econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Mbona toka ile 2015 kwenye kampeni Mzee Mwinyi alishasema kuwa chadema ni ccm b maana kulikuwa na wagombea wa ccm kote kote.
Mzee mwinyi huyu asiyemkumbuka mwanaye mpaka aulizie? Tofautisha Kati ya chama Cha siasa na mgombea. Trump alikuwa Democrat lakini alihamia Republican na kushinda urais, je Republican ilikuwa Democrat b?.