Chapati Tatu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2024
- 338
- 740
ni kitu hakiwezekani, tukikutana leo, utelez ni must!Kumbe watu wa Lumumba Fc ndio tabia yenu.
Shuda inakuja unataka kukutana na mtu na ushajenga taswira zako kichwani, tayari unataka kumla kabla ya kumuona...
Kwani mkionana kama marafiki tu kuna shida gani, kama kuna mengine yatajitokeza baadae huko.
uskute jamaa mpaka sasa hua anaogopa hata kukatiza maeneo alipokutana na huo muujiza wake physically,Kwasasa jamaa ndio binadamu pekee duniani asieamini chochote kwenye Mitandao..
Ukiachana na kumblock mitandaoni, Jamaa lilienda mpaka Posta, Likablock hadi Sanduku la Posta la Yule mtoto π
Wewe ni generation gani mkuu?gen z hawanaga subra hizo gentleman...
gen z wako chonjo sana na matumizi ya muda,
hawapendeleagi kuprolong mambo kwa muda mrefu. hiyo hawapendi kabisa.
wao ni mnakutana leo, mnamalizana baadae, na ikishindikana leo basi kesho mapema sana bila kuchelewa, mambo yanakamilika,
na hapo sasa mbivu na mbichi ndipo hujulikana π
Kweli we ni Chapati Tatu,ni kitu hakiwezekani, tukikutana leo, utelez ni must!
πππuskute jamaa mpaka sasa hua anaogopa hata kukatiza maeneo alipokutana na huo muujiza wake physically,
maana zimwi likujualo halikuli likakwisha,π
huenda naelekea kukaribia huruma na ustaarabu wako hapo mbeleni...Wewe ni generation gani mkuu?
Nadhani wewe ndiye Mhenga uliesema "Kila hatua dua"Enzi za mitandao ya Darhotwire nilivaba kwenda kukutana kituko cha karne. Ubaya location alitoa yeye kwahiyo sikuweza kimbia maana nilitangulia kufika.
Ushawahi kutana na msukule wa kishua? Ndio yalinikuta mimi. Demu anaongea kizungu ila ana kaumtambo kwa mbali. Niliomba ardhi apasuke.
Nashukuru Mungu nilitoka hai.
huenda jamaa ni mstaarabu na mwenye huruma sana huyo na sio gen z
kwahivyo ikaweje baada ya kukutana na huo muujiza wako sasa? πEnzi za mitandao ya Darhotwire nilivaba kwenda kukutana kituko cha karne. Ubaya location alitoa yeye kwahiyo sikuweza kimbia maana nilitangulia kufika.
Ushawahi kutana na msukule wa kishua? Ndio yalinikuta mimi. Demu anaongea kizungu ila ana kaumtambo kwa mbali. Niliomba ardhi apasuke.
Nashukuru Mungu nilitoka hai.
baba yako ni mwinjilisti wa usharika gan?Kweli we ni Chapati Tatu,
Ni wanawake wachache watakubali uwakule on the first date.
Mara nyingi simu huwa ina predict maneno unayopenda kuyatumia.anaweza likoroga mwenyewe na adinde kulinywa mwenyewe π
ππππππ Urafiki wa bila benefitsKumbe watu wa Lumumba Fc ndio tabia yenu.
Shuda inakuja unataka kukutana na mtu na ushajenga taswira zako kichwani, tayari unataka kumla kabla ya kumuona...
Kwani mkionana kama marafiki tu kuna shida gani, kama kuna mengine yatajitokeza baadae huko.
Alistajabu ya Mussa kabla hajakutana na ya Firahunimpaka ukakumbuka ibada na ulikuga husali, dah...
ama kwa hakika siku hiyo ilikua nzito sana π
Hizo za first, second na zingine dates huwa ni kwa simu, ya kukutana live lazima itoe matokeo.Kweli we ni Chapati Tatu,
Ni wanawake wachache watakubali uwakule on the first date.
wafupi tumewakosea nini lakini,πππJamaa ilibidi Aigize kama mpita njia..
Ni kama alipishana na Mtungi wa Gas unaotembea... π