Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Mimi nashukuru sana sijawahi kutana na wa tofauti na picha zake mtandaoni, wengi wanakuwa wazuri zaidi ya kwenye picha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii imewahi nitokea miaka ya elfu2009 nipo chuo apo daslamu nikadakq namba kwenye gazeti demu anatafuta mchumba😂😂😂😂 nikapiga ile namba tukakubaliana tuonane mabibo hostel😂😂😂😂 kwakweli nilijificha na ilikuja pisi mbovu sijawai zainia walahi kwenye simu ana sauti nzuri sna kuja ni kipande cha mama kibonge haswa black people yani ni mambo ya aibu sana japo nilijitokeza sikumkimbia😂😂😂😂😂Mathalani,
Umepata Rafiki au Mchumba kwenye miongoni mwa mitandao ya kijamii, kwa mfano ulipokea simu ya aliekosea namba au ulipiga simu kwa kukosea namba akapokea asie husika, then mpokea simu ama wewe mpiga simu kimakosa mkatamani mjuane zaidi na baada ya hapo mkawa Marafiki, tena huenda ni wa kimapenzi.
sasa kimbembe huwa ni siku ya kukutana na kuonana uso kwa macho...
ni kwanini watu huviziana kuonana physically katika eneo walilo kukubaliana kukutana bila kujiamini? au mitandao haiaminiki?
Mtu anamueleza kabisa mwenzie kwamba ameshafika eneo husika, wewe upo upande gani basi,?
Utaskia Jamaa aliejificha, aahaa, umeshafika kumbe, ndio wewe ulievaa nguo nyekundu na suruali ya njano hapo karibu na kibanda cha tigo pesa?
Geuka nyuma utaniona hapa kwenye badaboda walipo, nimevaa cape ya pink, usitoke nakuja hapo hapo ulipo dah.
Kumbe mtu kaambiwa ageuke ili jamaa asiejiamini a learn physical and facial language yake ilivyo dah, na huenda kuna uwezekano wa kupotea hewani, ikiwa atamsogelea kwa karibu zaid na kubaini yaliyomo kumbe hayamo dah,!
Nyie haya mahusiano na mitandao ya kijamii ni balaa 🐒
Umewahi kupitia songombingo hii ya kabokamchizi kwenye sehemu mahusiano wako wa kimapenzi?🐒
Acha kabisa mkuu, matarajio yangu yalikuwa yapo juu sana , ukizingatia katika idara ya shape tiyari alisha qualify😂 kwahyo ulidhani unaenda kukutana na wife material sio?
😂😂😂😂😂Piga video call za kushtukiza.
Kuna jamaa alipata pisi online, mweupeee halafu ana tako kubwa. Kuja kumuona live ni mweusi na ana tumbo kubwa. Jamaa aliingia mitini na kumblock milele. Kumbe filter zilikuwa zinamdanganya jamaa. Binti alikuwa anapost picha zilizoeditiwa mno 🤣
Noma sana 🤣😂😂😂😂😂
Kwahyo ukaacha shepu kwa kutishwa na chunusi usoni, mbele ya shepu siachi kitu mkuu.Acha kabisa mkuu, matarajio yangu yalikuwa yapo juu sana , ukizingatia katika idara ya shape tiyari alisha qualify
Mfano mzuri unavyong'ara kwenye DP yako.😀😀Kwakweli filter ni hatari
Lakini mie ilikuwa tofauti. Nilianza mawasiliano na mwana JF PM kunako 2008 nadhani, tukajuana PM na ku share picha then wakati tunaonana physically wala hakukuwa na shida yeyote kwa kuwa kila kitu kilimalizika PM. Mpaka leo sisi ni marafiki wakubwa tu.Mathalani,
Umepata Rafiki au Mchumba kwenye miongoni mwa mitandao ya kijamii, kwa mfano ulipokea simu ya aliekosea namba au ulipiga simu kwa kukosea namba akapokea asie husika, then mpokea simu ama wewe mpiga simu kimakosa mkatamani mjuane zaidi na baada ya hapo mkawa Marafiki, tena huenda ni wa kimapenzi.
sasa kimbembe huwa ni siku ya kukutana na kuonana uso kwa macho...
ni kwanini watu huviziana kuonana physically katika eneo walilo kukubaliana kukutana bila kujiamini? au mitandao haiaminiki?
Mtu anamueleza kabisa mwenzie kwamba ameshafika eneo husika, wewe upo upande gani basi,?
Utaskia Jamaa aliejificha, aahaa, umeshafika kumbe, ndio wewe ulievaa nguo nyekundu na suruali ya njano hapo karibu na kibanda cha tigo pesa?
Geuka nyuma utaniona hapa kwenye badaboda walipo, nimevaa cape ya pink, usitoke nakuja hapo hapo ulipo dah.
Kumbe mtu kaambiwa ageuke ili jamaa asiejiamini a learn physical and facial language yake ilivyo dah, na huenda kuna uwezekano wa kupotea hewani, ikiwa atamsogelea kwa karibu zaid na kubaini yaliyomo kumbe hayamo dah,!
Nyie haya mahusiano na mitandao ya kijamii ni balaa 🐒
Umewahi kupitia songombingo hii ya kabokamchizi kwenye sehemu mahusiano wako wa kimapenzi?🐒
Alafu mm mweusi mfupi 😂😂Mfano mzuri unavyong'ara kwenye DP yako.
Tukutane sasaa Cheusi Dawa 😁😁
Kukutana kimwiliLengo kuu likiwa nini mkuu?
Ilimkuta na mwanangu hii pia binti alikuwa mlemavu sauti yake tamu ilimchanganya jamaa ynguSijawahi tafuta GF online.. Kuna mwanangu ilishamkuta hii... Kwenye Picha mtoto Mrefu kinoma . Kuja kukutana nae sasa.. Kafupi akooo 😂
Oyaa Msiamini urefu wa kwenye picha
😄😄
Daah inahuzunisha sana , Tena afadhali angemwambia Mapema kua Ana tatizo fulani ; Jamaa ndo achague...Ilimkuta na mwanangu hii pia binti alikuwa mlemavu sauti yake tamu ilimchanganya jamaa yngu
Hebu tucheze haka ka mchezo Make sure hatuonaniAlafu mm mweusi mfupi 😂😂
Mwamba alipoa nae km dk 10 hivi hapo hapo kituoni hakumkaushia ila hakuna kilchoendlea baada ya hapoDaah inahuzunisha sana , Tena afadhali angemwambia Mapema kua Ana tatizo fulani ; Jamaa ndo achague...
Hapo ukijifanya hujamuona atagundua, kisa ukilema kwahyo umemkimbia...
Mwamba alikua dissapointed sana , Tunapitia mengi aisee....
Noma sana mkuu omba isikukuteMwamba alipoa nae km dk 10 hivi hapo hapo kituoni hakumkaushia ila hakuna kilchoendlea baada ya hapo
🤣🤣🤣NimechekaHebu tucheze haka ka mchezo Make sure hatuonani
Nataka nione kwa macho yangu Vibwengo mkoje 😁😁
Kwahyo ukaacha shepu kwa kutishwa na chunusi usoni, mbele ya shepu siachi kitu mkuu.