Chuo kishafunguliwa halafu hta hawashtukiYani acha kabisa ndugu yangu,wangejua wenzao tunateseka huku wangeachia tu aisee
Vyuo wanadai ni Utumishi wanazingua hata wao wenyewe wanasubiria kwa hamu sana hao new staff'sChuo kishafunguliwa halafu hta hawashtuki
Hahahaha poleni aisee kwa mliyoyaona hukoYani jobless anakuja anadrive interview mnatufanya wengine tuhusi mna konneksheni kumbe hamna .
Mbwembwe za kuja na magari muache bhna mnakera
Hahahah mkuu wengine wako tayar kwenye vitengo ila tu wanatakaga kubadilisha mazingraYani jobless anakuja anadrive interview mnatufanya wengine tuhusi mna konneksheni kumbe hamna .
Mbwembwe za kuja na magari muache bhna mnakera
Jobless halisi ni mimi ambaye huwa lazima nibargain nauli boda boda au bajaj kama leo.Yani jobless anakuja anadrive interview mnatufanya wengine tuhusi mna konneksheni kumbe hamna .
Mbwembwe za kuja na magari muache bhna mnakera
Hapa nimemuona classmate wangu, alipata ajira za Tamisemi ila amekuja kukandwa huku piaHahahah mkuu wengine wako tayar kwenye vitengo ila tu wanatakaga kubadilisha mazingra
ππππnauli ni muhimu sana kubargain mzee usibargain hata Mungu mwenyewe hapendiJobless halisi ni mimi ambaye huwa lazima nibargain nauli boda boda au bajaj kama leo.
Yaani bajaj anakomaa eti buku, nikasema bora nipate boda kwa hii buku[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
NB: Hapa tuna jobless walioufubaza ujobless na jobless ambao ujobless wao upo active
ππππAnataka kuwakimbia tamisemi??hahhhh ameona huko mrija ni mrefu sanaHapa nimemuona classmate wangu, alipata ajira za Tamisemi ila amekuja kukandwa huku pia
Waliopiga pepa hawataki kusema wanazinguaVip Pepa tayari au bado
Duh waje waseme mkando ulikujeWaliopiga pepa hawataki kusema wanazingua
Waje watupe madini hapaDuh waje waseme mkando ulikuje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na hao ndo wanaendaga chooni mara 3 3 ndani ya zile dakika 10 kabla ya mtihan kuanza[emoji28][emoji28][emoji28]Yani jobless anakuja anadrive interview mnatufanya wengine tuhusi mna konneksheni kumbe hamna .
Mbwembwe za kuja na magari muache bhna mnakera
Jamaa kaichoka TGS [emoji28][emoji28]Hapa nimemuona classmate wangu, alipata ajira za Tamisemi ila amekuja kukandwa huku pia
Mkuu .....itoshe tu kusema ........dah.......shikamoo utumishiVip Pepa tayari au bado
Duh aiseee poleni aisee inaonekana ni balaaa huko LeoMkuu .....itoshe tu kusema ........dah.......shikamoo utumishi
Ndo ukubwa huo pole kiongoziMkuu .....itoshe tu kusema ........dah.......shikamoo utumishi
ππππ Utumishi hawanaga utani kwenye mambo yakukanda watuDuh aiseee poleni aisee inaonekana ni balaaa huko Leo
ππππTGS haina hata allowance yakuvunjika mguu au sio?Jamaa kaichoka TGS [emoji28][emoji28]