Mwislam by choice
JF-Expert Member
- Sep 23, 2017
- 361
- 471
Hakuna Ukristu duniani unaotoa sakramenti ya ndoa kwa watu wa jinsia moja. Yaani kwamba watu wawili wanaume au wawili wanawake wanafungishwa ndoa na kiongozi wa dini ya Kikristu, hapana. Labda mtu haelewi kutofautisha kati ya ndoa na tabia ya ushoga/usagajiNimekaa nikajuiliza kwanini hawa majiarani zetu(wakristo) hutumia nguvu kubwa saana mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja kama walivyo waislam wasukuma wamasai nk
But suala la ajabu wanaume kwa wanaume kuoana kanisa linabariki mara utasikia UK jamaa kaoa mbwa mara kuna mwanamke kao mwanamke mwenzie church
Usitukane just nimewaza kimaandishi
Embu weka Aya zinazoruhusu mambo hayo hapa. Vinginevyo una tatizo kichwaniNimekaa nikajuiliza kwanini hawa majiarani zetu(wakristo) hutumia nguvu kubwa saana mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja kama walivyo waislam wasukuma wamasai nk
But suala la ajabu wanaume kwa wanaume kuoana kanisa linabariki mara utasikia UK jamaa kaoa mbwa mara kuna mwanamke kao mwanamke mwenzie church
Usitukane just nimewaza kimaandishi
Kristo yupi huyo anayebariki Ndoa za jinsi moja?Nimekaa nikajuiliza kwanini hawa majiarani zetu(wakristo) hutumia nguvu kubwa saana mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja kama walivyo waislam wasukuma wamasai nk
But suala la ajabu wanaume kwa wanaume kuoana kanisa linabariki mara utasikia UK jamaa kaoa mbwa mara kuna mwanamke kao mwanamke mwenzie church
Usitukane just nimewaza kimaandishiub
Elewa kitu mkuu,ndoa za jinsia moja haikuwa msimamo wa Ukristo kwa ujumla Ni baadhi ya vikundi vya Ukristo km ujuavyo,maana mashahidi wa Yehova,Wasabo,Walokole baadhi hawakubali huo ushoga,,,so kuwajumlisha Ni sawa na waislam wajumlishwe na yule mshenz wa soutn Africa....Nimekaa nikajuiliza kwanini hawa majiarani zetu(wakristo) hutumia nguvu kubwa saana mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja kama walivyo waislam wasukuma wamasai nk
But suala la ajabu wanaume kwa wanaume kuoana kanisa linabariki mara utasikia UK jamaa kaoa mbwa mara kuna mwanamke kao mwanamke mwenzie church
Usitukane just nimewaza kimaandishi
Tatizo wewe hujui Ukristo ni nini. Hao unaowasema ni watu wa dini. Ukatoliki, Uanglikana, Uluteri nk. Lakini Ukristo sio dini bali na maisha mapya ndani ya Kristo. Wakristo wanafuata Maandiko ya Biblia lakini watu wa dini hufuata mapokeo ya dini zao. Neno la Mungu halibadiliki lakini mapojeo hubadilika.Mapenzi tu ya jinsia tofauti bila ndoa ni dhambi sembuse mapenzi ya jinsia moja? Huo ni ni ushetani na wanaoishabikia ni wafuasi wa shetani sio wafuasi wa Kristo. Huo ukristo unatumika tu kimaslahi. Ndio maana Yesu mwenyewe aliwaambia siku ile wengi watakuja wakijitetea kuwa walifanya mambo mengi kwa jina lake lakini atawafukuza akisema "tokeni kwangu ninyi mfanyao maovu sokuwatambua kamwe".Nimekaa nikajuiliza kwanini hawa majiarani zetu(wakristo) hutumia nguvu kubwa saana mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja kama walivyo waislam wasukuma wamasai nk
But suala la ajabu wanaume kwa wanaume kuoana kanisa linabariki mara utasikia UK jamaa kaoa mbwa mara kuna mwanamke kao mwanamke mwenzie church
Usitukane just nimewaza kimaandishi
Nimekaa nimejiuliza Quran imeruhusu wake wanne lakini mtume alizidisha!Nimekaa nikajuiliza kwanini hawa majiarani zetu
Mungu anachokataa kuzini sasa unaoa kwann akataeSio ukristo unakataza Bali Mungu mwenyewe
Kwani hao wenye wake wengi hawana michepuko mkuu. Au wewe ni mgeni mjiniWanakataa kuoa mke zaidi ya mmoja ila wanazaa nnje ya ndoa na kuwapangia nyumba kabisa
Bro huku nilipo unaona yule imam wa south hatutaki ujingaNa wewe unataka kubariki ndoa ya jinsia moja??
Yule imam ni wa south huko hadi Luck Dube walimmiminia za kutosha, daslam na zenji mapunga kibao tena wako hadharani kabisa.Bro huku nilipo unaona yule imam wa south hatutaki ujinga
Kuna utaratibu wa kuoa na sio kujiolea kiholelaMungu anachokataa kuzini sasa unaoa kwann akatae
Ndo kuoa mke mmoja au siyoKuna utaratibu wa kuoa na sio kujiolea kiholela