Kwanini Umoja Party wanaweka picha ya Hayati Magufuli kwenye tisheti zao?

Kwanini Umoja Party wanaweka picha ya Hayati Magufuli kwenye tisheti zao?

Zitto amewaambia , wakachimbe kaburi pembeni ya jiwe wazikwe nae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Si wangekiita tu Sukuma gang ieleweke moja! Kwahiyo Bashira na Ndugai ndio watakuwa wagombea wa urais si ndio? 😂

Zitto marehemu wamegoma kuzikwaaaa.
 
Hiyo Ni akili tu ila picha y kiongozi wa nchi aliyepita haina hatimiliki ya chama ndio maana hata hayati Mwl JK Nyerere vyama hata vya upinzani hupitia humo humo na hata wao huenda kufagia kaburini kwake. Ila ujue kuna popularity na leadership
 
Binafdi nafikiri vyama vingebakia CCM, CHADEMA NA ACT. HIVYO VIDOGOVIDOGO VYOTE VIJIUNGE NA HIVI VIJIONAVYO VIKUBWA
Kiuhalisia vyama vyote havina tatizo.
Ukizingatia katiba na sera zao utaona kila chama kina mlengo mzuri.
Tatizo ni WATU/VIONGOZI wanaoongoza hivyo vyama.
Kwa mtazamo wangu, kwa viongozi wa vyama vya upinzani angalau James Mbatia anafaa. Ni mtulivu na mwenye mawazo mazuri kwa taifa.
Ila hao wengine, mmmmhhh, hapana kwa kweli!
 
Mtu yoyote makini...
Akichanga karata zake vizuri, Jina la Magu linampa uraisi 20225.
Japo kwa hao sidhani 😂😂😂, siwaoni wakiwa makini.
Nonsense
Yule mharibifu angekuwa anakubalika asingeiba uchaguzi wa 2020 waziwazi vile
Hivi nyinyi mna nini vichwani mwenu
Mtu alikuwa anaiharibu nchi waziwazi mnamuona wa maana?
Kama urais 20225 watapata kama ulivyoandika!
 
Chadema kilishakufa, ACT ni chama cha waislamu na kina agenda ya ukabila na udini, CUF udini, TLP cha moshi etc. Kwa ufupi hakuna chama mbadala ya CCM
Leo hulii pembeni ya kaburi la jiwe kama kawaida yako!
Mnawachukia ccm b(act) kwa sababu Zitto anautaja ukatili wa jiwe na anamuunga mkono Samia wakati nyinyi hamumpendi Samia...
You are in a gigantic dilemma.
 
Nahitaji kuwa mwanachama/ kada wa hicho chama! Ila watoe hiyo picha ya JPM kwenye tshirt. Inaonesha upendeleo fulani. Waweke picha ya taifa Tz.
Nchi kwanza!

Magufuli ni mtaj mkubwai kwenye siasa za Tanzania hilo liko wazi.
Magufuli ni mtaji mkubwa sana kwa siasa na wanasiasa wa Tanzania hii na itaenda mpaka kwenye uchaguzi mkuu wa 2025 au zaidi.

Magufuli ni jina na sera tayari zinazouzika zenyewe.

wapo watakaoitumia vibaya au vizuri brand yake.
Kwa siasa za kipindi hiki ni ngumu kumuacha magufuli.
Kwa mujibu wa Wana umoja party 🤔
 
Back
Top Bottom