Mfumo wa malipo kwa waajiriwa wapya rejea huu Uzi Serikali, waokoeni waajiriwa wapya!
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Wazo hili nalo ni jema sana,,,,Kupunguza mlundikano ambao unazidi kuongezekaYani mimi naona zile interview walizokwish kuita watu wange toa placement pdf zao kabsa maana ni nyingi, kabla ya kutoa matangazo mengine mapya ya ajira.
NdioHadi leo nyinyi bado hamjaitwa kazini
Swadakta.. Wale wa TRA jiandaeni soonHizi Placement naona trh yetu 12 August mkeka utatema.
Sensa haihusiani na INTERVIEW n Placement . kama Mkeka wa INTERVIEW wa Open University umetoka.
nina uhakika ni jambo la muda tu. Utumishi nao wataachia Mikeka hiyoo
Hapana,hawa wataita mapema maana interview zitafanyika chuon ...ndio maana hata adresee sio utumishi bali VC wa chuo...hizi chap tuitakuwa mwakani mwezi kama huu kudadeki
Kweli sensa haihusiani ilimradi upo tanzania utahesabiwa popote pale utakapoamkiaHizi Placement naona trh yetu 12 August mkeka utatema.
Sensa haihusiani na INTERVIEW n Placement . kama Mkeka wa INTERVIEW wa Open University umetoka.
nina uhakika ni jambo la muda tu. Utumishi nao wataachia Mikeka hiyoo
Ndugu unatia moyo sanaaaaaHizi Placement naona trh yetu 12 August mkeka utatema.
Sensa haihusiani na INTERVIEW n Placement . kama Mkeka wa INTERVIEW wa Open University umetoka.
nina uhakika ni jambo la muda tu. Utumishi nao wataachia Mikeka hiyoo
Umewahi mno leo basi itakuwa kuna jambo mkuuNishahudhuria kwenye huu uzi wadau
Wanamalizia kuandaa barua na shortlist huko
We jamaa unatia huruma sana.. kama unaamini umo si utulia basi usubirie siku kuliko hizi pressure zisizo na ulazimaWanamalizia kuandaa barua na shortlist huko
πππππUmewahi mno leo basi itakuwa kuna jambo mkuu
Ahahaha kuishi kwa masikitikoWe jamaa unatia huruma sana.. kama unaamini umo si utulia basi usubirie siku kuliko hizi pressure zisizo na ulazima
Hata uhakika ninao basi! Hii Application ya 20 hii ndiyo ya kwanza kuingia oral ni kama nimenunua tv mpya vile kila saa nacheck deoWe jamaa unatia huruma sana.. kama unaamini umo si utulia basi usubirie siku kuliko hizi pressure zisizo na ulazima
Kumbe umepiga written nyingi, lazima uwe na shauku maana oral ndio hatua ya mwishoAhahaha kuishi kwa masikitiko
Hata uhakika ninao basi! Hii Application ya 20 hii ndiyo ya kwanza kuingia oral ni kama nimenunua tv mpya vile kila saa nacheck deo