Kwanini Ulimwengu unafuata hesabu zilizotoka akilini mwa Binadamu? Vita kali dhidi ya Atheists Ep3

Ugumu wa swali hauondoi hitaji la justification.
Kama huwezi kueleza hata framework tu ya kuthibitisha, basi claim yako haiwezi kuitwa knowledge tena, inabaki kama belief tu.

Na kama hujui jambo hujui tu, usilazimishe kutafuta assumptions zisizo na msingi ili kujazia hilo gap la kutokujua.
 
Yafaa kuelewa kwa upande mmoja "Ukweli" na kwa upande mwingine "Sayansi".

Binadamu daima anataka kujua, "kujua ukweli".

Kwa sababu hiyo maarifa ya sayansi yanajitokeza kuwa muhimu kwa kuwa yanashughulikia kweli za kiakili.

Sasa, swali ni je, hilo jambo linalosemwa au hilo neno tunaloita Mungu, ni ukweli?

Katika kutafakari hilo, ni vema kujua kuwa sayansi ni maarifa yanayoendelea. Kwa sababu hiyo ni wazi yapo mambo mengi ambayo bado hatujayajua.

Kama binadamu hapa duniani hatuna kazi nyingine muhimu zaidi ya "kutafuta na kujua ukweli" na kipekee "ukweli kuhusu dini".

Kumbe, kazi kubwa ya mtu duniani, katika umri wake wa kuanza kutumia akili ni, kufikiri na kufanya uchunguzi (utafiti) kujua ukweli kuhusu ulimwengu. Kwa sababu ukweli ndio lengo lake la mwisho.
 
Huo mwongozo ulikujaje?
Hiyo akili kubwa si ipo ndani ya ulimwengu ambao tayari upo?

Au ipo wapi?
‎
‎tukiachana na jibu la kimantiki linalotupeleka kwenye infinite regress.
‎Jibu la kisayansi: Second Law Of Thermodynamics inaondoa uwezekano wa Ulimwengu kuwepo milele
 
This makes me rethink religion, Kuna maandikonyanasema Mungu alimuumba mwanadam Kwa mfano wake, it's now starting to make a little sense. Huyo mungu ndo energy, universe, whatever you call it
 
Mkuu umeelezea vizuri sana,
Nakubaliana na wewe kuhusu dimensions, Kuna jamaa anaitwa Billy Carson anvasemaga universe Ina dimensions 11 otherwise Ina collapse.
 
Mm nahisi wote mlikuwa na hoja tofauti ambazo zilikwepa lengo LA mleta mada, yeye alizungumzia ile link(connection) wewe ukaja na wazo lako la universe kuwa fundamental na binadamu ndo anataka kujua.. which again haijibu chochote kuhusiana na ile connection ya ugunduzi WA binadamu.
Designer anaweza kuwepo au laa, ila hii connection anayosema mleta mada Ina point na ni facts kabisa
 
Chochote ambacho ni fact can be verified.
Show the basis of that claim and where it comes from.
 
Chochote ambacho ni fact can be verified.
Show the basis of that claim and where it comes from.
Iko verified through, examples alizo mention awali,
‎"Ni ajabu isiyoeleweka kwa nini hesabu zilizoundwa bila kujali ulimwengu wa kimwili zinafanya kazi vizuri sana kueleza ulimwengu huo. Hakuna maelezo ya kawaida ya hili." Hicho ndo alicho maanisha kujua hiyo link? Sio kwamba ni kwasababu ya uwepo wa mungu, ila tu hiyo phenomenon Iko sawa
 
Nishaelezea hilo.
Una changamoto yeyote kwenye uelewa?

Je, hesabu zilibuniwa na binadamu kulingana na ulimwengu unavyokwenda au hesabu zilikuwepo kabla ya binadamu kuwepo?
 
Nishaelezea hilo.
Una changamoto yeyote kwenye uelewa?

Je, hesabu zilibuniwa na binadamu kulingana na ulimwengu unavyokwenda au hesabu zilikuwepo kabla ya binadamu kuwepo?
Unaproof yoyote? Kuhusu Hilo? Nani kasema hesabu ilikuwepo before human existence? Kwahiyo just because binadamu kaja na kitu unasema kilikuwepo before? Hiyo ni minds creation, how can it exists before?
 
Unaproof yoyote? Kuhusu Hilo? Nani kasema hesabu ilikuwepo before human existence? Kwahiyo just because binadamu kaja na kitu unasema kilikuwepo before? Hiyo ni minds creation, how can it exists before?
Nilikuuliza hapo awali kama unachangamoto yeyote kwenye uelewa? Hujajibu.

Sasa hapo umeuliza swali au umejibu swali?
Kwanini unafanya To queue logical fallacy?
 
Nilikuuliza hapo awali kama unachangamoto yeyote kwenye uelewa? Hujajibu.

Sasa hapo umeuliza swali au umejibu swali?
Kwanini unafanya To queue logical fallacy?
Wewe ndo unachamgamoto ya kuelewa, Bora ungesema both ends of the spectrum hazina jibu? Ila that doesn't mean opinion ya mleta mada Haina logical consistency, j kingine you're not that special, you know nothing just like everyone, egoism na kuwa triggered ni source ya ignorance.
 
Nashauri jamaa asikujibu kitu maana binafsi naona kama hoja zake zimekuzidi kilogram
 
Kuandika kwa hasira na kutumia kejeli kunazidi tu kuthibitisha ujinga ulionao.

Tatizo ni kwamba huwezi kutulia kwenye mada hata kidogo,
Ukipewa mifano, unaacha hoja, unaanza kuishambulia mifano kwa sababu huna majibu ya uhakika.

Ukiulizwa swali hujibu, unaanza kuuliza maswali mengine ili kuficha ujinga wako wa kutokuwa na hoja.

Honestly, you sound completely useless to me.
 
You know what, that doesn't make any sense to me... To argue instead of showing each other a way out.

The shit you're trying to cling to, is nothing but a psychological illusion..

Kwa maneno yako mwenyewe uliuliza swali...
Nishaelezea hilo.
Una changamoto yeyote kwenye uelewa?

Je, hesabu zilibuniwa na binadamu kulingana na ulimwengu unavyokwenda au hesabu zilikuwepo kabla ya binadamu kuwepo?
Nikakuuliza una proof yoyote? Nikiwa na maana najua zipo before? Ila we wouldn't have known if they existed until tulivyo kuza ujuzi wetu. Mleta mada alisema Kuna ile link, (intuition like) ambayo inamfanya binadamu kupata, awareness ya kujua laws na mathematical expression of forces running both the world, and outer space.

He meant kwamba Kuna creator au tuseme force ambayo inasababisha process nzima itokee, tuiite(mungu)...

Wewe umekuja na hoja eti kipi kilitangulia, of course tunajua sote, zipo before.., je umeshawahi kufiatilia ancient mysteries ma pyramid yalijengwaje? Wale watu wa dogon walijuaje mipangilio ya nyota.. and so on... Of course utakuja na vitu kama ilitokea tu, okay what about telepathy!

Mimi sikuja Kwa namna ambayo wewe upon, kutetea kitu nisicho na uhakika, nilikuja kuquestion! Wewe ndo unakuja na ignorant mentality ya kuona hoja yako ipo right. Infact we are just animals, we bark using words we are not aware of.

Sipendi kuprove ujinga, na kuonesha I know anything. How can I be useful to someone who don't know who they are.?
 
Don’t act like a victim over problems you created yourself.

Unaongea kuhusu hiyo connection as if ni proven fact wakati hakuna hata proof yeyote.
There’s no proof kwamba maths, theories or scientific discoveries zina connection na some unseen force or hidden intelligence.

Humans observe patterns kwenye universe, then they create explanations and symbolic systems to describe what they see,
Sasa hiyo haimaanishi kwamba waliogundua maths and theories wamepata ultimate truth of existence.

Science and theories keep changing all the time, which already proves kwamba human knowledge ni limited.
Na ukweli ni kwamba jinsi maths na theories zinavyofanya kazi doesn’t automatically prove kuna cosmic intelligence nyuma yake, maths and theories inaweza kuwa ni language humans created to organize their observations tu.

So kama mleta mada anasema hiyo connection kati ya mtu na unseen being ipo, basi kazi ya kuthibitisha hiyo claim ni yake, usinipe mimi mzigo wa kuthibitisha kwamba haipo.

Na kama wewe unamuunga mkono, basi msaidie kuthibitisha badala ya kuizungumza kama ni established truth wakati bado ni imagination na assumptions tu.

Can you actually prove it, or yo’re just decorating guesses with confidence and calling it truth?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…