Mwakapesa II
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 554
- 915
Mkuu kusipo kuwa na ratio bado watu watalalamikia wingi wa watu kwenye oral. Ukisema utumie cutt off bila ratio jua kuna paper zinakuwa nyepesi au watu wanafaulu sana (watu zaid ya 100 unakuta wapo above cutt off) swala linakuja hao 100 wote waende oral kugombania nafasi moja?Kwanini unadhani sita wa juu (top six) ndio itakua fair ?
Why six ?
Unajisajili zen wanakutafutia sehemu ya kuvolunteer au kufanya internshipNaombeni kueleweshwa kuhusiana na hii portal Ya TAESA ikoje ikoje yaani inatoa fursa gani?
Nimefanya utafiti usio rasmi, nimegundua hawa jamaa hutumia utaratibu huo huo wa ratio, ratio huwa 1:3 - 1:6 inategemea na taasisi.Mkuu kusipo kuwa na ratio bado watu watalalamikia wingi wa watu kwenye oral. Ukisema utumie cutt off bila ratio jua kuna paper zinakuwa nyepesi au watu wanafaulu sana (watu zaid ya 100 unakuta wapo above cutt off) swala linakuja hao 100 wote waende oral kugombania nafasi moja?
Mapendekezo yangu 1:3 kwa wote walio above 50% written waende oral ( kama nafasi ni 6 basi watu 18 best walio above 50% waende oral hata kama mtu ana 93 na hayupo kwenye 18 best abaki tu)
Tatizo linakuja utumishi hawaelewek kwanini ratio zao hazieleweki.
Amini chamuhimu tusisahau kupiga ibadaNime
Nimefanya utafiti usio rasmi, nimegundua hawa jamaa hutumia utaratibu huo huo wa ratio, ratio huwa 1:3 - 1:6 inategemea na taasisi.
Kuzidisha mapambano, maandalizi ya kutosha, kuzingatia masharti kama yanavoelekezwa katika paper. Pia tusisahau ibada, ni muhim ndg. wapambanaji.
Mapambano yaendelee.
Hizi ni za teaching mzee pract za non teaching passmark ni 50 ingekua ni non teacng hao wote wenye 50+ wangeingia oralTukisema mue mnajiandaa na interviews za Utumishi muelewe hizi sio kama zile nyingine unaongea kuhusu kazi. Huku ukiingia kichwakichwa wanakula kichwa kikatili sana.
View attachment 2393353
Kwel mzee maana huezi kusema huyo mwenye 94 hakusomaUnadhani watu hawasomi mzee??sema tu utumishi wanamaajabu yao siku ukiamka vibaya wanakukanda hata kama umesoma mzee kuna mistake pia zakujibu swali sio Kwamba haujui lakini inatokeaga tu
Na hawaeleweki kweli hawa jamaaMkuu kusipo kuwa na ratio bado watu watalalamikia wingi wa watu kwenye oral. Ukisema utumie cutt off bila ratio jua kuna paper zinakuwa nyepesi au watu wanafaulu sana (watu zaid ya 100 unakuta wapo above cutt off) swala linakuja hao 100 wote waende oral kugombania nafasi moja?
Mapendekezo yangu 1:3 kwa wote walio above 50% written waende oral ( kama nafasi ni 6 basi watu 18 best walio above 50% waende oral hata kama mtu ana 93 na hayupo kwenye 18 best abaki tu)
Tatizo linakuja utumishi hawaelewek kwanini ratio zao hazieleweki.
Ndo ivo mtu alisoma tu sana sema bahati haikuwa yake mzeeKwel mzee maana huezi kusema huyo mwenye 94 hakusoma
Ibada muhimu sanaNime
Nimefanya utafiti usio rasmi, nimegundua hawa jamaa hutumia utaratibu huo huo wa ratio, ratio huwa 1:3 - 1:6 inategemea na taasisi.
Kuzidisha mapambano, maandalizi ya kutosha, kuzingatia masharti kama yanavoelekezwa katika paper. Pia tusisahau ibada, ni muhim ndg. wapambanaji.
Mapambano yaendelee.
Sio kila wakati kwenye nafasi non teaching wanachukua "kila mwenye" above 50.Hizi ni za teaching mzee pract za non teaching passmark ni 50 ingekua ni non teacng hao wote wenye 50+ wangeingia oral
Itakuwa inagombewa nafasi moja hapoDah Ila jamani hawa PSRS inabidi wachange baadhi ya mambo mfano nimeenda kuungalia matokeo ya usaili wa vitendo wa nafasi ya jamaa aliyekutana na multiple choice ya command za Linux Ile ya LABORATORY TECHNICIAN COMPUTER SCIENCE wamechukua watu watatu kwenda oral Wana 95 mtu wa nne ana 94 kaachwa not selected kweli jamani dah aiseee sio fair kabisa
Hii ndo nzuriMkuu kusipo kuwa na ratio bado watu watalalamikia wingi wa watu kwenye oral. Ukisema utumie cutt off bila ratio jua kuna paper zinakuwa nyepesi au watu wanafaulu sana (watu zaid ya 100 unakuta wapo above cutt off) swala linakuja hao 100 wote waende oral kugombania nafasi moja?
Mapendekezo yangu 1:3 kwa wote walio above 50% written waende oral ( kama nafasi ni 6 basi watu 18 best walio above 50% waende oral hata kama mtu ana 93 na hayupo kwenye 18 best abaki tu)
Tatizo linakuja utumishi hawaelewek kwanini ratio zao hazieleweki.
Umetoa muongozo mzuri mkuu, ratio itapunguza hii sintofahamu ya sasa.Mkuu kusipo kuwa na ratio bado watu watalalamikia wingi wa watu kwenye oral. Ukisema utumie cutt off bila ratio jua kuna paper zinakuwa nyepesi au watu wanafaulu sana (watu zaid ya 100 unakuta wapo above cutt off) swala linakuja hao 100 wote waende oral kugombania nafasi moja?
Mapendekezo yangu 1:3 kwa wote walio above 50% written waende oral ( kama nafasi ni 6 basi watu 18 best walio above 50% waende oral hata kama mtu ana 93 na hayupo kwenye 18 best abaki tu)
Tatizo linakuja utumishi hawaelewek kwanini ratio zao hazieleweki.
Post gani unaenda kufanya?HV Kuna mtu humu kafanyaga written ya heslb
Je maswal yao yakoje
Usemacho ni kweli ila chini 50% sijawahi ona mtu ameenda oralSio kila wakati kwenye nafasi non teaching wanachukua "kila mwenye" above 50.
Kuna wakati wanachukua wenye below 50, kuna wakati wenye "just above" 50 wanaachwa.
Lengo la kwanza la mtihani wa mchujo ni kuchuja. (Yes, just kuchuja, bila kujali sana the so called 50 as a pass mark).
Kuna usaili nimewahi kufanya, wa kuwania nafasi 2, kati ya watu zaidi ya 200, walichukua watu 28 tu kwenda oral. Mwenye marks chache alikua na 68. Kama wangechukua kila mwenye above 50, inawezekana wangechukua watu 70+.
Swali, is it reasonable kuhoji watu 70 kwa ajili ya nafasi 2 tu ?
Zipo nyakati performance ikiwa chini huwa wanachukua hadi waliopata chini ya 50 kwenda oral ili mradi desired number ya wanaotakiwa kwenda oral itakapofikiwa.
Kamfano:
View attachment 2393702
Sheria yao wanachukua kuanzia 50 kwenda juuUsemacho ni kweli ila chini 50% sijawahi ona mtu ameenda oral
Kama ni kweli wanatumia ratio kama ulivyotaja hapa, kuna written niliyowahi kufanya walitumia ratio ya 1:2.5 (posts zilikuwa 4, waliita oral watu 10), sasa sijui hiyo nusu mtu walifikiria nini.Nime
Nimefanya utafiti usio rasmi, nimegundua hawa jamaa hutumia utaratibu huo huo wa ratio, ratio huwa 1:3 - 1:6 inategemea na taasisi.
Kuzidisha mapambano, maandalizi ya kutosha, kuzingatia masharti kama yanavoelekezwa katika paper. Pia tusisahau ibada, ni muhim ndg. wapambanaji.
Mapambano yaendelee.
Huu ndo mwaka wa fedha mwingine hujaisha so kazi zipo kifupi kazi zipo Kila siku kwa sababu Kila siku ni siku ndani ya mwaka wa fedha mkuu hakuna siku isiyokua kwenye mwaka wa fedhaeti advertisement za ajira ndio hadi mwaka mwingine wa fedha?
Kazi zinatangazwa tu hakuna limit as long as kuna nafasi zitatangazwa tueti advertisement za ajira ndio hadi mwaka mwingine wa fedha?