Kwanini Umoja Party wanaweka picha ya Hayati Magufuli kwenye tisheti zao?

Kwanini Umoja Party wanaweka picha ya Hayati Magufuli kwenye tisheti zao?

Mtu yoyote makini...
Akichanga karata zake vizuri, Jina la Magu linampa uraisi 2025.
Japo kwa hao sidhani 😂😂😂, siwaoni wakiwa makini.
Huu ni uwongo wa mchana. Magufuli 2015 hakushinda uchaguzi bali ni akina Team Masakii (Kinana, Januari, Nape) na Kapilimba walivyo cheza na mtandao wakaiba kura za Lowassa na kumhamishia Magufuli.

Mwaka 2020 Magufuli hakusubiri kura zihesabiwe kwa sababu asingeweza kumshinda Tundu Lissu. Kimsingi mwaka 2020 alipata kwa nguvu ya TISS, POLICE na NEC.

Sasa utashindaje uchaguzi kwa kuwa muumini wa Magufuli ambaye hajawahi kushinda uchaguzi wowote?
 
Ni vizuri kujifurahisha na kujifariji......
 
Mzee mwinyi huyu asiyemkumbuka mwanaye mpaka aulizie? Tofautisha Kati ya chama Cha siasa na mgombea. Trump alikuwa Democrat lakini alihamia Republican na kushinda urais, je Republican ilikuwa Democrat b?.
2015 Mzee mwinyi hakuwa na tatizo la kumbukumbu, unafananisha Marekani na bongo? Huku chadema hujiona wao ndio chama pekee cha upinzani Tanzania na vyama vyengine vyote wanaona ni mamluki wa ccm.

Leo hii Lowassa karudi ccm A.
 
Nonsense
Yule mharibifu angekuwa anakubalika asingeiba uchaguzi wa 2020 waziwazi vile
Hivi nyinyi mna nini vichwani mwenu
Mtu alikuwa anaiharibu nchi waziwazi mnamuona wa maana?
Kama urais 20225 watapata kama ulivyoandika!
Aliwazuzua baadhi ya wanyonge kwa kuwadanganya kuwa nchi imeliwa sana tangu uhuru na kwamba yeye ni mkombozi. Akawahakikishia mabeberu kuwa uchaguzi utngekuwa huru. Alipotinga kwenye kampeni na kuanza kuchambuliwa kama karanga akaishiwa nguvu na kuanza kukana sera zake jukwaani ambazo hata hivyo zilikuwa kichwani mwake tu. Muda kidogo akatembea kwa magoti. Mwisho wa siku akagundua kuwa wanyonge hawako naye; wamegeukia upande mwingine. Hakuwa na njia ya kushinda uchaguzi bila kutumia silaha za nuklia.
 
Ni Magufulification of Tanzania and Africa
Wakasome kwanza taarifa ya CAG!
Kisha wakamfufue na au wakazikwe pembeni ya kaburi lake msituletee UCHURO HAPA??
Jitu lishakufa na kuoza mnatupigia kelele hapa
Mashetani wakubwa nyinyi
 
Kwahiyo hao umoja party walikuwa wakifurahishwa na kuunga mkono ukatili, wizi na dhulma dhidi ya raia uliokuwa ukifanyika wakati wa Magufuli kupitia kwa watendaji wake kina Makonda,Sabaya,Mnyeti na wengineo!

Ndio ushangae 💣
 
Mbona huo mtaji hatukuuona mpaka Kura zikaiibiwa 2020?. Au 2015 alipopata asilimia 57. Acheni kutishia watu kisa ninyi mnaishi kwa hofu.
Tuliza boli. Mziki ndio kwanza unaanza. Mlidhani ni rahisi tu ?
 
Acha

Acha utani Magufuli mbaguzi aliyesema watu wa mwaza wasibomolewe nyumba zao lakini wa kimara wabomolewe Tena wakiwa na Court injunction, ndio awe Rais wa Tanzania? Yule alikuwa Rais wa baadhi ya watanzania ndio maana Kuna watanzania mpaka Leo hawajulikani wapo wapi.
Mbona wewe unajulikana ulipo na unachokifanya ?
 
Sera zake na ilani zinasemaje!?
Kusifu na kuabudu mzimu!?
Kama yupo aliyezisoma atuletee humu! Tafadhali
 
Binafdi nafikiri vyama vingebakia CCM, CHADEMA NA ACT. HIVYO VIDOGOVIDOGO VYOTE VIJIUNGE NA HIVI VIJIONAVYO VIKUBWA
Hao Chadema na ACT ni takataka tu saiz.Wote wamenunuliwa na CCM.Tunataka upinzani nje ya hao wachumia tumbo.Kama UMOJA PARTY hakitakua tawi la CCM basi ndio upinzani bora kwa sasa
 
Magufuli ni mtaj mkubwai kwenye siasa za Tanzania hilo liko wazi.
Magufuli ni mtaji mkubwa sana kwa siasa na wanasiasa wa Tanzania hii na itaenda mpaka kwenye uchaguzi mkuu wa 2025 au zaidi.

Magufuli ni jina na sera tayari zinazouzika zenyewe.

wapo watakaoitumia vibaya au vizuri brand yake.
Kwa siasa za kipindi hiki ni ngumu kumuacha magufuli.
Yeye mwenyewe alishindwa kuitumia brand yake vizuri kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 ikabidi atumie ubabe kushinda.
 
Kwahiyo hao umoja party walikuwa wakifurahishwa na kuunga mkono ukatili, wizi na dhulma dhidi ya raia uliokuwa ukifanyika wakati wa Magufuli kupitia kwa watendaji wake kina Makonda,Sabaya,Mnyeti na wengineo!
Chama Cha majambazi hiki
 
Back
Top Bottom