nyoka in
JF-Expert Member
- Aug 27, 2024
- 518
- 318
Ndiyo. Kwani wewe ulitaka wangapi? Na maisha yenyewe yakibongo haya hujapata hata usafiri then utake kuongeza mke kweliNdo kuoa mke mmoja au siyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo. Kwani wewe ulitaka wangapi? Na maisha yenyewe yakibongo haya hujapata hata usafiri then utake kuongeza mke kweliNdo kuoa mke mmoja au siyo
Ukielewa maana ya Ukristo hutasumbuka na maswali yako.Nimekaa nikajuiliza kwanini hawa majiarani zetu(wakristo) hutumia nguvu kubwa saana mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja kama walivyo waislam wasukuma wamasai nk
But suala la ajabu wanaume kwa wanaume kuoana kanisa linabariki mara utasikia UK jamaa kaoa mbwa mara kuna mwanamke kao mwanamke mwenzie church
Usitukane just nimewaza kimaandishi
Sasa chief ndio upo na mke mmoja sasa michepuki ya nn kwann usiipitishe iyo michepuko uoe piaNdiyo. Kwani wewe ulitaka wangapi? Na maisha yenyewe yakibongo haya hujapata hata usafiri then utake kuongeza mke kweli
Tuzungumzie Tanzania Kuna KANISA LINAFUNGISHA NDOA HIYONimekaa nikajuiliza kwanini hawa majiarani zetu(wakristo) hutumia nguvu kubwa saana mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja kama walivyo waislam wasukuma wamasai nk
But suala la ajabu wanaume kwa wanaume kuoana kanisa linabariki mara utasikia UK jamaa kaoa mbwa mara kuna mwanamke kao mwanamke mwenzie church
Usitukane just nimewaza kimaandishi
Nani mwenye michepuko Mimi au!Sasa chief ndio upo na mke mmoja sasa michepuki ya nn kwann usiipitishe iyo michepuko uoe pia
Kwa nini ufuatilie mambo ya wengine?Nimekaa nikajuiliza kwanini hawa majiarani zetu(wakristo) hutumia nguvu kubwa saana mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja kama walivyo waislam wasukuma wamasai nk
But suala la ajabu wanaume kwa wanaume kuoana kanisa linabariki mara utasikia UK jamaa kaoa mbwa mara kuna mwanamke kao mwanamke mwenzie church
Usitukane just nimewaza kimaandishi
Papa ni mtu kama wewe. Kumbuka kuna ukristo na dini. Kwenye dini kuna madhehebu Roman Catotholic, Wasabato, KKT, Anglicana. AIC na mengine mengi hata huyajui.We unaona Papa Francis kasema ndoa za mashoga zibarikiwe alafu unauliza kwanini wanakataa ndoa za wake wengi? Huna macho?
Shida hamsomi Biblia. Mnakuwa kama mtu ambaye hajui kusoma na kuandika halafu anapewa kitabu anawaambia kimeshushwa na nyinyi mnaamini.Mi. Mwenyew nashangaa tumekatAzwaje lakn huko kwenye maandiko kuna walikuw na wanawake zaid ya mmoja. Namaandko yameandika
Huu ni msalaba mzto sana au kfungu hiko kwenye bible kiliandikwa na mwanamke (Eva)
Unajua Uislamu ulianzishwa Vatican? Mafundisho ya Papa na ya uislamu hayana tofauti wote lengo lao ni kuuchafua ukristo. Unajua kabisa Biblia inasema watu waoe mke mmoja halafu wewe na dini yako unalazimisha. Ndiyo mambo ya papaNimekaa nikajuiliza kwanini hawa majiarani zetu(wakristo) hutumia nguvu kubwa saana mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja kama walivyo waislam wasukuma wamasai nk
But suala la ajabu wanaume kwa wanaume kuoana kanisa linabariki mara utasikia UK jamaa kaoa mbwa mara kuna mwanamke kao mwanamke mwenzie church
Usitukane just nimewaza kimaandishi
Lete ushahidiUnajua Uislamu ulianzishwa Vatican?
Sasa kuna uhusiano gani kati ya kutokujua kusoma na kushushwa kwa Qur’anMtu ambaye hajui kusoma na kuandika anawaambia Quran imeshushwa na nyinyi mkaamini.
Unajua Uislamu ulianzishwa Vatican? Mafundisho ya Papa na ya uislamu hayana tofauti wote lengo lao ni kuuchafua ukristo. Unajua kabisa Biblia inasema watu waoe mke mmoja halafu wewe na dini yako unalazimisha. Ndiyo mambo ya papa
Mtu ambaye hajui kusoma na kuandika anawaambia Quran imeshushwa na nyinyi mkaamini. Kama Quran ilishushwa ilikuaje Allah asimpe uwezo wa Mohamad ajue kusoma na kuandika?
View attachment 3247968
Hahahaha! Hii dunia Kuna vitu vinachekekesha Sana miaka milioni 28 unafanya tu hata bao moja bado. Eti bado na mtu Ni mfuasi wa dini hii kweli jamani 😂😂😂😂😂😂😂😂Unajua Uislamu ulianzishwa Vatican? Mafundisho ya Papa na ya uislamu hayana tofauti wote lengo lao ni kuuchafua ukristo. Unajua kabisa Biblia inasema watu waoe mke mmoja halafu wewe na dini yako unalazimisha. Ndiyo mambo ya papa
Mtu ambaye hajui kusoma na kuandika anawaambia Quran imeshushwa na nyinyi mkaamini. Kama Quran ilishushwa ilikuaje Allah asimpe uwezo wa Mohamad ajue kusoma na kuandika?
View attachment 3247968
Hujawahi kujiuliza kwanini mwanamke haruhusiwi kuolewa na wanaume wengi?Nimekaa nikajuiliza kwanini hawa majiarani zetu(wakristo) hutumia nguvu kubwa saana mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja kama walivyo waislam wasukuma wamasai nk
But suala la ajabu wanaume kwa wanaume kuoana kanisa linabariki mara utasikia UK jamaa kaoa mbwa mara kuna mwanamke kao mwanamke mwenzie church
Usitukane just nimewaza kimaandishi
Kanisa sio Ukristo, Ukristo muongozo wke upo kwenye maandiko wapi Ukristo unaruhusu ushoga.Nimekaa nikajuiliza kwanini hawa majiarani zetu(wakristo) hutumia nguvu kubwa saana mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja kama walivyo waislam wasukuma wamasai nk
But suala la ajabu wanaume kwa wanaume kuoana kanisa linabariki mara utasikia UK jamaa kaoa mbwa mara kuna mwanamke kao mwanamke mwenzie church
Usitukane just nimewaza kimaandishi
Quran haijashushwa. Hapo kuna namna ilifanyika.Sasa kuna uhusiano gani kati ya kutokujua kusoma na kushushwa kwa Qur’an
Hao si waislam bali ni wanaouchafua uislamuNaangalia filamu hapa. Muislamu mmoja kashika bunduki, anamuelekezea padri anamwambia aseme "hakuna mungu pekee zaidi ya Allah". Padri kagoma, wakamuua na kwenye kundi hilo la waislamu wengine wanabaka.
Dini gani hiyo inaruhusu ujinga wa namna hiyo? Hapa utabisha utasema hiyo ni filamu
Tukio la October 7, Wapalestina walivamia Israel, wakabaka, wakaua na kuchukua mateka huku wanashangilia Allah Akbar ila walipotangaziwa vita dunia nzima iliwaonea huruma