Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Naona watu wapo busy na kusoma kwa ajili ya kuwakanda psrs....vipi wadau ADEM bado kimya tu maana kesho ndio wanafungua chuo
Hivi vyuo vya kati jau tu IFM, CBE na Mweka wote wamekausha tu.
 
Naona watu wapo busy na kusoma kwa ajili ya kuwakanda psrs....vipi wadau ADEM bado kimya tu maana kesho ndio wanafungua chuo
Pia sidhani kama ukipata barua tu hapohapo unakabidhiwa darasa si Kuna viprocess vya kureport na Nini..ngoja tuendelee kuwa wapole japo inachoshaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…