Kwanini Umoja Party wanaweka picha ya Hayati Magufuli kwenye tisheti zao?

Kwanini Umoja Party wanaweka picha ya Hayati Magufuli kwenye tisheti zao?

Magufuli ni mtaj mkubwai kwenye siasa za Tanzania hilo liko wazi.
Magufuli ni mtaji mkubwa sana kwa siasa na wanasiasa wa Tanzania hii na itaenda mpaka kwenye uchaguzi mkuu wa 2025 au zaidi.

Magufuli ni jina na sera tayari zinazouzika zenyewe.

wapo watakaoitumia vibaya au vizuri brand yake.
Kwa siasa za kipindi hiki ni ngumu kumuacha magufuli.
 
Kama Tanzania ni chato au Burundi sawa linauzika
 
Kwahiyo hao umoja party walikuwa wakifurahishwa na kuunga mkono ukatili, wizi na dhulma dhidi ya raia uliokuwa ukifanyika wakati wa Magufuli kupitia kwa watendaji wake kina Makonda,Sabaya,Mnyeti na wengineo!
... hata mimi nimejiuliza sana kuhusu hayo!
 
Ila watu wathubutu sana kwa kweli. Dah! Hivyo tutarajie kundi kubwa kama lile la cuf kwenda act wazalendo kule zanzibar!
 
hawa akina Mpina, Ndugai, Kalemani & Co wakitaka tuwaamini warudishe kadi za CCM sasa na kujiuzuru kila nyadhifa walizokuwa nazo na wajiunge na chama kingine, nazungumzia sasa mwaka huu 2022...

wakisubiri 2025 nao watakuwa wachumia tumbo tu...
 
Back
Top Bottom