Kwanini Umoja Party wanaweka picha ya Hayati Magufuli kwenye tisheti zao?

Kwanini Umoja Party wanaweka picha ya Hayati Magufuli kwenye tisheti zao?

Nahitaji kuwa mwanachama/ kada wa hicho chama! Ila watoe hiyo picha ya JPM kwenye tshirt. Inaonesha upendeleo fulani. picha ya taifa Tz.
Nchi kwanza!
Wakikuelewa utuambie na sisi tunataka kujiunga,ila ofisi Kwa Sasa nasikia zipo Burundi,yakweli haya🤔
 
Mtu yoyote makini...
Akichanga karata zake vizuri, Jina la Magu linampa uraisi 20225.
Japo kwa hao sidhani [emoji23][emoji23][emoji23], siwaoni wakiwa makini.
Huo mwaka kweli Magufuli atakuwa bado hajasahaulika mkuu?
 
Mtu yoyote makini...
Akichanga karata zake vizuri, Jina la Magu linampa uraisi 20225.
Japo kwa hao sidhani [emoji23][emoji23][emoji23], siwaoni wakiwa makini.
Yaani upate urais kwa sababu ya kumuunga jiwe aliyekuwa muuaji, fisadi mwongo na katili? [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Ni kweli, jina la Dkt Magufuli linauzika. Sijui Mama Samia atasemaje maana ana mkana wazi wazi
Hamkani ila anasema ukweli tupu, tatizo nyie mnapenda kila wakati kuambiwa uongo na ndiyo maana Jiwe alitembelea kwenye uongo mnaopenda kuusikia. Ili lilinfanya awe anapika data mpaka akawa baba wa uongo.
 
Mbona hao wanachama wawili kama wamepitia mafunzo na mazoezi ya kijeshi, sio maofisa vipenyo hawa!!?

Au ni wanamazoezi TU!!?

Nahisi hichi chama ni mbadala wa TLP...
 
Back
Top Bottom