Kwanini Umoja Party wanaweka picha ya Hayati Magufuli kwenye tisheti zao?

Kwanini Umoja Party wanaweka picha ya Hayati Magufuli kwenye tisheti zao?

kuna haja ya wazungu kuja kututawala tena na wakae mpaka hiki kizazi cha sasa kipotee kabisa ila kwa makataba maalum ambao usimamiwe na AU. Yanayofanyika sasa nadhani kuna upungufu mkubwa sana wa uwezo wa kifikiri sisi watanzania (ugonjwa hatari sana huu).
 
Baba mwenye legacy yake alitaka kuisafiria 2020, alipoona meli inataka kuzama akatoa amri Kwa kila kikapu Cha kura kichukuliwe na kubadilishwa!! Kama yeye hakujiamini ni nani atathubutu kujiaminisha na legacy inayokaribia kuzama!?
Unajua kuwa unajifurahisha......
 
Ni kweli, jina la Dkt Magufuli linauzika. Sijui Mama Samia atasemaje maana ana mkana wazi wazi

Lilishindwa kuuzika 2020 mpaka Kura zikaiibiwa iwe leo na 2025? Jina lilishindwa kuuzika likiwa hai litauzika likiwa mfu?.
 
Umoja party? That’s a non-starter. Hawa bado hawajaelewa tatizo la nchi hii liko wapi.
 
Magufuli ni mtaj mkubwai kwenye siasa za Tanzania hilo liko wazi.
Magufuli ni mtaji mkubwa sana kwa siasa na wanasiasa wa Tanzania hii na itaenda mpaka kwenye uchaguzi mkuu wa 2025 au zaidi.

Magufuli ni jina na sera tayari zinazouzika zenyewe.

wapo watakaoitumia vibaya au vizuri brand yake.
Kwa siasa za kipindi hiki ni ngumu kumuacha magufuli.

Mbona huo mtaji hatukuuona mpaka Kura zikaiibiwa 2020?. Au 2015 alipopata asilimia 57. Acheni kutishia watu kisa ninyi mnaishi kwa hofu.
 
Binafdi nafikiri vyama vingebakia CCM, CHADEMA NA ACT. HIVYO VIDOGOVIDOGO VYOTE VIJIUNGE NA HIVI VIJIONAVYO VIKUBWA

Hasa upinzani waunde coaliation Kama Kenya. Haya Mambo unaanzisha chama kill siku hatutafika.
 
Chadema kilishakufa, ACT ni chama cha waislamu na kina agenda ya ukabila na udini, CUF udini, TLP cha moshi etc. Kwa ufupi hakuna chama mbadala ya CCM

Ni kazi rahisi kusema chadema kimekufa lakini wakati kinazuiwa kufanya siasa kwa miaka sita mlikuwa mnachekelea. Chama kitajiendeshaje bila kufanya harakati?. Halafu ukifika uchaguzi wanaenguliwa kwenye nafasi za uchaguzi na kuwekewa vikwazo vingi Sana. Unapolaumu angalia source ya tatizo sio kukaa na kusubili kulaumu.
 
Hicho chama kitachukua dola 2025

haaaahaaa! Hata ACT mwaka 2015 waliona wanachukua nchi lakini wakaambulia Kura 90,000 nchi nzima za urais na mbunge mmoja.

Watu wakiona chadema wanavyohangaika huwa wanaona Mambo Ni marahisi tu. Hao wanajifurahisha tu, kabla ya 2025 tutakuwa tumewasahau.
 
Back
Top Bottom