Huo ni ni ushetani na wanaoishabikia ni wafuasi wa shetani sio wafuasi wa Kristo. Huo ukristo unatumika tu kimaslahi. Ndio maana Yesu mwenyewe aliwaambia siku ile wengi watakuja wakijitetea kuwa walifanya mambo mengi kwa jina lake lakini atawafukuza akisema "tokeni kwangu ninyi mfanyao maovu sokuwatambua kamwe".
Kuhusu kwanini Wakristo hatupaswi kuwa na ndoa ya mke/mume zaidi ya moja ni maagizo ya Yesu Kristo. Tangu mwanzo Mungu aliumba mtu mume na mtu mke. Na akaweka kanuni hii: Kwasababu hiyo mtu atamuacha baba yake na mana yake naye ataambatana na mkewe! Sio wajeze! Mungu aliumba Afam na Hawa hakuumba Adam na Hawa na Maria. Hapana. Ndio ya kikristo ni mume mmoja na mke mmoja na hawatakiwi kuanza kufanya mapenzi hadi watakapofunga ndoa rasmi. Siku hizi wengi hawafuati kanuni hiyo ndio maana ndoa zinavunjikavunjika hovyo!
 
Nimekaa nikajuiliza kwanini hawa majiarani zetu
Nimekaa nimejiuliza Quran imeruhusu wake wanne lakini mtume alizidisha!

Swali: Ni Mungu alitoa hiyo amri ya wake wanne?? Kama ni yeye mbona aligeuka tena?? Ukitumia akili yako vizuri Mungu anaweza kuwa hivyo?? Au ni mtu na utashi wake??

Prophet Muhammad PBUH. He married a total of 11 wives, two of whom died while he was alive, and the remaining remained alive after his death.

Ndivyo Mungu alivyoamuru,Mme Mmoja na Mke Mmoja,(Mwanzo2:21-24) na (Mathayo19:4-7)
(1Wakorintho7:1-2)- Kila mtu awe na Mkewe.
Biblia inakataza ndoa ya Mwanaume kwa Mwanaume,hayo ni machukizo mbele za Mungu,(Walawi20:13)-Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume, kama alalavyo na mtu mke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauawa; damu yao itakuwa juu yao.
Ulawiti na Ufiraji unakatazwa na Neno la Mungu,huo ni udhalimu,(1Wakorintho6:9-10)- Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, 10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
Kanisa la Mungu haliwezi kubariki Ndoa za Jinsia Mmoja.
UCHAFU UNAOFANYWA NA WAZUNGU SIYO AGIZO LA KANISA LA MUNGU ULIMWENGUNI.
 
Wanakataa kuoa mke zaidi ya mmoja ila wanazaa nnje ya ndoa na kuwapangia nyumba kabisa
Kwani hao wenye wake wengi hawana michepuko mkuu. Au wewe ni mgeni mjini

Yani mtu ambaye ameona wanawake wawili hawatoshi akaongeza wa tatu na wa nne. Ni nini kinakuaminisha hawezi kuwa na watano na wa sita

Au ndio zile za kuoa na kuacha na kuoa tena ili utimize haja za mwili maana kiasilia tamaa huwa haishibi
 
Bro huku nilipo unaona yule imam wa south hatutaki ujinga
Yule imam ni wa south huko hadi Luck Dube walimmiminia za kutosha, daslam na zenji mapunga kibao tena wako hadharani kabisa.

Wapigeni shaba na hao ndio tujue kweli hamna utani, usijifichd mgongoni mwa wasouth.
 
We unaona Papa Francis kasema ndoa za mashoga zibarikiwe alafu unauliza kwanini wanakataa ndoa za wake wengi? Huna macho?
 
Kila mtu akioa wake hata wawili tu wanawawake wasingetosha. Hivyo suala lako sio ukristo tu unakataa balI hata nature haisapoti unachokisema
 
Back
Top Bottom