Kwanini unajificha na kuchungulia kwa manati unapotaka kuonana na Rafiki ulimpata mitandaoni?

Mimi nashukuru sana sijawahi kutana na wa tofauti na picha zake mtandaoni, wengi wanakuwa wazuri zaidi ya kwenye picha.
 
Hii imewahi nitokea miaka ya elfu2009 nipo chuo apo daslamu nikadakq namba kwenye gazeti demu anatafuta mchumbaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nikapiga ile namba tukakubaliana tuonane mabibo hostelπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwakweli nilijificha na ilikuja pisi mbovu sijawai zainia walahi kwenye simu ana sauti nzuri sna kuja ni kipande cha mama kibonge haswa black people yani ni mambo ya aibu sana japo nilijitokeza sikumkimbiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Piga video call za kushtukiza.




Kuna jamaa alipata pisi online, mweupeee halafu ana tako kubwaa. Kuja kumuona live ni mweusi na ana TUMBO kubwaaaaaaa. Jamaa aliingia mitini na kumblock milele. Kumbe filter zilikuwa zinamdanganya jamaa. Binti alikuwa anapost picha zilizoeditiwa mno 🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lakini mie ilikuwa tofauti. Nilianza mawasiliano na mwana JF PM kunako 2008 nadhani, tukajuana PM na ku share picha then wakati tunaonana physically wala hakukuwa na shida yeyote kwa kuwa kila kitu kilimalizika PM. Mpaka leo sisi ni marafiki wakubwa tu.
 
Sijawahi tafuta GF online.. Kuna mwanangu ilishamkuta hii... Kwenye Picha mtoto Mrefu kinoma . Kuja kukutana nae sasa.. Kafupi akooo πŸ˜‚

Oyaa Msiamini urefu wa kwenye picha
πŸ˜„πŸ˜„
Ilimkuta na mwanangu hii pia binti alikuwa mlemavu sauti yake tamu ilimchanganya jamaa yngu
 
Ilimkuta na mwanangu hii pia binti alikuwa mlemavu sauti yake tamu ilimchanganya jamaa yngu
Daah inahuzunisha sana , Tena afadhali angemwambia Mapema kua Ana tatizo fulani ; Jamaa ndo achague...

Hapo ukijifanya hujamuona atagundua, kisa ukilema kwahyo umemkimbia...

Mwamba alikua dissapointed sana , Tunapitia mengi aisee....
 
Daah inahuzunisha sana , Tena afadhali angemwambia Mapema kua Ana tatizo fulani ; Jamaa ndo achague...

Hapo ukijifanya hujamuona atagundua, kisa ukilema kwahyo umemkimbia...

Mwamba alikua dissapointed sana , Tunapitia mengi aisee....
Mwamba alipoa nae km dk 10 hivi hapo hapo kituoni hakumkaushia ila hakuna kilchoendlea baada ya hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…