Kwanini umeme usimuondoshe Rais Samia madarakani?!

Nikipata pesa hii inchi sio ya kukaa nitahama mimi na familia yangu nikaishi kwingine kila siku tattoo moja miaka nenda rudi bila ufumbuzi.
 
Tutakuwa manyumbu mpaka lini? Unaenda kupata huduma unaambiwa hakuna umeme. Mwezi mamiezi yamepita. Rais hana chochote anachofanya kutatua tatizo. Hotuba zake hazina mikakati yeyote ya maana zaidi ya brah brah tu.
Hili suala na mengine kama bandari yalitosha kabisa kumfukuza Samia madarakani kwa sababu hawezi kazi.
Nyumbu????
Yaani mimi na wewe ni nyumbu??
Thubutu wewe.

skiza mimi sio nyumbu tafadhali.
ungana na nyumbu wenzie mie sio kabisa tafadhali.

Yaani manyumbu yamtoe mtu Madarakani?
Hivi unajua nyumbu walivyo? unajua akili za manyumbu zilivyo?
me kwanza ncheke 😂 manyumbu eeee
 
Tutakuwa manyumbu mpaka lini? Unaenda kupata huduma unaambiwa hakuna umeme. Mwezi mamiezi yamepita. Rais hana chochote anachofanya kutatua tatizo. Hotuba zake hazina mikakati yeyote ya maana zaidi ya brah brah tu.
Hili suala na mengine kama bandari yalitosha kabisa kumfukuza Samia madarakani kwa sababu hawezi kazi.
Mafisadi wako madarakani lazima nchi iyumbe
 
Yapata wiki sasa tatizo la umeme kukatika limeisha maeneo mengi, hizo sehemu chache muwe na subira nako litaisha biteko yupo mzigoni kuweka Mambo sawa
 
Eti maeneo mengi!!..unaongelea nchi gani labda??..juzi nikiwa Moro kutwa nzima no umeme..leo nilipo Moshono Arusha, walikata jana siku nzima..wakarudisha 12jioni, kufika 1:30 wakakata tena, ndio hadi saa hizi..yaani tunalala gizani kama mende..halafu unakuja na NGONJERA zako hapo..Idiot
 
Na sijui nani kamwambia kuwa tatizo la umeme linatatuliwa kwa kabadili sura za viongozi wanaosimamia sekta hii ya nishati ya mafuta na ya umeme. This is very pathetic...
unauliza nani alimwambia wakati kila siku hapa mulikuwa munapiga kelele aondolewe January na Maharage?
Ama nyinyi kweli vigeugeu, jambo likishafanyika munaanza kupiga kelele nani alimwambia.
 
Tutakuwa manyumbu mpaka lini? Unaenda kupata huduma unaambiwa hakuna umeme. Mwezi mamiezi yamepita. Rais hana chochote anachofanya kutatua tatizo. Hotuba zake hazina mikakati yeyote ya maana zaidi ya brah brah tu.
Hili suala na mengine kama bandari yalitosha kabisa kumfukuza Samia madarakani kwa sababu hawezi kazi.
Watanzania ni mazombi mkuu,sahau.
 
Back
Top Bottom