Kwanini unajificha na kuchungulia kwa manati unapotaka kuonana na Rafiki ulimpata mitandaoni?

Kumbe watu wa Lumumba Fc ndio tabia yenu.

Shuda inakuja unataka kukutana na mtu na ushajenga taswira zako kichwani, tayari unataka kumla kabla ya kumuona...

Kwani mkionana kama marafiki tu kuna shida gani, kama kuna mengine yatajitokeza baadae huko.
ni kitu hakiwezekani, tukikutana leo, utelez ni must!
 
Kwasasa jamaa ndio binadamu pekee duniani asieamini chochote kwenye Mitandao..

Ukiachana na kumblock mitandaoni, Jamaa lilienda mpaka Posta, Likablock hadi Sanduku la Posta la Yule mtoto 😄
uskute jamaa mpaka sasa hua anaogopa hata kukatiza maeneo alipokutana na huo muujiza wake physically,

maana zimwi likujualo halikuli likakwisha,🐒
 
gen z hawanaga subra hizo gentleman...

gen z wako chonjo sana na matumizi ya muda,

hawapendeleagi kuprolong mambo kwa muda mrefu. hiyo hawapendi kabisa.

wao ni mnakutana leo, mnamalizana baadae, na ikishindikana leo basi kesho mapema sana bila kuchelewa, mambo yanakamilika,

na hapo sasa mbivu na mbichi ndipo hujulikana 🐒
Wewe ni generation gani mkuu?
 
Enzi za mitandao ya Darhotwire nilivaba kwenda kukutana kituko cha karne. Ubaya location alitoa yeye kwahiyo sikuweza kimbia maana nilitangulia kufika.

Ushawahi kutana na msukule wa kishua? Ndio yalinikuta mimi. Demu anaongea kizungu ila ana kaumtambo kwa mbali. Niliomba ardhi apasuke.

Nashukuru Mungu nilitoka hai.
 
Wewe ni generation gani mkuu?
huenda naelekea kukaribia huruma na ustaarabu wako hapo mbeleni...

na binafsi sitaki kujivunga kufanya kila ninachopaswa kukifanyika sasa hivi kwenye urika huu, kije kuniumbua huko mbeleni kwenye kwenye urika wa wengine wakati nitakua na majukumu mazito na muhimu zaid ya kitaifa na kimataifa 🐒
 
Enzi za mitandao ya Darhotwire nilivaba kwenda kukutana kituko cha karne. Ubaya location alitoa yeye kwahiyo sikuweza kimbia maana nilitangulia kufika.

Ushawahi kutana na msukule wa kishua? Ndio yalinikuta mimi. Demu anaongea kizungu ila ana kaumtambo kwa mbali. Niliomba ardhi apasuke.

Nashukuru Mungu nilitoka hai.
Nadhani wewe ndiye Mhenga uliesema "Kila hatua dua"

Mana ilikua inapigwa dua kwa kila hatua siku hiyo....
 
kwahivyo ikaweje baada ya kukutana na huo muujiza wako sasa? 🐒
 
Nadhani wewe ndiye Mhenga uliesema "Kila hatua dua"

Mana ilikua inapigwa dua kwa kila hatua siku hiyo....
mpaka ukakumbuka ibada na ulikuga husali, dah...

ama kwa hakika siku hiyo ilikua nzito sana 🐒
 
Kumbe watu wa Lumumba Fc ndio tabia yenu.

Shuda inakuja unataka kukutana na mtu na ushajenga taswira zako kichwani, tayari unataka kumla kabla ya kumuona...

Kwani mkionana kama marafiki tu kuna shida gani, kama kuna mengine yatajitokeza baadae huko.
😂😂😂😂😂😂 Urafiki wa bila benefits
 
Back
Top Bottom