Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Daah watu wa magufuli mna hasira sanaAkishaondoka na hadhi ya Urais avuliwe kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah watu wa magufuli mna hasira sanaAkishaondoka na hadhi ya Urais avuliwe kabisa
HeheheTatizo la umeme ni utekelezaji wa ilani.
Kama unanisha, hatoki
Nyumbu????Tutakuwa manyumbu mpaka lini? Unaenda kupata huduma unaambiwa hakuna umeme. Mwezi mamiezi yamepita. Rais hana chochote anachofanya kutatua tatizo. Hotuba zake hazina mikakati yeyote ya maana zaidi ya brah brah tu.
Hili suala na mengine kama bandari yalitosha kabisa kumfukuza Samia madarakani kwa sababu hawezi kazi.
Mafisadi wako madarakani lazima nchi iyumbeTutakuwa manyumbu mpaka lini? Unaenda kupata huduma unaambiwa hakuna umeme. Mwezi mamiezi yamepita. Rais hana chochote anachofanya kutatua tatizo. Hotuba zake hazina mikakati yeyote ya maana zaidi ya brah brah tu.
Hili suala na mengine kama bandari yalitosha kabisa kumfukuza Samia madarakani kwa sababu hawezi kazi.
Hili nalo mwende mkalitizame kuengeza tijaHotuba zake hazina mikakati yeyote ya maana zaidi ya brah brah
Hakuna analoliweza, bure kabisa mama yetu huyu Samia. Amewaangusha wanawake sana katika historia ya mwanamke tanzaniahawezi kazi
Eti maeneo mengi!!..unaongelea nchi gani labda??..juzi nikiwa Moro kutwa nzima no umeme..leo nilipo Moshono Arusha, walikata jana siku nzima..wakarudisha 12jioni, kufika 1:30 wakakata tena, ndio hadi saa hizi..yaani tunalala gizani kama mende..halafu unakuja na NGONJERA zako hapo..IdiotYapata wiki sasa tatizo la umeme kukatika limeisha maeneo mengi, hizo sehemu chache muwe na subira nako litaisha biteko yupo mzigoni kuweka Mambo sawa
Hahahahaha daah sitaki kuamini kuwa tutaendelea na hali hii mpaka 2030.Hili nalo mwende mkalitizame kuengeza tija
unauliza nani alimwambia wakati kila siku hapa mulikuwa munapiga kelele aondolewe January na Maharage?Na sijui nani kamwambia kuwa tatizo la umeme linatatuliwa kwa kabadili sura za viongozi wanaosimamia sekta hii ya nishati ya mafuta na ya umeme. This is very pathetic...
Watanzania ni mazombi mkuu,sahau.Tutakuwa manyumbu mpaka lini? Unaenda kupata huduma unaambiwa hakuna umeme. Mwezi mamiezi yamepita. Rais hana chochote anachofanya kutatua tatizo. Hotuba zake hazina mikakati yeyote ya maana zaidi ya brah brah tu.
Hili suala na mengine kama bandari yalitosha kabisa kumfukuza Samia madarakani kwa sababu hawezi kazi.