Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mkuu,baadhi tulibahatika kulamba hiyo vijana tunaita asali,ila mazingira tuliyolamba hiyo asali imegeuka shubiri. Kuna Baadhi ya Wilaya katika hii nchi ukipangwa kwenda kufanya kazi unatamani bora ungebaki kwenu Chalinze ulime nanasi.
 
Unasema tu ngoja upangiwe Mpibwe au Wanging'ombe. Mwaka hutamaliza utaanza kuuliza namna ya kuhama[emoji23][emoji23][emoji23]
Usemalo ni sahihi Mkuu,mimi kuna halmashauri nimetupwa ila nimeamua rasmi mshahara wa Januari ndio wa mwisho.
 
Mishahara mingine ya February kuendelea unamuachia nani mzee? Au huko hata usafiri niwa punda?
Nadhani ni kwasababu mimi si mfuatiliaji sana wa jukwaa hili,ila laiti ningejua hali halisi ya Halmashauri nyingi,nisingekubali kuja huku.
 
kwa hiyo mnata kutuaminisha kua kwa hiyo asali ya halmashauri ni ya nzi wa chooni..
Kama una uhakika na mishe zako za huko mtaani,huku hapakufai. Ni kupotezeana tu muda. Katika maishi nimejifunza kusimamia na kukamilisha kile ulichokianza. Haya mambo ya kuhama leo huku unafanya jambo hili kesho kule unafanya jambo lile yanaturudisha sana nyuma.
 
Mkuu,baadhi tulibahatika kulamba hiyo vijana tunaita asali,ila mazingira tuliyolamba hiyo asali imegeuka shubiri. Kuna Baadhi ya Wilaya katika hii nchi ukipangwa kwenda kufanya kazi unatamani bora ungebaki kwenu Chalinze ulime nanasi.
kwanini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…