Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Nani kakwambia Uislamu unaruhusu mambo hayoNaangalia filamu hapa. Muislamu mmoja kashika bunduki, anamuelekezea padri anamwambia aseme "hakuna mungu pekee zaidi ya Allah". Padri kagoma, wakamuua na kwenye kundi hilo la waislamu wengine wanabaka.
Wakati Mtume anashushiwa Qur’an alikuwa anasomewa na kuhifadhi kichwani hakukuwa na haja ya kuandika halafu yeye ndo alienda kuwasomea maswahaba zake ambao ndo waliiandika Qur’an kwenye ngozi,mifupa laini,majani ya mitende na sehemu nyingineKama alishushiwa, kwanini huyo aliyemshushia hakumpa uwezo wa kujua kusoma na kuandika?
UKRISTO haujakataza kuoa mke zaidi ya mmoja,,,,,,,bali mtu huyo akiwa ASKOFU ni vyema akawa mtu wa mke mmoja.....mengine ni mapakeo na tafsiri pamoja na tamaduni za kizungu...Nimekaa nikajuiliza kwanini hawa majiarani zetu(wakristo) hutumia nguvu kubwa saana mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja kama walivyo waislam wasukuma wamasai nk
But suala la ajabu wanaume kwa wanaume kuoana kanisa linabariki mara utasikia UK jamaa kaoa mbwa mara kuna mwanamke kao mwanamke mwenzie church
Usitukane just nimewaza kimaandishi
Daaadeki sio hapa bao moja tu dakika tutatu.......miaka mil.28 kwa bao....Unajua Uislamu ulianzishwa Vatican? Mafundisho ya Papa na ya uislamu hayana tofauti wote lengo lao ni kuuchafua ukristo. Unajua kabisa Biblia inasema watu waoe mke mmoja halafu wewe na dini yako unalazimisha. Ndiyo mambo ya papa
Mtu ambaye hajui kusoma na kuandika anawaambia Quran imeshushwa na nyinyi mkaamini. Kama Quran ilishushwa ilikuaje Allah asimpe uwezo wa Mohamad ajue kusoma na kuandika?
View attachment 3247968
Embu weka Aya zinazoruhusu mambo hayo hapa. Vinginevyo una tatizo kichwani
Ndivyo Mungu alivyoamuru,Mme Mmoja na Mke Mmoja,(Mwanzo2:21-24) na (Mathayo19:4-7)
(1Wakorintho7:1-2)- Kila mtu awe na Mkewe.
Biblia inakataza ndoa ya Mwanaume kwa Mwanaume,hayo ni machukizo mbele za Mungu,(Walawi20:13)-Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume, kama alalavyo na mtu mke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauawa; damu yao itakuwa juu yao.
Ulawiti na Ufiraji unakatazwa na Neno la Mungu,huo ni udhalimu,(1Wakorintho6:9-10)- Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, 10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
Kanisa la Mungu haliwezi kubariki Ndoa za Jinsia Mmoja.
UCHAFU UNAOFANYWA NA WAZUNGU SIYO AGIZO LA KANISA LA MUNGU ULIMWENGUNI.
KAMA ULIVYOKAA KUJIULIZA HILO NINA IMANI UNAWEZA KUKAA NA KUJIULIZA MENGI ZAIDI AMBAYO NI CHANGAMOTO KWETU SISI WAISLAMU NA NAMNA GANI YA KUZITATUA.Nimekaa nikajuiliza kwanini hawa majiarani zetu(wakristo) hutumia nguvu kubwa saana mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja kama walivyo waislam wasukuma wamasai nk
But suala la ajabu wanaume kwa wanaume kuoana kanisa linabariki mara utasikia UK jamaa kaoa mbwa mara kuna mwanamke kao mwanamke mwenzie church
Usitukane just nimewaza kimaandishi
Hili makala ni kuwakumbusha maana kila kukicha kuchafua uslam wakati wanamambo yao kujadili na sio kuwasingizia ni kuwakumbusha mambo yao yanavyozidi kuharibiaKAMA ULIVYOKAA KUJIULIZA HILO NINA IMANI UNAWEZA KUKAA NA KUJIULIZA MENGI ZAIDI AMBAYO NI CHANGAMOTO KWETU SISI WAISLAMU NA NAMNA GANI YA KUZITATUA.
Tulishaambiwa ndani ya Quran sisi tuna dini yetu na wao wana dini zao. Haina haja ya kupekua mabaya ndani yao, badala yake tunaweza kuchukua mazuri na kutumia kama mfano kuona wapi sisi tunakwama.
Swala la mke zaidi ya mmoja sio sifa au kipaumbele alichopewa mwanaume. Bali ni jukumu ambalo kesho tutakuja kuulizwa. Sisi wanaume tumelazimishwa kuwafanyia wake zetu mambo matano regardless wana kipato au hawana.
1. kumlisha
2. kumvisha
3. malazi
4. kumtibia
5. mapambo
Jiulize waislamu wangapi tunawalazimisha wake zetu ( wanaofanya kazi au biashara) kuchangia kodi, au kujitibia au kuchangia ratio ya chakula nyumbani? we unaona hili lipo sawa wakati sheria ishatutaka sisi wanaume ndio tuprovide hivyo vitu kwao?
Usia wangu kama muislamu mwenzako
"TUTIZAME MABAYA NDANI YETU (ili tuyarekebishe) na TUTIZAME MAZURI YA WENGINE.
Assalaam aleykum
Kwahyo hiko kfungu cha kuoa mke mmoja tunatekeleza visivyo ?Shida hamsomi Biblia. Mnakuwa kama mtu ambaye hajui kusoma na kuandika halafu anapewa kitabu anawaambia kimeshushwa na nyinyi mnaamini.