Mstoiki
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 4,365
- 8,384
Kudate na mtu Mfupi sio tatizo...wafupi tumewakosea nini lakini,๐๐๐
Tatizo na pale Mbuzi akifungwa kamba Fupi halafu akalazimisha kufuata majani ya mbali... ๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kudate na mtu Mfupi sio tatizo...wafupi tumewakosea nini lakini,๐๐๐
Huyo ni wewe sisi wengine huwa tunatembea kwa style zote na kujitambulisha "unamuona huyo anayepita? Ndi mie huyo"sasa kimbembe huwa ni siku ya kukutana na kuonana uso kwa macho...
ni kwanini watu huviziana kuonana physically katika eneo walilo kukubaliana kukutana bila kujiamini? au mitandao haiaminiki?
kujiamini na kuaminiana ni miongoni mwa mambo ya msingi na ya maana sana kwenye mahusiano hata kama hamjawahi kuonana actual physically bali kupitia picha na video pekee๐๐ช ๐Mimi na mpenzi wangu Gwele tulifahamiana hapa hapa Jf na siku ya kuonana physical kwa mara ya kwanza hakuna aliemvizia mwenzakeโค๏ธ
hakikakujiamini na kuaminiana ni miongoni mwa mambo ya msingi na ya maana sana kwenye mahusiano hata kama hamjawahi kuonana actual physically bali kupitia picha na video pekee๐๐ช ๐
Matokeo gani mkuu?Hizo za first, second na zingine dates huwa ni kwa simu, ya kukutana live lazima itoe matokeo.
Ilibidi nipambane na hali yangu mixer fedheha.kwahivyo ikaweje baada ya kukutana na huo muujiza wako sasa? ๐
Hahaha,
Kama ulikuwepo. Maana lile dude lingeweza hata kunitafuna likidhani linanibusu.Nadhani wewe ndiye Mhenga uliesema "Kila hatua dua"
Mana ilikua inapigwa dua kwa kila hatua siku hiyo....
Matokeo haya.Matokeo gani mkuu?
Hilo ndilo zimwi pekee ambalo Lakukula mpaka unakwisha .Kama ulikuwepo. Maana lile dude lingeweza hata kunitafuna likidhani linanibusu.
Lengo kuu likiwa nini mkuu?Matokeo haya.
1: Mwisho wa mahusiono
2: Muendelezo wa mahusiano na tarajio likiwa ndani ya siku mbili tatu lengo kuu litimie
3: Lengo kuu kufikiwa
๐๐Utasema mnajua kuumba vile ๐Jamaa ilibidi Aigize kama mpita njia..
Ni kama alipishana na Mtungi wa Gas unaotembea... ๐
Kama wewe pia unawakilisha hili kundi;.๐๐Utasema mnajua kuumba vile ๐
vijana wengi wanaogopa sana kukutana miujiza yao aise, baada ya maombi mengi na ahadi za muda mrefu sana za kukutana macho kwa macho....๐๐๐๐a
Oaaa weee nilipata duu mmoja anasoma mipango dodoma...
Tulikua hatujawahi onana ni kuchat tuu na kutumiana picha wasapu .
Sasa siku nikasema ngoja nimfate kwakuwa yeye alikua amepanga ikawa ni simple kwenda..
Basi mwanaumeme nikatoka zangu cive pale gari moja tuu mpaka general hosp.. nikapanda za kwenda mipango.
Kwanza kufika tu sikumwambia nikafika afu nika chill pemben.
Nikamuuliza nikifika nishukie wapi..
Then nikamuuliza nakukuta wapi..
Oaaa kiufupi tulizungushana sana an sana mara yupo sheri... Mi niki mzoom simuoni
Mara yupo huku an hatari ila end of day mi ndo nili win huu mchezo.
Tukaonana akabaki anashangaa tuu..๐๐๐๐๐๐
Siku hiyo hyo nilikiwashaaa magheton kwake.
Hiyo ni ligi ya first year na third year sijui ndo alikua anamaliza yule mdada
dah,Acha kabisa unanikukbusha mwaka 2010, kuna manzi nimekutana nayo facebook, akafosi sana tuonane, ofcourse kwa picha za Fb alizokuwa ameziweka zilikuwa zinavutia , basi bwana tukapanga tukutanie Kinondoni "B" , nilichofanya ni kumsubiria yeye aniambie kuwa amefika ili iwe rahisi mimi kumuona kwanza ambapo itanirahisishia mimi kumthaminisha niamue kumpokea au nimpotezee juu kwa juu, basi bwana akanipigia simu kuwa tiyari amefika , na mimi huyo nikatoka zangu Manyanya taratibu kumfuata, nikiwa kwa mbali nikamvutia waya nikqmuuliza amevaa vipi, nikawa nimemtambua nikazima simu alafu mdogomdogo nikamfuata kwa ukaribu bila yeye kunijua, wakati huo ananipigia hanipati ๐คฃ. Nika kaa jirani yake kabisa namthaminisha, kiukweli shape alikuwa nalo ila usoni chunusi zilimzidia mpaka zinatia hofu.
Ahhh nikasema hii hapana. Nikaondoka! Kuja kuwasha simu malalamiko ya kutosha, nikamwambia fanya tuonane wakati mwingine nilipata dharura na simu ikazima chaji, mpaka leo hatujawahi kuonana namkwepa tu
Wengi hawana subira kwenye hilo, wanataka siku hiyo hiyo wavue pichu.Kumbe watu wa Lumumba Fc ndio tabia yenu.
Shuda inakuja unataka kukutana na mtu na ushajenga taswira zako kichwani, tayari unataka kumla kabla ya kumuona...
Kwani mkionana kama marafiki tu kuna shida gani, kama kuna mengine yatajitokeza baadae huko.
๐ kwahyo ulidhani unaenda kukutana na wife material sio?Acha kabisa unanikukbusha mwaka 2010, kuna manzi nimekutana nayo facebook, akafosi sana tuonane, ofcourse kwa picha za Fb alizokuwa ameziweka zilikuwa zinavutia , basi bwana tukapanga tukutanie Kinondoni "B" , nilichofanya ni kumsubiria yeye aniambie kuwa amefika ili iwe rahisi mimi kumuona kwanza ambapo itanirahisishia mimi kumthaminisha niamue kumpokea au nimpotezee juu kwa juu, basi bwana akanipigia simu kuwa tiyari amefika , na mimi huyo nikatoka zangu Manyanya taratibu kumfuata, nikiwa kwa mbali nikamvutia waya nikqmuuliza amevaa vipi, nikawa nimemtambua nikazima simu alafu mdogomdogo nikamfuata kwa ukaribu bila yeye kunijua, wakati huo ananipigia hanipati ๐คฃ. Nika kaa jirani yake kabisa namthaminisha, kiukweli shape alikuwa nalo ila usoni chunusi zilimzidia mpaka zinatia hofu.
Ahhh nikasema hii hapana. Nikaondoka! Kuja kuwasha simu malalamiko ya kutosha, nikamwambia fanya tuonane wakati mwingine nilipata dharura na simu ikazima chaji, mpaka leo hatujawahi kuonana namkwepa tu
๐๐Kwakweli filter ni hatariKama wewe pia unawakilisha hili kundi;.
Ningependa kutumia Nafasi hii kuwapa Hongera kwa kujua kuchezea Filters ..
๐๐๐