Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Vipi kaka maswali wanakaza kwenye NAOT?Mimi kesho ndo naingia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nauli ni muhimu sana kubargain mzee usibargain hata Mungu mwenyewe hapendi
Kuna situation zinatulazimu kubargain mkuu.

Imagine watoa huduma wakiona kuna watu wengi wanapandisha nauli ili wapate cha juu
 
Vipi kaka maswali wanakaza kwenye NAOT?Mimi kesho ndo naingia.
Wameleta maswali 2 kuhusu Auditing ikibase kwenye kada yangu.

Maswali mengine 2 yapo kwenye practice ya kada yangu pia, kati ya haya 2, moja lilikuja kwenye written yangu ya kwanza. Ila kilichonigharimu ni kile tunachosemaga PSRS hawarudii maswali, hilo swali sikulifanyia revision ila naweza kuokoteza hata chache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…