ThugMaster
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 1,594
- 2,234
Kikubwa kwa sasa wazidi kutoa nafasi nyingine wengine ambao hatuna received tupate za kutosha, I hope 2024 na mimi nitakuja kutoa shuhuda humu...[emoji120][emoji120][emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,baadhi tulibahatika kulamba hiyo vijana tunaita asali,ila mazingira tuliyolamba hiyo asali imegeuka shubiri. Kuna Baadhi ya Wilaya katika hii nchi ukipangwa kwenda kufanya kazi unatamani bora ungebaki kwenu Chalinze ulime nanasi.Ma legend wa uzi huu tumepotea au tumeshasahaulishwa na hizi asali tulizolamba??
Mkuu mfwende sawadogo upo wapi siku hizi ndugu yangu ulikuwa mchangiaji mzuri umepotea mazima, na wengine wengi tu.
Au ni zama zilishapita, kizazi kipya kimekuja na hasira za kutukana ila silaumu najua uchungu wa kuwa jobless inakera sana yaani... Ila ni swala la mda tu kila kitu kitaenda sawa.
Mkuu vp.. jobless hakuna vibe la Christmas na mwaka mpya[emoji3]
Usemalo ni sahihi Mkuu,mimi kuna halmashauri nimetupwa ila nimeamua rasmi mshahara wa Januari ndio wa mwisho.Unasema tu ngoja upangiwe Mpibwe au Wanging'ombe. Mwaka hutamaliza utaanza kuuliza namna ya kuhama[emoji23][emoji23][emoji23]
Mishahara mingine ya February kuendelea unamuachia nani mzee? Au huko hata usafiri niwa punda?Usemalo ni sahihi Mkuu,mimi kuna halmashauri nimetupwa ila nimeamua rasmi mshahara wa Januari ndio wa mwisho.
Mkuu wewe upo hapo Wanging'ombe? Mna office nzuri kuliko Makambako.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila Wanging'ombe imewakosea nini wenetu si unaona unyama huo sio kama Halmashauri za Kigoma, Wanging'ombe Ofisi zina hadi viyoyozi.
Karibuni Wanging'ombe.
View attachment 2848653View attachment 2848652
Huku Halmashauri ni changamoto sana Mkuu.Daah!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
........Wenetu wa Halmashauri wananyanyasika.
Ni changamoto sana huku.Sasa hivi wapo bize kujisajili kwenye mfumo wa PEPMIS & PIPMIS (ESS).
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu na wewe uko Halmashauri,vipi hali ya hapo halmashauri kwako? Huku kwangu naona jua kali tu bora ningeendelea kuchana mbao Mufindi.Umepata placement kitengo gani? au ni Halmashauri Kama mimi
Niko tu nakula tgs E yangu nimeridhika na Hali yangu MkuuMkuu na wewe uko Halmashauri,vipi hali ya hapo halmashauri kwako? Huku kwangu naona jua kali tu bora ningeendelea kuchana mbao Mufindi.
Hahaaaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ,jobless WA nchi hii mna jeuri sanakwa hiyo mnata kutuaminisha kua kwa hiyo asali ya halmashauri ni ya nzi wa chooni..
Kimya sana jamaa ,vipi ?kwa hiyo mnata kutuaminisha kua kwa hiyo asali ya halmashauri ni ya nzi wa chooni..
Nadhani ni kwasababu mimi si mfuatiliaji sana wa jukwaa hili,ila laiti ningejua hali halisi ya Halmashauri nyingi,nisingekubali kuja huku.Mishahara mingine ya February kuendelea unamuachia nani mzee? Au huko hata usafiri niwa punda?
naona watu wanapadis nakat wengine ndio tunazilia mingo..Hahaaaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ,jobless WA nchi hii mna jeuri sana
Yaani asali ya halmashauri mnaniita asali ya nzi
Aisee [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
mie nishagive up kitambo naheshimu maamuzi yao..🤣🤣Kimya sana jamaa ,vipi ?
Ushagive up kama mimi nini ?
Kama una uhakika na mishe zako za huko mtaani,huku hapakufai. Ni kupotezeana tu muda. Katika maishi nimejifunza kusimamia na kukamilisha kile ulichokianza. Haya mambo ya kuhama leo huku unafanya jambo hili kesho kule unafanya jambo lile yanaturudisha sana nyuma.kwa hiyo mnata kutuaminisha kua kwa hiyo asali ya halmashauri ni ya nzi wa chooni..
Kama una jambo lako unalifanya mtaani kwa uhakika kabisa na unapata kipato ambacho ni kizuri tu,basi komaa na jambo lako hilo hilo.naona watu wanapadis nakat wengine ndio tunazilia mingo..
kwaniniMkuu,baadhi tulibahatika kulamba hiyo vijana tunaita asali,ila mazingira tuliyolamba hiyo asali imegeuka shubiri. Kuna Baadhi ya Wilaya katika hii nchi ukipangwa kwenda kufanya kazi unatamani bora ungebaki kwenu Chalinze ulime nanasi.